Katafute mitandaoniHii ni fake news!! Hakuna maamuzi kama hayo yamefanyika. Mimi ni mfuatiliaji mzuri wa mgogoro wa Ukraine na Urusi, pia ni mpenzi wa Chelsea. Weka ushahidi wa madai yako!! Mmiliki was Chelsea aliamua kujiweka pembeni mwenyewe na baadaye akaamua kuiuza Chelsea.
Pamoja sanaAsante sana..
Putin kawapeleka watu vitani na njaa!maajabunukuu: Russia has about four times as many soldiers as Ukraine, twice as many tanks, and more than six times as many combat aircraft. The huge imbalance in forces reflects the defense budgets of the two countries. Russia spends about $78 billion on its armed forces annually, Ukraine $1.6 billion.
View attachment 2144892
Ila Warusi wameandaliwa vibaya pia wanaongozwa vibaya hadi sasa. Wanalipa gharama ya udikteta; maana kama raisi yako ni "dume" asiyetaka kusikia mawazo tofauti - basi yuko hatari! Maana kama watu wake wanamwogopa mno hataambiwa ukweli ilhali watu wake wanaogopa kumbia kitu ambacho wanajua hapendi.
Ni dhahiri hii imetokea hapa. Picha nyingi za vifaru vilivyoachwa njia zinaonyesha: Warusi hawakupanga dizeli ya kutosha kwa vita iliyo ndefu kuliko siku chache. Picha za wanajeshi Warusi wanaovunja madukla na kuiba chakula zinaonyesha: wengine hawana chakula cha kutosha. Warusi walitegemea kwamba askari wa Ukraine watakimbia na wananchi wa Ukraine watawashangilia.
Ambayo haikutokea. Kinyume chake.
wanapita kimya kimya kama hawaoni kituMikono juu mwendo wa mateka!!watakuja kusema Ni propaganda
kirusi hichoHuyu Sasa Mrusi au mkerene?lugha gongana
Kwahiyo ww kutoka Chuwani Zenji unayajua haya ila walioko Moscow hawajui.Rais wa Ukraine kulalamika kila siku ni mbinu mojawapo ya kivita. NATO na USA wako nae bega kwa bega.
Wanachokifanyika NATO na USA ni kuitumia Ukraine kama chambo ya kuiangusha Russia kiuchumi ambapo matokeo yake haitatawalika na nguvu zake kijeshi zitapungua sana kwa siku zijazo.
Ukraine itapata hasara ya miundombinu ila NATO na USA watasaidia kuijenga upya.
Shughuli itakua kwa Russia maana itapata hasara kubwa kiuchumi kwa miaka mingi ijayo.
Usiwe mbishiUingereza haiwezi kufanya maamuzi yatakayoiathiri timu ya nchi yao. Mmiliki wenyewe alishaamua kuiuza
Una uhakika moscow hawajui?Kwahiyo ww kutoka Chuwani Zenji unayajua haya ila walioko Moscow hawajui.
😂😂😂 Wanajeshi wao wengine watadakwa mjini wako wanaiba vyakulawanapita kimya kimya kama hawaoni kitu
Dah!Hawa virusi wamejiaibisha sanakirusi hicho
mmarekani alipoingia iraq alitumia muda gani kushinda vita?Aibu nchi inajitangaza superpower kuonekana na udhaifu wa kivita kiasi hiki- hadi leo Urusi inadhibiti mji mmoja tu Ukraine.
Ila na Iran wako vizuri kwenye drone na pia ni wazuri kwenye mifumo ya ulinzi ya kuharibu hizo drone na kuzidukua kwa hiyo usiwachukulie poa mkuu.Mwaka juzi kulikuwa na uzi nadhani ni wa North Korea nikadokeza somewhere kwamba Uturuki inaweza ipiga Iran watu wakaja juu kweli kwamba nawakosea Iran. Ila Uturuki ni taifa lingine kwenye silaha na ni superpower kwenye drone tangu kabla ya hii vita ianze. Silaha nyingine za Uturuki kama meli za kivita, helicopters, jet trainers, IFVs na APCs, missiles na precision guided munitions tuziache kwanza. Bado nasema hivi Iran hawezi kumpiga Uturuki na ambavyo dynasties za Persians zina historia ya kupigana na Ottomans mara nyingi. Hawa wote wapiganie mipakani ila sio deep in territories hiki tunachokiona kwa Ukrainians kiko kwenye damu ya Wairan sio kwamba unaanza kuwahamasisha.
Yale mapinduzi ya 2016 yaliyofeli Uturuki maelfu ya raia waliingia barabarani kutengeneza human chain kuzuia vifaru vya wanamapinduzi visipite, kuna clip nadhani YouTube bado zipo raia wamezuia njia crew ya kifaru ikafungua hatch kuongea nao raia wakawashusha na kuwachapa makofi. Nikiunganishi na jinsi Ottomans walivyopigana kwenye Gallipoli campaign kuzuia zile staits ambazo unapitisha meli za kivita ndio uende Urusi. The way kina Winston Churchill kipindi hicho ni kamanda walivyoshindwana na Waturuki mpaka kila upande ukapoteza wanajeshi 56,000 kwa vifo naamini Uturuki ukiwachokoza ujipange sana. Kuna jamii zina spirit ya tangu kale ya kupigana
Uturuki anaizidi China na Urusi kwenye unmanned aerial vehicles ila anazidiwa mbali na Israel na Marekani. Hizi ndege za Russia kina Su-25 na Mig-34 zinazopigwa kwenye anga la Ukraine hazina ulazima sana wa kutumika kama Russia ingekuwa na effective attack drones. Uzuri ni kwamba ukiwa na drone huogopi kupoteza rubani na unakuwa na confidence, rubani akiwa na Su-25 anakuwa na hofu, anaenda haraka na coordinates anaweza kosea kwa kiwewe maana kila siku ndege zinadondoshwa na mwishowe anakosea target. Operator wa drone anatulia maana haoni kingine zaidi angani, hata ikipigwa hatokufa, drone si gharama sana na zimetengenezwa kwa materials ambazo ni ngumu kuziona kwa radar
Wazalendo Sana Ukraine.
Tanks ni vifaru. Makala inaeleza uwezekano wanajeshi kuzidiwa na baridi ndani ya vifaru kuanzia wiki ijayo kutokana na kuchanganya msimu wa barafu. Njia pekee kuepuka hili ni kuicha engine ikinguruma muda wote ,jambo ambalo haliwezekani kutokana na upungufu mkubwa wa mafuta unaokabili jeshi la uvamizi. Vladimir Putin is a terrible war strategist.Jamani kuuliza si ujinga,naomba kueleweshwa hizo Tank Ni nini?...zikoje?
Tunaitunza hii comment yako kwa matumizi ya baadae. Iache hivihivi tafadhali bila kui editSasa Ukraine kwanini hawashindi hii vita? Kwanini wanomba msaada? Kwanini wanataka no fly zone? Kwanini hawarudishi nyuma majeshi ya russia? Kwanini wananchi wakimbie? Kwanini walazimishe vijana na wananchi kushika silaha? .
Akili za kuambiwa changanya na zako, mda si mrefu tutaona nani atasarenda.