Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Hiyo mara ya mwisho kuwasiliana,nilitaka kujua hiyo taarifa unayosema alijiunga na Wagner group tar 17 October!
 
HAya, naona umeacha majaribio ya kuonyesha NATO ilivunja mapatano na Urusi. Umefika kwenye "preemptive measures", lugha ya kawaida ya mabepari kama Uingereza zamani, Ujerumani wa Hitler au MArekani......
Nimekuwekea hapo juu,wewe ukadai ni maneno tu ya politicians!Kauli kutoka kwa secretary of state wa US umeita kauli hewa tu!
 
NATO wakitia guu pale Urusi inafutika, hao mateja hawana jipya maana jeshi rasmi limefyekwa wanajeshi 127,000
Kama 'mateja' wa Russia Wana utu kiasi Hiki, Mimi nani niache kuwaunga Mkono?
====
The footage once again confirmed the attitude of Russian servicemen to their enemies. All Ukrainian servicemen remained alive, none of them were wounded. They were asked to lay down their weapons and lie down on the ground. After they submitted, the Russians promised not to harm them.

On the other hand, the video reportedly shows the first experience of mobilized Russian servicemen storming a Ukrainian stronghold. Russian kindness posed a great threat to their own safety. Instead of throwing a grenade into the trenches, they entered the stronghold and began asking the enemy to come out. There is no necessary control over the surrendered Ukrainian soldiers.

The video probably shows the capture of recently mobilized Ukrainian servicemen who were thrown into the trenches without the necessary training.

Russian assault groups are acting cautiously, trying to save the lives of as many Ukrainian soldiers as possible. The Russian side is actively spreading information, confirming that all Ukrainian prisoners of war are treated well and calling on enemy soldiers to surrender and save their lives. Unfortunately, the war in Ukraine is still a bloody battle, but the video above is another proof that Ukrainian servicemen have a choice.

 
Ya Ukraine inapungua!Nasikia wamekufa wa Ukraine 15000 tu tokea vita imeanza Kwa mujibu wa Zele[emoji2][emoji2]
Ulishaambiwa idadi ya vifo kwa Ukraine ni ndogo ukilinganisha na urusi..,na hii ni Kwa Sababu Ukraine wanajua kila Chocho za mitaa Yao.., hivyo ni rahis kuwatrack warusi na kuwachinja,

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Dah aisee wanajeshi wa Urusi waungwana sana.
Na ninafikiri kwa uungwana huu wa kutotaka kuwaua mateka wa Ukraine itakua imewagharimu sana.
 

Elimu yako ni level gani??
 

Sasa amepoteza jeshi lake lote mpaka anafuata mateja, alipaswa awe ameikamata Ukraine yote kwa ambavyo tulimwogopa sana Urusi, kumbe useless
 

Na watachinjwa tu maana hamna namna, madubwasha yanaendelea kushushwa.
 

Kwa taarifa yako nilichaguliwa kama mwanaJF bora kwenye jukwaa la kimataifa, hehehe mimi ndiye komesha lenu humu takbir na napata mzuka hadi basi tu.
 
Hii Ni sehem ya mjadala huru was wazi sema kilichotokea br. Binafsi kumpata former rubani wa migs za Uganda haitawezekana but ninachokijua waganda Ni wapenzi wa Russian weapons na Hapo mnamo mwaka 2014 walijipatia Su 30 dege advanced zaidi kuliko zote zilizomo Afrika Mashariki.

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 

Mateja hawajui vita, ikiwa jeshi rasmi limefutwa 130,000 sasa mateja si ndio watakua mbolea....
 
[emoji635][emoji1218][emoji635]
[emoji1218][emoji635]
[emoji635]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…