Viongozi wa Urusi hawalii-lii,ila they are warning the World.Maneno ya Putin ya hivi karibuni kabisa ni haya,very chilling indeed,"Those seeking to defeat Russia on the battlefield apparently do not realize that a modern war with Russia would be entirely different for them. We’re not sending our tanks to their borders. Yet we have something to respond with, and it would not be limited to armor use only, everyone must realize that."Kama hizi package hazina impact mbona viongozi wa urusi hawaishi kulialia kila zikitumwa[emoji28]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
ZaporozhieWaswahili husema ni bora nusu shari kuliko shari kamili, Ukraine walikua na nafasi ya kukaa mezani na urusi kabla ya SMO. Na pale SMO ilipoanza walitakiwa kukubali kuachia yale majimbo mawili, kwanini walitakiwa kufanya hivyo?
Ukraine hana uwezo wa kushindana na Russia, wanaompa silaha nao ni kama wa bet kuona itakuaje. Kadri Ukraine anavyokomaa kupigana ndivyo atavyopoteza ardhi yake.
Gharama za vita ni pamoja na kupoteza rasilimali ardhi. Ukraine wasiposhtuka mpaka kufika October wanaweza kupoteza mpaka 50% ya nchi yao, ikumbukwe Russia anashikilia zaidi ya kilometer square 42000, ambayo ni 27% ya whole Ukraine
Ukichukua cremea, Donetsk na Luhansk kwa pamoja unapata 27% ya Ukraine yote.. sasa kufika mwisho wa mwaka itakuaje?
Tusisahau Russia anakalia 65% ya mji wa kherson.
HAdi sasa Bwana Putin ametisha kutumia nyuklia zake mara ngapi?Viongozi was Urusi hawalii-lii,ila they are warning the World.Maneno yake,ya hivi karibuni kabisa Ni haya,very chilling indeed.Amesema hivi,"Those seeking to defeat Russia on the battlefield apparently do not realize that a modern war with Russia would be entirely different for them. We’re not sending our tanks to their borders. Yet we have something to respond with, and it would not be limited to armor use only, everyone must realize that.”
Putin sio mtu wa kukurupuka kama viongozi wa nchi za magharibi,he cares about human life,tofauti na Western leaders who seek to destroy life at any given opportunity.Ndio maana hachoki kuonya,ila uvumilivu wake una mwisho,na usichukuliwe kama a sign of weakness,it will be very wrong.HAdi sasa Bwana Putin ametisha kutumia nyuklia zake mara ngapi?
Kasema Hali ni ngumu kama hambavyo imekuwa ngumu siku zote 346 za vita..,hakuna kipya hapoHali huko mbele inazidi kuwa ngumu, ni ngumu sana sasa huko Bakhmut, Vuhledar, Limansky na pande zingine, Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky alisema katika hotuba yake ya jioni ya kawaida.
"Wakati wa siku 346 za vita hivyo, mara nyingi nililazimika kusema kwamba hali ya mbele ni ngumu. Na kwamba hali inazidi kuwa ngumu. Sasa ni wakati tena. Wakati ambapo mtekaji anazidi kuleta majeshi yake kuvunja ngao yetu.
"Bakhmut, Vuhledar, Limansky na maeneo mengine. Lakini sasa, kama kila siku kati ya hizi 346, ujasiri wa askari wetu ni kila kitu," Rais wa Ukraine Volodymyr Zelenskyy alisema.
==================
Huu moto sio mchezo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Utafikiri wewe ndiye Zelensky,ajabu sana.Mhusika mkuu kasema hali ni tete,wewe una water down situation,you couldn't be more blind.Kasema Hali ni ngumu kama hambavyo imekuwa ngumu siku zote 346 za vita..,hakuna kipya hapo
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
mavi yanasukuma chupi!Hicho kifurushi kitaisha Kama mb za buku kwenye Kasi ya 4 G
Wa Ukraine watayauzaViende vikatafunwe na kuchukuliwa na jeshi la Urusi na vile tayari day la USD100,000$ kwa watakao peleka zima. Yani dau laa kupeleka zima imagine yatakavyo yeyushwa[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ndio kumepambazua, walikuwa na hamu na!Hicho kifurushi kitaisha Kama mb za buku kwenye Kasi ya 4 G
Demilitarizing NATONdio kumepambazua, walikuwa na hamu na!
Halafu anatembea mtaa wa mabasha kavaa kata K Walah hawamuachi!
KIFURUSHI KINGINE HICHO!
[emoji116][emoji116]
Hiyo mikwara mbona imezoeleka siku nyingi mkuu, Sion kama Kuna kipya chochote alichokiongea hapoViongozi wa Urusi hawalii-lii,ila they are warning the World.Maneno ya Putin ya hivi karibuni kabisa ni haya,very chilling indeed,"Those seeking to defeat Russia on the battlefield apparently do not realize that a modern war with Russia would be entirely different for them. We’re not sending our tanks to their borders. Yet we have something to respond with, and it would not be limited to armor use only, everyone must realize that.”
Mkuu,Mimi sijakataa kwamba zelensiky kasema Hali ni ngumu.., lakini jambo la kuelewa hapa ni kwamba kasema Hali ni ngumu kama hambavyo imekuwa ngumu siku zote 346 za vita.., usitake kujizima dataUtafikiri wewe ndiye Zelensky,ajabu sana.Mhusika mkuu kasema hali ni tete,wewe una water down situation,you couldn't be more blind.
Sasa kujikichekesha pasi nakuwa na sababu ya kujchekesha huwezi?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hajawai kuonyesha hata maiti 200 za Warusi .ila Warusi wameonyesha sehemu nyingi zaidi ya maiti izo 200. Sasa Mnatoa data pasipo kuwa na hata ushahidi[emoji23][emoji23][emoji23]
Hapa ni lazima fashisti Putin anene kwa lugha zote [emoji16][emoji16]Ndio kumepambazua, walikuwa na hamu na!
Halafu anatembea mtaa wa mabasha kavaa kata K Walah hawamuachi!
KIFURUSHI KINGINE HICHO!
[emoji116][emoji116]
Putin sio mtu wa kukurupuka kama viongozi wa nchi za magharibi,he cares about human life,tofauti na Western leaders who seek to destroy life at any given opportunity.Ndio maana hachoki kuonya,ila uvumilivu wake usichukuliwe kama a sign of weakness,it will be very wrong.Hiyo mikwara mbona imezoeleka siku nyingi mkuu, Sion kama Kuna kipya chochote alichokiongea hapo
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Wewe uliyenaakili unaonekana sawasawa.Unaendelea kuonesha kwamba nyie Team NATO hamna akili ebu piga Hesabu ya hiyo data zenu za kila siku Kwa siku zote Russia yupo Ukraine.
Sent from my Nokia 2.3 using JamiiForums mobile app
Ukweli unaujua,don't beat around the bush,hali sasa ni tete zaidi kwa Zelensky.Mkuu,Mimi sijakataa kwamba zelensiky kasema Hali ni ngumu.., lakini jambo la kuelewa hapa ni kwamba kasema Hali ni ngumu kama hambavyo imekuwa ngumu siku zote 346 za vita.., usitake kujizima data
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Kama utakuwa mfuatiliaji mzuri wa hii vita utagundua kwamba mikwara ya Putin kuhusu nyuklia imeisha kabisa na haisikiki Tena, unajua ni Kwa nini?? Ameona wazi kwamba Kwa Sasa hakuna yeyote anayetishika na hiyo mikwara.., hivyo kaamua kuwa mpole huku akiugulia maumivu anayoyapata Baada ya kushindwa kwa operation yake aliyoipa muda usiozid saa 72Putin sio mtu wa kukurupuka kama viongozi wa nchi za magharibi,he cares about human life,tofauti na Western leaders who seek to destroy life at any given opportunity.Ndio maana hachoki kuonya,ila uvumilivu wake usichukuliwe kama a sign of weakness,it will be very wrong.
Nakukumbusha mkuu zelensky analia lia huko mbaya zaidi watoto wa miaka 16 nao sasa wanaenda front lineKama utakuwa mfuatiliaji mzuri wa hii vita utagundua kwamba mikwara ya Putin kuhusu nyuklia imeisha kabisa na haisikiki Tena, unajua ni Kwa nini?? Ameona wazi kwamba Kwa Sasa hakuna yeyote anayetishika na hiyo mikwara.., hivyo kaamua kuwa mpole huku akiugulia maumivu anayoyapata Baada ya kushindwa kwa operation yake aliyoipa muda usiozid saa 72
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Unaweza kunikumbusha ni lini umewahi kukiri kwa kinywa chako kwamba Hali ni nzuri kwa askari wa rais zelensiky???Ukweli unaujua,don't beat around the bush.Hali sasa ni tete zaidi kwa Zelensky.