kp kipanya44
JF-Expert Member
- Jun 23, 2022
- 13,151
- 15,384
Safi sana!!Zelensky aelekea UK kwa mazungumzo na Rishi Sunak.
Hii ni ziara yake ya pili nje ya Ukraine baada ya ile aloifanya nchini Marekani mwezi Disemba 2022.
Kiongozi huyo wa Ukraine anatarajiwa pia kuhutubia bunge la nchini Uingereza na baadae kusaini mikataba inohusu mafunzo zaidi kwa vikosi vya Ukraine ambavyo vipo nchini Uingereza kupata mafunzo mbalimbali.
Uingereza pia imetangaza kutoa mafunzo ya matumizi ya ndege za kivita kwa jeshi la anga la Ukraine ambayo yatawawezesha marubani wa Ukraine kurusha ndege hizo zinotengenezwa barani Ulaya za aina ya F-16.
Uingereza imekuwa ikitoa mafunzo ya kijeshi kwa Ukraine tangu mwaka 2014 na inasemwa kuwa wanajeshi wapatao 10,000 wa Ukraine wamepitia Uingereza kupata mafunzo mbalimbali ya kijeshi.
Zelensiky anazidi kupewa Air time kotekote.., amekuwa ni rais hambaye anapewa kipaumbele kuliko Rais yeyote yule..,hata joe Biden hapewi hii favour anayopewa zelensiky.., mikutano yote inayohusisha mataifa yenye nguvu kiuchumi,kiushawishi na kijeshi kahutubiaZelensky aelekea UK kwa mazungumzo na Rishi Sunak.
Hii ni ziara yake ya pili nje ya Ukraine baada ya ile aloifanya nchini Marekani mwezi Disemba 2022.
Kiongozi huyo wa Ukraine anatarajiwa pia kuhutubia bunge la nchini Uingereza na baadae kusaini mikataba inohusu mafunzo zaidi kwa vikosi vya Ukraine ambavyo vipo nchini Uingereza kupata mafunzo mbalimbali.
Uingereza pia imetangaza kutoa mafunzo ya matumizi ya ndege za kivita kwa jeshi la anga la Ukraine ambayo yatawawezesha marubani wa Ukraine kurusha ndege hizo zinotengenezwa barani Ulaya za aina ya F-16.
Uingereza imekuwa ikitoa mafunzo ya kijeshi kwa Ukraine tangu mwaka 2014 na inasemwa kuwa wanajeshi wapatao 10,000 wa Ukraine wamepitia Uingereza kupata mafunzo mbalimbali ya kijeshi.
[emoji28]Tushasikia maonyo mengi ya Putin, mikwara kibao kwamba atakayethubutu kuisaidia Ukraine kwa lolote lile na yeye atakuwa kajiingiza kwenye vita, atapata kichapo hajawahi kukiona 😀 😀 😀
Tushasikia maonyo mengi ya Putin, mikwara kibao kwamba atakayethubutu kuisaidia Ukraine kwa lolote lile na yeye atakuwa kajiingiza kwenye vita, atapata kichapo hajawahi kukiona 😀 😀 😀
Ni kwasababu wamewekeza Ukraine tangu 2014 hivyo ni lazima apewe airtime.Zelensiky anazidi kupewa Air time kotekote.., amekuwa ni rais hambaye anapewa kipaumbele kuliko Rais yeyote yule..,hata joe Biden hapewi hii favour anayopewa zelensiky.., mikutano yote inayohusisha mataifa yenye nguvu kiuchumi,kiushawishi na kijeshi kahutubia
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Unajuaje kwamba mambo hayajaenda kama walivyotegemea?? Si inasemekana kwamba lengo lao ni kuhakikisha urusi anadhohofika.?? Unafikiri kumdhohofisha urusi ni kazi ya usiku kucha,sio??Ni kwasababu wamewekeza Ukraine tangu 2014 hivyo ni lazima apewe airtime.
NI fedha nyinig sana Ukraine amepewa na mambo hayaendi kama walivyokusudia.
Mimi sitaandika sana nasubiri mkesha wa februari 24.Unajuaje kwamba mambo hayajaenda kama walivyotegemea?? Si inasemekana kwamba lengo lao ni kuhakikisha urusi anadhohofika.?? Unafikiri kumdhohofisha urusi ni kazi ya usiku kuacha,sio??
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Hizi siku mbili inaonekana zimekuwa kilio kikubwa kwa Askari wa urusi maana SI kwa kuchinjwa huku..,Jana walichinjwa 1030 Leo Tena naona ni mi Tisa na Tisa kuongeza mmoja.., Narudia Tena; hii vita ni janga kwa askari wa super pawer 🥱🥱🥱View attachment 2510199
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Mambo yanaenda vizuri tuKrasno Hora imekwenda na mma[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]View attachment 2510312
imemsaidia nn hiyo air time anayopewa...!!!...Mr. Ki-rat hebu siku moja jaribu kuzitumia hzo akili zako aisee....!!!Zelensiky anazidi kupewa Air time kotekote.., amekuwa ni rais hambaye anapewa kipaumbele kuliko Rais yeyote yule..,hata joe Biden hapewi hii favour anayopewa zelensiky.., mikutano yote inayohusisha mataifa yenye nguvu kiuchumi,kiushawishi na kijeshi kahutubia
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Typing mistakes..,hata computer inakosea Mzee,acha kutafta excuseView attachment 2510308
Ukiangalia data zako za jana utaona mpak jana feb 7 Tanks zilikua 3254 leo imepungua moja Feb 8 data zako zinaonesha tanks 3253. Achana na hizi data za mchongo ndugu yangu. Ukraine ana hali ngumu sana kutoboa kwa Russia sio rahisi maana watu anaowategemea wameshindwa kuliona ballon [emoji324] la mchina.
Typing mistakes..,hata computer inakosea Mzee,acha kutafta excuse
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Hebu tupe chanzo Cha habari kinachosema West wanafikiria kumpa urusi portion ya Ukraine Ili atulie.., acheni kutunga maneno ya kujifariji Ili mradi tu kumtetea huyo super pawer wa kwenye makaratasi.., urusi alitegemea operation Itaisha ndani ya saa 72 lakini kakutana na kisiki hambacho hakukitegemea na kinaendelea kumtoa kamasiimemsaidia nn hiyo air time anayopewa...!!!...Mr. Ki-rat hebu siku moja jaribu kuzitumia hzo akili zako aisee....!!!
Collective West yote sasa hv...imeshaona wazi kabisa hakuna ushindi hata wafanye nn ...mbele ya..'DUBU'....ww bado una ndoto zile zile....,,,hv huna habari kwamba West kwa sasa wanafikiria wamgawie Russia posheni ya Ukrein ili atulie... kuliko kuipoteza yote....na Russia kagoma...!!!..
any wei...,tuupe muda nafasi utatupa ukweli ....
Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
Duh!! Mkuu una elimu gani Kwanza [emoji848][emoji848][emoji848]Kwa taarifa zinazokwenda public especially worldwide unakoseaje?? Unajua sheria/kanuni za habari?