Huna akili,tangu lini wakatoa misaada? Aisee,akili kama hizi ni shida,my friend,there is no 'free' lunch.- twende kwenye value ya miradi, na wellbeing ya miradi hapa Tanzania, kuanzia US AID,UK AID,MCC,JICA,KOICA,SIDA,DANIDA,EU, hiyo miradi yote ni ya US na Washirika wake, hebu tutajie Mashirika ya Russia and it's allies yalioyopo hapa Tanzania yanayotoa misaada hapa Tanzania kwenye aspects tofauti, health nk
Huna akili,tangu lini wakatoa misaada? Aisee,akili kama hizi ni shida,my friend,there is no 'free' lunch.
Porojo tupu..Unauhakika vita yq ukraine imeanzishwa au kusababishwa na Urusi? Embu weka source utetee hoja sije kuwa unasapoti tu Kama bendera fuata upepo! Hivi unajua Russia made Ukraine na Russia ikiamua kurudisha maeneo yake inaweza baki robo tu? Embu kasome historia ya mfalme wa Urusi anaitwa Rus nadhani ukisoman kuhusu utawala wake na mpaka Urusi kuwa ussr na kuanguka na mpaka sasa nadha ukijua hayo huta zungumza hivo. Ukisha elewa Putin ameishi Bagamoyo wakati wa Nyerere na alishiriki katka UKOMBOZI wa bara la Africa kulitoa kwenye zama za Slave Trade usingekuwa unaongea hayo lakini kwasababu historia ya watu wako na yako huuijui basi unatulisha matango pori haya kafuatilie Tanzania kabla ya Uhuru ikiwa Tanganyika ilikuwa na kabla ya utumwa watu wa Tanganyika walikuwa wapi na wanafanya nn ondolea utawala wa wajerumani turudi nyuma zaidi utajikuta unaingia Hadi kwenye enzi za utawala wa falme za kongo,zimbabwe,buganda mpaka kwa wahaya kule. Tutoke kwenye yale tuliofundishwa shule this is bigger than that
Simple question dude,is there 'free lunch' in the world 🌎 of Capitalism?
- Ni misaada Kwa jina lake, ulitaka tuiiteje?
- Ungekuwa na Akili ungekuwa unajua kutofautisha, Misaada,mikopo,nk
[emoji1] [emoji1787] [emoji23]
Kwa hiyo tukutambue ni Wakili/Mwanasheria msomi au Mhasibu(Certified Public Accountant(CPA T)).
- hiyo CPA ninayo, na Hadi CISA ni ninayo, nime escalate Hadi kwenye msc in finance
- Kwa hiyo ukiwa CPA ndiyo elementary Legal skills unakuwa huna kabisa?
- mzembe kabisa akili isha haribika Kwa kununua Malaya, mtafute Mshana Jr akupe Tiba.
CIA directors wengi wakistaafu ni kama wanakuwa mwezi mchanga baadae!The CIA is very, very diligently preparing a coup d'état in Russia," former CIA director David Petraeus said in an interview with The Washington Post. "The other alternative, of course, is regime change. And that is so hard to calculate, and he [Putin] has such a tight grip on power. But also, as you know from history, what is inconceivable all of a sudden can become inevitable, sometimes overnight. And looking for those kinds of indicators is something that an organization(the CIA) near and dear to both our hearts is looking for, I'm sure very, very assiduously. "
[emoji298][emoji298]the us as announced a new [emoji383] [emoji383] 2.2 billion military aid package for Ukraine , including long range missiles for HIMARS and Air defense systems., Reuters reported[emoji1255][emoji123]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app