We unataka Russia ifanye kitu unachowaza ww .we jamaa Ni mwehu 😂....mbona pulizo la China lilivoingia marekani ujasema USA wanakwama wapi kuwavamia wachina 😎c waliishia kulitungua tuh .tena kwa shiiiiidaaa kweli kweli,hapo jifunze sio kila ukichokozwa upiganeRussia anakwama wapi?? Mbona anakuwa kama mfamaji??..,hiyo issue ilishaitimishwa kwamba ni uhakika asilimia mia kwamba ni UK kahusika kulingana na maafisa wa urusi wenyewe..,Leo Tena mambo yamebadilika??
Kweli mfamaji haachi kutapatapa!!
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Kwanza ulichokijibu hakiendani na ulichokikwot,au umeshapiga mafunda kadhaa ya vodka??U
We unataka Russia ifanye kitu unachowaza ww .we jamaa Ni mwehu [emoji23]....mbona pulizo la China lilivoingia marekani ujasema USA wanakwama wapi kuwavamia wachina [emoji41]c waliishia kulitungua tuh .tena kwa shiiiiidaaa kweli kweli,hapo jifunze sio kila ukichokozwa upigane
Usisahau pia kwamba bado anaendelea kupokea za uso kwenye hayo maeneo,[emoji16]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Sio vijiji tu,tumekomboa majiji kadhaa ikiwemoMmekomboa vijiji vingapi??
Vilioza ??? Ushabiki huu Ni too much 😂😂hata hivyo waswahili wanasema mtu chake ,.vimeoza ila hapo c tunaona vitu new new 😎idadi yake hapo hata nato ijichange vipi kumpa Ukraine havifiki hata robo ...msije bisha maana Kuna nchi imetoa msaada wa vifaru 14 aliyejitaidi katoa 31 cjui 😃😃😃xx jiuluze vikiisha wataeza kuwapa tena ...Kama kakupa vifaru 14 hiv unategemea ukija tena kuomba utapewa vingapiUmeteua picha zuri ya makaburi ya vifaru vya Urusi ! Maana sehemu kubwa ya vifaru 12,000 vya Urusi vilioza vile kwa miaka mingi . . sasa wanajaribu kurudisha uhai. Maana katika uzalishaji wa vifaru vya kisasa walikwama, kumbuka hatma ya T14 Armata. Ila: penye nia kuna njia (labda...)
Kama urusi ana vifaru vingi kias hicho kwa nini kashindwa kuiteka Kiev ndani ya saa 72 kama ilivyokuwa lengo lake!!Vilioza ??? Ushabiki huu Ni too much [emoji23][emoji23]hata hivyo waswahili wanasema mtu chake ,.vimeoza ila hapo c tunaona vitu new new [emoji41]idadi yake hapo hata nato ijichange vipi kumpa Ukraine havifiki hata robo ...msije bisha maana Kuna nchi imetoa msaada wa vifaru 14 aliyejitaidi katoa 31 cjui [emoji2][emoji2][emoji2]xx jiuluze vikiisha wataeza kuwapa tena ...Kama kakupa vifaru 14 hiv unategemea ukija tena kuomba utapewa vingapi
Sio vijiji tu,tumekomboa majiji kadhaa ikiwemo
Kyiv [emoji56][emoji56][emoji56]
Khakivu [emoji56][emoji56][emoji56]
Kheson [emoji56][emoji56][emoji56]
Izium [emoji56][emoji56][emoji56][emoji56]
Kupyansk [emoji56][emoji56][emoji56]
Snake island [emoji56][emoji56][emoji56]
Lyman [emoji56][emoji56][emoji56]
Mycolaiv [emoji56][emoji56][emoji56]
Na bahadhi ya maeneo ya luhansik
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Huo ni mtazamo wako wewe usiyefanya uchambuzi zaidi ya kushabikia mabeberu....Russia haina nia ya kukalia Allepo na kwa hiyo mkakati wake ni tofauti...Ila Mariupol sasa ni ardhi ya Russia na kamwe haitaweza kurtudi tena huko Ukrasine...Kwa hiyo ujenzi umefanyika kule....Wewe utaiacha dunia hii na kamwe hutashuhdia mariupol ikirudi kwa Ukraine na kama kweli Ukraine itaendelea kuwepo......Hivi unadhani Zele ameenda kufanya nini huko UK na Europe kwa ujumla? Kuelezea hali halisi ya Ukraine na kuomba msaada wa nmna ya kuiondoa Russia kwenye maeneo inayoyashikilia na ukweli kuwa Russia ipo kwenye hatua za mwisho katika maandalizi ya offensive bab kubwa na ambayo lengo lake hasa kwa hakika ni kuuondoa utawala wa Zele...Kama unafuatilia Russia imo mbioni ku-declare kuwa the NAZI regime in Kiev is illegitimate...Unafahamu maana yake hapa??? ni kwamba Russia huenda ikatangaza kuwa utawala wa Zele siyo halali n a hivyo ni halali kwa Russia kuuondoa madarakani ...Kazi mnayo mwaka huuUsisahau pia allepo na miji mingine iliyotekwa na urusi inavyopendeza! Japo uwezo wa kuilinda milele Hana
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Kwahyo mnavyosema mnataka kuwatoa wavamizi wamekata hewani? Kweli Ukraine kuelewa Ni ngumu.Na hiyo 30% ya ardhi inayokaliwa na Urussi imetoka wapi??
Kwahyo mnavyosema mnataka kuwatoa wavamizi wamekaa hewani? Kweli Ukraine kuelewa Ni ngumu.
Hiyo ni Kwa ajili ya kuendelea kumpigisha danadana Ili afe kabisa kifo Cha Mende na asirudie Tena upuuzi alioanzishaNa hiyo 30% ya ardhi inayokaliwa na Urussi imetoka wapi??
Nakukumbusha tu ya kwamba hata kheson tuliambiwa ni ardhi ya urusi milele, mpaka mitaala ya shule za kirusi ikaanzishwa huko , lakini kilichotokea ni super pawer kukimbizwa kama mbwa mwizi na hakuna kitu alifanya [emoji16][emoji28]Huo ni mtazamo wako wewe usiyefanya uchambuzi zaidi ya kushabikia mabeberu....Russia haina nia ya kukalia Allepo na kwa hiyo mkakati wake ni tofauti...Ila Mariupol sasa ni ardhi ya Russia na kamwe haitaweza kurtudi tena huko Ukrasine...Kwa hiyo ujenzi umefanyika kule....Wewe utaiacha dunia hii na kamwe hutashuhdia mariupol ikirudi kwa Ukraine na kama kweli Ukraine itaendelea kuwepo......Hivi unadhani Zele ameenda kufanya nini huko UK na Europe kwa ujumla? Kuelezea hali halisi ya Ukraine na kuomba msaada wa nmna ya kuiondoa Russia kwenye maeneo inayoyashikilia na ukweli kuwa Russia ipo kwenye hatua za mwisho katika maandalizi ya offensive bab kubwa na ambayo lengo lake hasa kwa hakika ni kuuondoa utawala wa Zele...Kama unafuatilia Russia imo mbioni ku-declare kuwa the NAZI regime in Kiev is illegitimate...Unafahamu maana yake hapa??? ni kwamba Russia huenda ikatangaza kuwa utawala wa Zele siyo halali n a hivyo ni halali kwa Russia kuuondoa madarakani ...Kazi mnayo mwaka huu
Ndiyo vilioza! Unafikiri ni nini inayotokea ukiacha vifaru vizee huko hewani katika mvua, jua, theluji na barafu miaka baada ya miaka?? Mkuu hii si swali la ushabiki ni matumizi ya akili tu.Vilioza ??? Ushabiki huu Ni too much 😂😂hata hivyo waswahili wanasema mtu chake ,.vimeoza ila hapo c tunaona vitu new new 😎idadi yake hapo hata nato ijichange vipi kumpa Ukraine havifiki hata robo ...msije bisha maana Kuna nchi imetoa msaada wa vifaru 14 aliyejitaidi katoa 31 cjui 😃😃😃xx jiuluze vikiisha wataeza kuwapa tena ...Kama kakupa vifaru 14 hiv unategemea ukija tena kuomba utapewa vingapi
Ardhi anayoikalia urusi Kwa Sasa ni Kwa ajili ya kuendelea kumpigisha danadana Ili azidi kudhohofika..,usiwe na haraka na Hilo shekhe,Kwahyo mnavyosema mnataka kuwatoa wavamizi wamekata hewani? Kweli Ukraine kuelewa Ni ngumu.
Maadam package za vikwazo bado zipo basi zitaendelea kuwa imposed tu hakuna namna.., lakini Kwa nini huyu super pawer asifanye retaliation ya hivi vikwazo kwa kuimpose vya kwake?? [emoji16]Jiandaeni na sanctions, team putin kutoka mwembe ladu
- team putin mutatoboaaa?
EU's Von Der Leyen: New Russian sanctions will target Putin's propagandists
Kawaulize BBC bhanaHabari uliyoleta inasema warysi wakikaribi Bakmuti na nyinyi mlishasema jeshi la Ukraine lishakimbia huo mji unatawaliwa na Russia mbona hueleweki sasa kenge mweusi wewe.
Nakukumbusha tu ya kwamba hata kheson tuliambiwa ni ardhi ya urusi milele, mpaka mitaala ya shule za kirusi ikaanzishwa huko , lakini kilichotokea ni super pawer kukimbizwa kama mbwa mwizi na hakuna kitu alifanya [emoji16][emoji28]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobil
Hapa kinatafutwa kibali chakuitwaa UKRAINE karibu yote ama kuwaondoa kina ElenskyThe Kremlin is considering declaring the Ukrainian Nazi Regime illegitimate
Hizo silaha zitakazokuja kwamaoni yako na mawazo yako unahisi zitafanikiwaHizi helmets hawakuvaa kama fashion show. Tutarajie ndege anga la Ukraine. Wakati huo vifaru vinakuja. Ukraine itapewa hata silaha za miaka 30 iliyopita na zitatoshaView attachment 2511213