Noma noma sana kama ni kweli,radha ya michezo inapotea kisa Hays madubwasha.Roman Abromovich sanctioned
Chelsea hairuhusiwi kuuza mchezaji, kuuza jezi, kununua mchezaji, kuongeza mkataba,
Sent using Jamii Forums mobile app
Ona sasa shida imekuja mpaka kwa Team yngu pendwa π‘Roman Abromovich sanctioned
Chelsea hairuhusiwi kuuza mchezaji, kuuza jezi, kununua mchezaji, kuongeza mkataba,
Sent using Jamii Forums mobile app
Ujinga wa Putin huu.ππ
πππππNa imagine anavyofura kwa hasira akiona kinachoendela huko,huenda kila mara anachungulia kilipo kitufe cha Nyuklia code. Kwakweli wampe tu japo ukweli unajulikana Mtu mzima kavuliwa nguo mchana kweupe π€£
Nenda pale ikulu wakupe tausi watatu nitalipa mimi ndugu.Kuna kauli inayosema ,ukisikiliza vyombo vya habari una habarishwa uongo na usiposikiliza unakosa habari.Putin ukitaka achague mradi wa gas na nord stream 2 au ukraine asain mkataba wa kuungana na nato unahisi atachagua kipi ?
atachagua kuivamia ukraine na kuzuia mkataba.
kitu ambacho hawajui media za marekani,ufaransa,australia,ujerumani na bbc zilizo africa kwa kifupi radio mbao zote zilizopo upande wa nato hata urusi.
"""" alivyozindua avangard hypersonic missile linatoka urus mpaka marekani moja kwa moja na bomu la zurcon ambalo marekani hana" mlitangaziwa nawauliza hii habari mara mbili mbili zaidi zaidi huwa mnasikia habari za kiduku tuuu"
hizo media zinamaongezi ya kuonyesha usupa power kwa NATO countries au kuonysha kama urusi hana nguvu za kufanya lolote au wamesalender.
Nawapa taarifa lugha anayo ongea putin na uchina hamuijui kabisa ? wiki iliyopita uchina ilitoa tamko la kuiunga mkono urusi, belarus walimuunga mkono urusi na taarifa nyingi hamzipati kwa sababu "zinachujwa" ....... na kupewa zenye kuonesha urus si kitu.
Ukitaka ujue urusi ni mwanaume nitakuorodheshea mambo kadhaa hapa :β¦
1. Rais wa ufaransa alienda urusi kufanya maongezi ili wamtulize lakini alipigwa chini hakuonekana kitu, watu kitu ambacho hawaelewi ni kuwa BIDEN kaharibu sana .
2. Cancellor wa ujerumani kwa kiasi kikubwa ndio kasikilizwa baada ya ziara ya jana ukraine na kwenda urusi leo na putin kasema atapunguza troops kule.
3. Nchi zaidi ya 7 kubwa ikiwemo marekani, wingereza,ujerumani,ufaransa wanamuongelea urusi peke yake .
4. Hivi urusi hamjiulizi kwa nini viongozi wakubwa ndio wanamfata kwenye nchi yake lakini jamaa amewakazia mpaka cancellor wa ujerumani ndio kasikilizwa dunia nzima wanaiogopa NATO chini ya U.S.A kwa sababu ya propaganda.
halafu media za NATO zinavyoripoti et putin anatoa majeshi kama kaogopa vilee au hawezi kuvamia yani watu ni wanadanganywa na media.
kwa kifupi mimi nafatilia maneno ya putin kupita media yao ya RT .
kimachofanya asikurupuke anajua kwamba viongozi wa hii dunia ya leo hawajielewi yeye toka mwaka 2000 kaanza na bush,obama,trump anawajua vizuri hlf huyu biden.
1. BiDEN MGONJWA U.S.A
2. RAIS WA UKRAINE ALIKUA MCHEKESHAJI sio kiongozi mwenye uzto.
3. MACRON NI MTOTO bado hajakomaaa kwa maono ya putin.
KIDOGO KWA SASA ANAWEZA SEMA NA KIONGOZI WA UJERUMANI KWA SABABU VIONGOZI WAKE NI WATU WANAOJUA HISTORIA
KWA KIFUPI CANSELLOR WA UJERUMANI KATOA HOJA YA MSINGI KUWA KWA KIZAZI CHA SASA HAKITAJI VITA KAMA KIPINDI WALIVYO SHUHUDIA WAO ATHARI ZAKE NA KUELEZEA NAMNA WANAVYOTAKIWA KUFOCUS NA UWEKEZAJI.
Putin kamuelewa yule cansellor hata mimi hoja za cansellor wa ujerumani nimeziona zinastahili kupunguza jazba ya Putin.
NB : Putin ndio anaongoza kwa bomu za nuclear duniani msisahau hilo licha ya nchi saba kumtaka peke yake.
Putin kazua songombingo Sana.Hata Katuni pia tunakoelekea Watoto hawatoziona.Inaelekea Putin alishapaniwa siku nyingi sana ajichanganye tu wamkomeshe,kila kunapokucha hali inazidi kuwa mbaya upande wa vikwazo na hivi vinawagusa wananchi wa kawaida kabisa moja kwa moja π
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila team haijaguswa huyo kaongeza chunvi tu...Ona sasa shida imekuja mpaka kwa Team yngu pendwa π‘
Warusi wameshindwa kumkalisha Nyie Tanzania si ndio mtashindwa hata kumuangalia tu!Nikifanya Tathimini ya haraka naona kama vile Tz inauwezo mkubwa kijeshi kuliko Ukraine. Mimi nadhani tukipigana tunamkalisha tu.
Hii ni fake news!! Hakuna maamuzi kama hayo yamefanyika. Mimi ni mfuatiliaji mzuri wa mgogoro wa Ukraine na Urusi, pia ni mpenzi wa Chelsea. Weka ushahidi wa madai yako!! Mmiliki was Chelsea aliamua kujiweka pembeni mwenyewe na baadaye akaamua kuiuza Chelsea.Roman Abromovich sanctioned
Chelsea hairuhusiwi kuuza mchezaji, kuuza jezi, kununua mchezaji, kuongeza mkataba,
Sent using Jamii Forums mobile app
ππππππDah inaonyesha Wana njaa Sana!Ila kumtumikia kichaa Putin yataka Moyo!anakupeleka vitani na njaa na kifaru anakuwekea mafuta nusu tank!kazi kwelikweliView attachment 2144767
Askari wa Russia wakiiba Kuku ππππ
Hawa mwezi wa nne wataanza kufa kwa njaae
Uingereza haiwezi kufanya maamuzi yatakayoiathiri timu ya nchi yao. Mmiliki wenyewe alishaamua kuiuzaRoman Abromovich sanctioned
Chelsea hairuhusiwi kuuza mchezaji, kuuza jezi, kununua mchezaji, kuongeza mkataba,
Sent using Jmapp
Upande wa Chelsea ni uongo ila upande wa Abrahmovic ni sahihi....Hii ni fake news!! Hakuna maamuzi kama hayo yamefanyika. Mimi ni mfuatiliaji mzuri wa mgogoro wa Ukraine na Urusi, pia ni mpenzi wa Chelsea. Weka ushahidi wa madai yako!! Mmiliki was Chelsea aliamua kujiweka pembeni mwenyewe na baadaye akaamua kuiuza Chelsea.
Tatizo hawezi kumtoa,Wananchi wake wanampenda comedian wao yeye Putin atafute sehemu nyingine ya kumuweka huyo kibaraka wake mwinginehiyo vita haiishi leo wala kesho mpaka mpaka putin amtoe madarakani huyo comedian kibaraka wa mabeberu...putin anataka kupandikiza kibaraka wake ukraine,kama putin akimtoa madarakani huyo comedian itakuwa ni ushindi mkubwa sana kwake naitakuwa ni pigo takatifu kwa mabeberu hasa marekani ndio maana marekani anafanya kila awezalo kumzuia russia...
Mikono juu mwendo wa mateka!!watakuja kusema Ni propaganda
Naona wameona wawaumize matajiri wa Urusi maana wote ni marafiki wa PutinOna sasa shida imekuja mpaka kwa Team yngu pendwa π‘