Sidhani Kama una uwezo wa kujibu kwa dharau...huna uwezo huo...hata kuchambua comment ya mtu huwezi...
Mkuu kipanya aliseshasema lengo lao Ni kuwapigisha danadana warusi 😁na hili zele akasibitisha alipotaka kuhutubia kwenye world cup maana huko ndio wazee wa danadana wako...ila shafiii dauda wa uefa akasema hapanaaaa mpira na siasa haviendaniHebu nioneshe hao Ukraine wanasherehekea victory!
Watu wamekimbia nchi Kwa mamilioni,waliobaki wanaishi kwenye mahandaki halafu unaletq porojo hapa eti wanasherehekea victory😃😃😃!
Wewe inaonekana siku Ukraine ikipinduliwa kabisa basi utasema ni victory kwao maana wamepambana muda mrefu😃😃😃😃!
Wewe una definition ya peke Yako ya victory!!!
Hata wakifa milioni 50 watazaliwa wengine ila ardhi mpya hakuna ...walipokufa m 27 Leo hii wako wangapiKwa kupoteza wanajeshi 127,000 alipaswa awe amelichukua taifa lote la Ukraine....supapawa
Tangu mwezi wa 5 mwaka Jana unatuimbia wimbo huohuo wa bakhumut. , Sijui hata aibu huoni[emoji28][emoji28]Kwa mujibu Kipanya 44 na Zelensk(Bakhmut haiwezi anguka kwenye mikono ya Warusi.
Kwa hali hii inawezekana kweli wanachokisema wanamanisha au wanatania[emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2506014
Shida inakuja kwamba warusi watachinjwa Kwa wingi kadri iwezekanavyo huku wakiondoka mikono mitupu kutoka kwenye ardhi ya ukraine..,Hata wakifa milioni 50 watazaliwa wengine ila ardhi mpya hakuna ...walipokufa m 27 Leo hii wako wangapi
Kwa hio wataondoka mikono mitupu ...ile taarifa ya zele na west kua urusi inasafirisha ngano ya Ukraine kwa hio tuipuuze 😁Shida inakuja kwamba warusi watachinjwa Kwa wingi kadri iwezekanavyo huku wakiondoka mikono mitupu kutoka kwenye ardhi ya ukraine..,
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Hayo ni maeneo ya Russia SASA ardhi ya Russia ngano itakuwaje ya UkrainaKwa hio wataondoka mikono mitupu ...ile taarifa ya zele na west kua urusi inasafirisha ngano ya Ukraine kwa hio tuipuuze [emoji16]
A lunatic unaweza ukakuta anacheka mwenyewe huku akidhani anamdharau mtu
Hahahahaaa, mpaka Sasa Bado mtu timamu umekomaa na vifigure vya kubumba!Kweli kosa vyote sio maarifa!
Nimesema hicho chakula hakikuwa chako,ni kama kumpa material ya a level mtoto wa chekechea!Hapo unamconfuse!
Wewe level Yako ni kama comment hii,sio material kama Ile iliyoshiba inayohitaji tafakuri ya kina!
Nikirudi kwako,nasikia bakhmut diggers zinawafukia mpaka watu 1500 kwenye shimo Moja!
Umeulizwa hapa kwamba leta ushahidi wa sauti au video clip inayo muonyesha Putin ikitamuka adhalani kwamba jeshi la Russai/Putin limempa Zelensky amepewa masaa 24 awe ameondoka mjini Kiev/ Ukraine or else? - ushahidi huo huna kabisa, kazi yako masaa yote ni kujaribu kufurahisha baraza kwa story za kubuni tu, huchoki katika harakati zako za kujaribu ku-demonise Putin pamoja na jeshi lake - umekwisha jiunga rasmi na kikundi cha his MASTER'S voices wa BBC, VoA, SkyNews katika propaganda zao zisizo na mshiko, bila ya kusahau ku-copy copy tabloid papers za Uingereza RAW bila ya kutafakali lengo lao ni nini hasa!!
HAya, naona umeacha majaribio ya kuonyesha NATO ilivunja mapatano na Urusi. Umefika kwenye "preemptive measures", lugha ya kawaida ya mabepari kama Uingereza zamani, Ujerumani wa Hitler au MArekani......Kama hujaelewa claims za Russia juu ya guarantees Ilizopewa Soviet,eti kwasababu Soviet ilivunjika hizo guarantees haziapply Tena Kwa Russia!
Ndio maana Russia amechukua pre emptive measures kudeal na security threat aliyoiona inakuja!
Hoja hapa sio nani kamtafuta nani,maana hayo hufanywa sirini na huwezi kujua hilo!
Hoja hapa ni NATO kujitanua kuizunguka Urusi!
Kwa kuangalia historia ya Urusi na US,hakuna mmojawapo anayetaka mwenzake awe na base ya kijeshi Karibu yake!
US anaitumia NATO for its own interests!
Ndio maana Macron aliwahi pendekeze EU iwe na Jeshi lake!
Soledar nilianza kukwambia toka lini na mwisho wa siku ikawaje[emoji23][emoji23][emoji23]Tangu mwezi wa 5 mwaka Jana unatuimbia wimbo huohuo wa bakhumut. , Sijui hata aibu huoni[emoji28][emoji28]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Kwa mujibu wa ndugu wa karibu wa Tarimo, alikamatwa kwa kesi ya dawa za kulevya kisha akafungwa, baada ya muda alipatiwa taarifa za kujiunga na kundi la Wagner na kuahidiwa kuachiwa huru baada ya miezi sita ya kupambana katika uwanja wa vita.Nimepitia yote sijaona sehemu ambayo wametaja alijiunga na Wagner group lini!
Hiyo tarehe wewe umeitoa wapi?
Hiyo taharifa ndio kwanza naisikia kwako.., naona pro Russia siku hizi mna vyombo vyenu binafsi vya habari [emoji28]Kwa hio wataondoka mikono mitupu ...ile taarifa ya zele na west kua urusi inasafirisha ngano ya Ukraine kwa hio tuipuuze [emoji16]
Illusions...unadhani humu JF wanaokuona wewe ni hamnazo ni wangapi?! Ni wengi Sana...hoja zako nyingi ni za kipumbavu, kishenzi, kijinga, kifedhuli na kiwendawazimu...kutukana na kudharau dini na imani za watu wengine ni ushenzi wa kiwango Cha hali ya juu kabisa...kwenu Kenya mmezoea migawanyiko kwenye misingi ya ukabila na udini...inashangaza kuona moderators bado wamekuacha humu...Ukishadharauliwa ndio imeshakua....
Mkuu,sio 127000 Tena, idadi imeshapanda,Kwa Sasa wameshachinjwa warusi zaidi ya 130,000Na tayari zimepita hizo 127,000 maana vita vianendelea, mizoga ya Warusi inaongezeka.
Nyie mnaotetea ufashist wa dikiteta anayejiita Putin ndio mnajiona mna hoja zenye mashikoIllusions...unadhani humu JF wanaokuona wewe ni hamnazo ni wangapi?! Ni wengi Sana...hoja zako nyingi ni za kipumbavu, kishenzi, kijinga, kifedhuli na kiwendawazimu...kutukana na kudharau dini na imani za watu wengine ni ushenzi wa kiwango Cha hali ya juu kabisa...kwenu Kenya mmezoea migawanyiko kwenye misingi ya ukabila na udini...inashangaza kuona moderators bado wamekuacha humu...