Hadi wafike million 27 jua tayari Ukraine itakuwa imeshakuwa mali ya Kremlin 🤣Sawa ngoja waendelee kuchinjwa.., maana nimesikia za ndani ndani kwamba idadi ya askari wa urusi wanaochinjwa ikifikia million 27,sawa na idadi iliyochinjwa kwenye vita ya pili ya dunia ,basi urusi atanyoosha mikono [emoji28]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Kweli mkuu,ajimegee sana hata mpaka afikie mpakani mwa Poland.., kikubwa tu akumbuke kwamba vilianzia Crimea na vitaishia Crimea [emoji56]Russia ajimegee tu hatuhitaji ardhi iliojaa mashoga wakiongozwa na Raisi shoga waeneze upuuzi wao duniani. Piga kenge wote wa Gaykrainia.
Havitafika Crimea 😀 poleni sana kwa hilo. Inakamatwa Kyiv kwanza hata kabla hamjafika CrimeaKweli mkuu,ajimegee sana hata mpaka afikie mpakani mwa Poland.., kikubwa tu akumbuke kwamba vilianzia Crimea na vitaishia Crimea [emoji56]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Russia ni dude kubwa huku akihenyeshwa na kanchi kadoogo hambako kanapewa silaha za msaada [emoji28].., operation ya saa 72 ya kuwaondoa wanazimamboleo imegeuka vita ya muda mrefu [emoji848]Ndiyo maana yake....nyie ambao hamjawahi kusoma au kuichambua historia, culture na society ya Russia mtapata taabu Sana....Russia ni dude.
.Russia ni nchi kubwa na ya hatari..iko mbele kwa raslimali, teknolojia na ardhi...kufanya mobilization ni Jambo na ni namna gani unaitumia mobilization hiyo ni Jambo jingine...Russia ni dude bwana...nchi 50 zinapambana na dude Hilo lakini bado mambo magumu kwa nchi zote hizo...subiri uone mchezo unakuja...watu wataomba poo.
Hii vita imemfanya dikteta anase kwenye mtego hambao hakutegemea [emoji23][emoji2][emoji1787]si mnasema hela haipigani vita, mbona vita imewashinda kuimaliza - mwaka sasa kitu deee.
Sasa kama kumaliza angetaka si angewatwanga Nuke tu. Hii tunapigania maeneo sio vita vya maangamizi. Maana kama kuwaangamiza tungetia nuke moja tu biashara ikaisha.Russia ni dude kubwa huku akihenyeshwa na kanchi kadoogo hambako kanapewa silaha za msaada [emoji28].., operation ya saa 72 ya kuwaondoa wanazimamboleo imegeuka vita ya muda mrefu [emoji848]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Wanairudisha Ukraine urusi huku walifurushwa kama mbwa mwizi hukoNgoma itachezwa tu na saivi hawachukui hiyo mikoa mi4 saivi wanairudisha ukraine Urusi by hooks n crooks.
Ndio maana nikakwambia kwamba silaha yoyote inayoingia kwenye ardhi ya ukraine ni shabaha Halali ya urusi.., lakini super uwezo huo Hana..,kama angekuwa nao angeashauangusha utawala wa zelensiky zamani sanaSubirieni muanze kulia lia tena maana hiko kifurushi kitataifishwa mapema sana.
Uzuri kifurushi kikiisha mnachezea mkong'oto jazz band hadi mnaporwa mikoa. Tunasubiria hiko kifurushi kije, mtatamba nacho week 2 baada ya hapo kazi inaanza kuwafyeka bila huruma. 🤣🤣🤣Ndio maana nikakwambia kwamba silaha yoyote inayoingia kwenye ardhi ya ukraine ni shabaha Halali ya urusi.., lakini super uwezo huo Hana..,kama angekuwa nao angeashauangusha utawala wa zelensiky zamani sana
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Kwa Sasa wamechinjwa warusi takriban laki Moja na nusu lakini super kaambulia tumiji twa huko mpakani,hambako alikuwepo tangu 2014..,wakija kuchinjwa mpaka wafikie warusi millions 27 nafikiri hapo ndio watakuwa wamekomboa Donbass tu[emoji28][emoji1787]Hadi wafike million 27 jua tayari Ukraine itakuwa imeshakuwa mali ya Kremlin [emoji1787]
Huko Kyiv super pawer alijaribu ikashindikana mkuu.., ninachokiona hapa ni kwamba urusi ajitahidi tu kuwekeza nguvu zake huko Donbass Ili hata akifikia malengo aliyojiwekea ya kuwapeleka machinjioni warusi millions 27,basi aweze kukomboa hata Donbass [emoji28][emoji1787][emoji23]Havitafika Crimea [emoji3] poleni sana kwa hilo. Inakamatwa Kyiv kwanza hata kabla hamjafika Crimea
Jipe moyo tu kwa hii style ya kila kifurushi mnaenda twisheni miezi kadhaa ndio mnapewa muanze kutumia. Mtafurahishwa na wachoma nyama wa Wagner 😀!Kwa Sasa wamechinjwa warusi takriban laki Moja na nusu lakini super kaambulia tumiji twa huko mpakani,hambako alikuwepo tangu 2014..,wakija kuchinjwa mpaka wafikie warusi millions 27 nafikiri hapo ndio watakuwa wamekomboa Donbass tu[emoji28][emoji1787]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Hebu zinduka mkuu, super pawer kutumia nyuklia hiyo ni ndoto ya mchana.., maana marekani alimchimba mkwara mmoja tu.., tangia hapo Tambo za nyukria hazikusikika Tena [emoji28]Sasa kama kumaliza angetaka si angewatwanga Nuke tu. Hii tunapigania maeneo sio vita vya maangamizi. Maana kama kuwaangamiza tungetia nuke moja tu biashara ikaisha.
Waambie wao Marekani watupe hata bomu Urusi kwa jina lao bila kupitia mgongo wa Ukraine. Wasipite denge wao kama marekan waingize chopper watupe mabomu Kremlin. Halafu utaona kama Mrusi sio fala kama mnavyojidanganya.Hebu zinduka mkuu, super pawer kutumia nyuklia hiyo ni ndoto ya mchana.., maana marekani alimchimba mkwara mmoja tu.., tangia hapo Tambo za nyukria hazikusikika Tena [emoji28]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Ni kifurushi gani kilichoisha na Russia akachukua mkoa mkuu?.., maana ninachojua Mimi ni kwamba tangu mwezi wa nne mwaka Jana super pawer anapigana kudhibiti bakhumut mpaka Leo [emoji134][emoji134]Uzuri kifurushi kikiisha mnachezea mkong'oto jazz band hadi mnaporwa mikoa. Tunasubiria hiko kifurushi kije, mtatamba nacho week 2 baada ya hapo kazi inaanza kuwafyeka bila huruma. [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Bhakmut kashaishikilia sasa ni kufyeka panya wote waliojificha kwenye mahandaki na mifereji maana hamna silaha itaingia.Ni kifurushi gani kilichoisha na Russia akachukua mkoa mkuu?.., maana ninachojua Mimi ni kwamba tangu mwezi wa nne mwaka Jana super pawer anapigana kudhibiti bakhumut mpaka Leo [emoji134][emoji134]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Kwahiyo kuomba Kwake msamaha kutarudisha roho za wa Iraq waliomwagiwa mabomu kama mvua?View attachment 2502484
Hawa Wote kama watafikishwa mahakamani basi hata Putin atafikishwa kinyume hapo hakuna kesi
Mkuu,hivi si tulikubaliana kwamba atakayeingilia operation maalum ya kijeshi kuwaondoa wanazimamboleo atakiona Cha moto?? Kama mpaka Sasa hakuna aliyeshughulikiwa, Ina maana operation ya kijeshi Inakwenda kama ilivyopangwa,Wala hakuna aliyeingilia bali tunaendelea kupambana na Ukraine tu [emoji28]Waambie wao Marekani watupe hata bomu Urusi kwa jina lao bila kupitia mgongo wa Ukraine. Wasipite denge wao kama marekan waingize chopper watupe mabomu Kremlin. Halafu utaona kama Mrusi sio fala kama mnavyojidanganya.
Ndio wanaomba msamaha leo 🤣🤣🤣Kwahiyo kuomba Kwake msamaha kutarudisha roho za wa Iraq waliomwagiwa mabomu kama mvua?
Shwain!!!!
Bakhumut kashashikilia,Ina maana vita imeisha ,sio??[emoji28]Bhakmut kashaishikilia sasa ni kufyeka panya wote waliojificha kwenye mahandaki na mifereji maana hamna silaha itaingia.