D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,665
- 121,102
Unamzumguzia uingereza huyuhuyu aliyempa mkwara mzito super pawer kwamba " ukiendelea na Tambo zako za nyukria,na sisi tunasogeza mitambo yetu ya nyukria Poland".. tangia uingereza atoe kauli hiyo Tambo za nyukria za dikiteta Putin zilirudi mfukoni[emoji28]Uingereza ilikua zamani sahivi wanajitutumua kama mkate uliweka amira ila hamna kitu hata Tanzania tunawakalisha vizuri tu.
Ni kweli, Putin tunaweza kumfananisha na kiduku wa north Korea tu,iyo ndio size yake [emoji16]Kama Kiduku kwa Japan
Tupe updates za bakhumut shekhe, maana wiki 2 zilizopita tuliambiwa imebaki kilometer 10 tu Ili bakhumut iwe completely incicled [emoji28][emoji16]WARUSI wanasonga mbele maeneo ya Kharkiv karibu na mji wa Kupyansk.
mji mdogo wa Dvurechnoye hatimae umeangukia tena kwa mara nyingine kwenye mikono ya WARUSI.
Sasa WARUSI wameanza kutengeneza duara ili kuzunguka mji wa Kupyansk
[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]View attachment 2512607View attachment 2512608
Hizo silaha wanapewa bure au wananunua?Hivi kongo anavyopigana na waasi anapotumia silaha za Russia na China inamaana nchi hizo pia zinapigana tumia akili bro
WARUSI sasa wanakaribia kwenye mji mdogo wa Chasiv yah.mji ambao una barabara ya mwisho ya kutokea kwenye mji wa Bakhmut.kama wakifanikiwa kuchukua mji wa Chasiv yah basi watakuwa wametengeneza Mariupol nyingine kwenye mji wa Bakhmut maana vikosi vya Ukraine vitalazimika kupigana mpaka kifo au kukubali kujisalimishaTupe updates za bakhumut shekhe, maana wiki 2 zilizopita tuliambiwa imebaki kilometer 10 tu Ili bakhumut iwe completely incicled [emoji28][emoji16]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Vip una habari ya kile kichowakuta huko vuhledar [emoji28]WARUSI sasa wanakaribia kwenye mji mdogo wa Chasiv yah.mji ambao una barabara ya mwisho ya kutokea kwenye mji wa Bakhmut.kama wakifanikiwa kuchukua mji wa Chasiv yah basi watakuwa wametengeneza Mariupol nyingine kwenye mji wa Bakhmut maana vikosi vya Ukraine vitalazimika kupigana mpaka kifo au kukubali kujisalimishaView attachment 2512619View attachment 2512620
Ni kuwapa nyundo za vichwa tu sasa hivi ,Slava Ukraine 🤣🤣🤣🤣Welcome back [emoji847] comred..,washushie nondo Hawa mashabiki wa fashisti [emoji3525][emoji3525]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Naona bado wapiganaji wa Ukraine wanakaza , vipi wamebakiza miji mingapi kuiokoa toka kwa fashist ?Welcome back [emoji847] comred..,washushie nondo Hawa mashabiki wa fashisti [emoji3525][emoji3525]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Muda ni muamuzi mzuri sana....!!!..tuwe watulivu...!!!...Cruise missiles 61 zimepigwa chini..,hii vita imekuwa hasara tupu kwa urusi!!
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Kwa hisani ya BBC,CNN na SKY newsSasa mbona mwindaji ndiye anawindwa?? Maana Kwa hali iliyoonekana urusi ndio anaonekana kuchezea mkong'oto!
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Sidhani kama wataonekana hapa[emoji28]Ni kuwapa nyundo za vichwa tu sasa hivi ,Slava Ukraine [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mkuu,Kwa Sasa Ukraine anadefend tu, lakini anaandaa offensive ya maana maana vile vifurushi vya maana kutoka USA ikiwemo magari ya kivita na makombora yenye uwezo wa kupiga umbali wa km 150 ndio kwanza vinaandaliwa kuingia front line..,bila shaka hii offensive itafanyika si chini ya wiki 2!!Naona bado wapiganaji wa Ukraine wanakaza , vipi wamebakiza miji mingapi kuiokoa toka kwa fashist ?
Rudi kwa eshima.ulikuwa na haki ya kupigwa ban kwa maneno yako ya ovyoKuna Machangudoa washabiki wa gaidi putin walijitongozesha kwa mod ,nikapigwa ban , nimerudi sasa , simbilisi nyie
Kama warusi zaidi ya laki Moja na elfu thelathini wameshachinjwa,wewe, unaona mchezo? Shauri yako!Kwa hisani ya BBC,CNN na SKY news
wacha kuropoka wewe chaliii
Mi nakuongezea na wiki 2 zingine.kwa iyo baada ya mwezi nitakuliza umefika mji gani[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mkuu,Kwa Sasa Ukraine anadefend tu, lakini anaandaa offensive ya maana maana vile vifurushi vya maana kutoka USA ikiwemo magari ya kivita na makombora yenye uwezo wa kupiga umbali wa km 150 ndio kwanza vinaandaliwa kuingia front line..,bila shaka hii offensive itafanyika si chini ya wiki 2!!
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app