Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?


Ukraine hawana muda huo wako busy kuua Warusi...
Warusi ndio wameikimbia nchi, kwanza kunao Warusi walikamatwa wamevaa mavazi ya kike wakati wanaitoroka nchi.
 
Hahahahahaaa,Unajua kweli kujizima data!
Nways,hujaona Tony Blair anavyolia na kutubu mbele ya Camera Kwa kuingizwa mkenge na US Kwa sababu za kubumba zisizo na ukweli na kuivamia Iraq?
Halafu wewe mkenya uliopo huko ndani ndani unaletq porojo hapa!

UK, US na washirika wote bado hawajatoa msaada kihivyo, vichache walivyotoa vimemaliza jeshi la Ukraine, je wakituma madubwana ya kweli...
 
Shida yako unazani kuheshimu uwezo wa opponent ni zambi. Mbona Russia imemwacha tu Zelensky pale alipo akiendelea kuropoka tu ilihali Russia inaweza kumuua mda wowote. Figure kubwa hivyo kirahisi tu? kwa nini sasa front line munapigwa tu?

Urusi ilimpa Zelensky masaa 24 aihame nchi, wali underestimate na kudharau, kilichowakuta hawatasahau maana jeshi la Urusi lilifyekwa na kufutwa hadi leo wamefanya mobilization ya mateja.
 
Si kwamba tu umesoma hata upeo pia umejaaliwa
 
Vikosi vya URUSI vimefanikiwa kuchukua kijiji cha Bilohorivkha ya pili iliyopo karibu na mji wa Seversk.

WARUSI sasa wanasonga mbele kuelekea kwenye kijiji cha Serebyanka ili kukizunguka kila upande.


[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
 
Ila humu jamvini kuna watu watatu wanastahili kupewa tuzo ya roho ngumu na kuukataa ukweli. 1. Proved 2. MK254, 3. Kp kipanya 44. Mijamaa ni vichwa ngumu japo wanauona ukweli wa hali halisi. Ninachoyasifu ni kwamba hayapo tayari kukiri hadharani. Yaani haya ni wafia Ukraine kuliko hata Zeleisky.
Yaani yakiamua kubisha kuwa mvua hainyeshi na ikatokea kunyesha kubwa yenyewe yatasema ni mvua lakini haina radi
 
Leo ni siku ya 17 toka Ujerumani na Poland watangaze kusafirisha Leopard tank kuja Ukraine.

*Kutoka Polanda mpaka Ukraine ni km 1200

* Kutoka Germany mpaka Ukraine ni km 1700.

*Kutoka Dar mpaka Bukoga ni km 1300.kwa malori ni safari ya siku 2.

NATO mnakwama wapi jamani

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
 
Kuna wale wengine wakiongozwa na T14-Armata walionekana ile siku Iran aliposhambuliwa na Drone.mpaka nikashangaa kumbe jamaa wapo mjini[emoji1787][emoji1787][emoji1787]


Toka siku ile sijawaona tena.
 
Ila katika wote hao Kipanya 44 kazidi kujitoa ufahamu kabisa.yani unaweza ukacheka mpaka uzimie kwa post zake[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].

Sasa jana anakuja kutuambia kuwa Bakhmut haiwezi tena kuanguka kisa eti Zelensk kasema[emoji23][emoji23][emoji23].

Sasa swali la kujiuliza Zelensk yeye ndo yupo front.
 
Labda Tuzo ya Ukilaza na Upumbavu
 
Mji wa Lyman na Mji wa Seversk inaemewa na Warusi.muda sio mrefu kitaeleweka.kikubwa usikae mbali na simu yako[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]View attachment 2505667
Endelea kutupa update man ...hao wapumbavu wengine acha waendekeze upumbav wao....nb mjinga mjibu kwa ujinga wake
 
Ukraine hawana muda huo wako busy kuua Warusi...
Warusi ndio wameikimbia nchi, kwanza kunao Warusi walikamatwa wamevaa mavazi ya kike wakati wanaitoroka nchi.
Ninachokwambia ni kuwa Urusi hakuzuia mtu kutoka nje ya nchi!Ila Ukraine wamezuiwa wanaume kutoka,na Sasa wanasakwa majumbani Kwa nguvu na kupelekwa kupambana!Hadi vilema wanapelekwa kupigana!
Sasa kama warusi walikuwa huru kuondoka na hakukuwa na zuio,hizo porojo zako umezitoa wapi?
Tunasubiri Tena yule mama wa EU aje aropoke wajeda laki kadhaa wa Ukraine wameuwawa!
 
Mji wa Lyman na Mji wa Seversk inaemewa na Warusi.muda sio mrefu kitaeleweka.kikubwa usikae mbali na simu yako[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]View attachment 2505667
Tupo pamoja halafu Kuna mda unpoteaga yaani mpaka naumwa ila nikiona post yako najua kazi inaendelea vizuri mungu awabariki Sana wachangiaji wazuri ikiwemo wewe
 
Ukijua maana ya mpumbavu na mjinga huwezi ukaumiza kichwa.
 
Ogopa Sana kulala kwenye nyumba ambayo unajua yupo nyoka Aina ya kobra[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…