Bugucha
JF-Expert Member
- Jan 3, 2020
- 3,621
- 14,714
Huna akili,tangu lini wakatoa misaada? Aisee,akili kama hizi ni shida,my friend,there is no 'free' lunch.- twende kwenye value ya miradi, na wellbeing ya miradi hapa Tanzania, kuanzia US AID,UK AID,MCC,JICA,KOICA,SIDA,DANIDA,EU, hiyo miradi yote ni ya US na Washirika wake, hebu tutajie Mashirika ya Russia and it's allies yalioyopo hapa Tanzania yanayotoa misaada hapa Tanzania kwenye aspects tofauti, health nk