according to reports.Asante Mkuu Kwa kuniita. Nina swali.
1. Nani ame-declassify habari hii kati ya Russia na Switzerland?
2. Ni utaratibu upo ukubalika kiasi utaratibu huo ukitumika ku-declassify habari Fulani , habari hiyo uaminika?
Natanguliza Shukrani kwa majibu ya maswali yangu.
Hizo ramani unajiletea Ili kujifurahisha tu shekhe.., sijawahi kuumiza akili yangu kufuatilia hizi ramani maana najua ni utopolo mtupuEbu cheki[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].washafika mlangoni View attachment 2509720View attachment 2509723
Uenezaji wa Urusi - tuseme kuanzia uvamizi wa Watartari, takriban manmo 1550. Si ajabu kwamba uenezaji huo katika nchi za Waislamu na Waturuki ilianaz takriban wakati moja na uenezaji wa Hispania na Ureno na hatua za kwanza za Waingereza...Miaka 400 iliyopita ni Karne ya 17?
Je Urusi ilianza kujitanua East kuanzia Karne ya 17?
Wazungu wanaopatikana Mashariki ya Ulaya ni Maslav, kwa nini Mataifa yote hutumia rangi Nyeupe, Blue na Nyekundu.
Je Wachechen sio Slav? Kama ni Slav kwa nini unadhani wapo colonized na Russia?
Swali lako ni sawasawa nikuulize Wahehe wapo Tanzania si ndio? Je ni raia wa Tanzania? au Tanzania imeikoloni nchi ya Mkwavinyika?
Kama ni Watanzania Ina tofauti gani na Ingushetia kuwa Warusi?
Unafahamu namna Urusi ilivyosimama?
Unadhani baada ya kumshinda Mongolia, wangefuata mfumo wa Western Europe au East Europe ambapo utaifa ni zaidi ya kabila Moja na race Moja?
Siku nyingine ukianzisha mada jipe muda utafakari kwanza.
Mwisho naomba utupe historia ya Makazkh kwa ufupi?
Ili tuone hawana mizizi na Urusi?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa kipanya44 wewe ramani unazikataa.je sisi tutakubali vipi yale makaratasi yako ya kwenda kuprint stationary [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hizo ramani unajiletea Ili kujifurahisha tu shekhe.., sijawahi kuumiza akili yangu kufuatilia hizi ramani maana najua ni utopolo mtupu
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Professor mhongo alisema karatasi za kufungia maandazi[emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa kipanya44 wewe ramani unazikataa.je sisi tutakubali vipi yale makaratasi yako ya kwenda kuprint stationary [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Katika nchi karibu zote ni kawaida kwamba faili za serikali zinahamishwa katika idara ya nyaraka baada ya miaka fulani. Sheria na taratibu ni tofauti. Wakati mwingine baada ya kifo cha wote waliotajwa au angalau watendaji husika, katika nchi nyingine mapema au baadaye. Taarifa inayojadiliwa hapa inaonekana ilikuwa katika faili za idara ya polisi au ujasusi, huko Uswisi labda ni miaka 50according to reports.
Citing declassified archives, Swiss newspapers SonntagsZeitung and Le Matin Dimanche reported that a Swiss police file “confirms that ‘Monsignor Kirill’, as he is referred to in this document, worked for the KGB”.
====================
Utaratibu wa kupima ukweli wa huu ufichuzi sifahamu kwa kweli ila ufichuzi huu umekuja wakati muafaka.
Shujaa kweli - isipokuwa hajadili ukoloni ndani ya Urusi. Chechniya iliyovamiwa na Urusi kwa kumwaga damu nyingi kwenye miaka 1828 hadi 1859 mara ya kwanza. 1877 Warusi walipaswa kuingia tena kwa jeshi kubwa kukandamiza Wachecheni. Walipopata uhuru mnamo 1917 baada ya mapinduzi ya Urusi, wallivamiwa tena na Jeshi Jekundu mnamo 1920 na kulazimishwa kuwa chini ya Urusi.Lavrov - answered Borrell:
This is said by a man who cannot hide the racist essence of his vision of the world. Not so long ago, he publicly, without hesitation, said that Europe is a flowering garden, he is a gardener, and the jungle surrounds Europe, from which a threat to a flowering garden arises, so the garden should be more careful with the jungle. There is nothing to add here about who and how relates to the needs and interests of African countries. We have nothing to hide or be ashamed of. We stood at the origins of the liberation of Africa from the colonial yoke. The Soviet Union was one of the main initiators of the adoption of the declaration on granting independence to colonial countries and peoples in 1960. And it was not an imitation, as Boris Johnson recently called the Minsk agreements, but a real historical act that sealed the fall of colonial rule.
Tulia kijana dawa imeshaza kukuingia🤣😂Tatizo mnajitia ujuaji mwigi,yaani wewe mrusi wa kimalabonyokwa ndio unajitia kuijua sana urusi kuliko raia wanaishi humo. , mpaka hapo warusi walipo wanaendeshwa kwa mkono wa chuma,
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Mzee wa Tazama hiii.....umefufuka katika wafu wa NATOTazama drone zinavyowinda na kuwakaanga wanajeshi wa Russia ninachopenda frontline iko shap ku update sio wenzetu huku kila kukicha ni articles za telegram na mapicha yenye rangi nyekundu wakisema wanasonga mbele [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Waulize warusi wenzako waliotegemea operation ya saa 72 ya kuwaondoa wanazimamboleo...,Hawa ndio dawa imewaingia haswa[emoji28]Tulia kijana dawa imeshaza kukuingia[emoji1787][emoji23]
Hii vita bado mbichi shekhe, hivyo vifaru hata vikifika mwaka ujao bado moto utakuwa uleule [emoji91][emoji91][emoji91][emoji629] German government approves delivery of 178 more Leopard 1 tanks to AFU
Delivery is expected in summer. It is reported that some of the vehicles are incapacitated and will be used as donors for spare parts.
Watasubiria Mbinguni
Ujanja wao ni kuhakikisha Dunia ni sehemu salama ya kuishi bila vitisho vya silaha za maangamizi kutoka kwa watu wasio na utu.Warusi ni wajanja sana