professional Driver
JF-Expert Member
- Sep 23, 2022
- 2,959
- 3,511
Baada ya wiki mbili Atakua kafika kizuiani labda [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mi nakuongezea na wiki 2 zingine.kwa iyo baada ya mwezi nitakuliza umefika mji gani[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hizo updates unavyokazana kuzileta Sasa.., utafikiri huyo super pawer ameshaiteka Ukraine yote!! Kumbe ni mwaka Sasa anapigana mji mmoja wa bakhumut [emoji23][emoji28]WARUSI wanasonga mbele kuelekea kwenye kijiji cha Bohoyavlenka na pia wameanza kutengeneza mzunguko wa kuufunga mji wa Ugledar.
WARUSI wametoa muda kwa wakazi wote wa mji wa Ugledar kuondoka kwenye mji kabla hawajaufungaView attachment 2512635
Kwanza Wagner ni kampuni,hiyo ya kuchukua wafungwa na kuwapeleka vitani Naamini wanapitia mafunzo Kisha wanapelekwa vitani,japo mafunzo hayo yanaweza kuwa ya muda mfupi!Mkuu mbona unajibu kama mtoto mdogo asiyejua chochote?? Ndiyo, maisha ya wanajeshi kuna thamani kubwa! Kwanza kwa sababu ndiye kiumbe wa Mungu, pili kwa sababu askari ana elimu na maarifa ambayo kuna thamani kubwa, na kila kamanda atajaribu kutunza uhai wa askari wake. Maana vita ya kisasa huwezi kumweka mgeni katika kifaru na kutegemea atafanikiwa na chochote. Huwezi kumpa silaha ya kisasa (kuanzia manpad hadi Himars) na kutegemea atapiga chochote. Kila jeshi linawekeza wakati na pesa nyingi katika mafunzo ya askari wake.
Ukiwa Wagner unawaeza kuchukua wafungwa kutoka gerezani na kuwapeleka mapigano ili wapunguze risasi za adui ilhalli hujali kama wanarudi au la. Insonekana huu ni mfano uanopenda. Utampenda pia Jengis Khan aliyetumia mbinu huohuo.
Ila huwezi kuelewa chochote katika vita ya kisasa.
[emoji1255][emoji1255][emoji123][emoji123]Ni kuwapa nyundo za vichwa tu sasa hivi ,Slava Ukraine [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Baada ya sauti nyingi kumshutumu uongozi wa kifashist wa Putin Kwa kuwalazimisha wafungwa,mateja na wavuta bangi na kuwapeleka front line..,Sasa mmeamua Sasa kuretaliate kwa kumpakazia Ukraine kwamba anasajili walemavu..,hivi mnajua maana ya mtu mlemavu?? Jifunzeni uongo, naona hata kuongopa hamjui,Kwanza Wagner ni kampuni,hiyo ya kuchukua wafungwa na kuwapeleka vitani Naamini wanapitia mafunzo Kisha wanapelekwa vitani,japo mafunzo hayo yanaweza kuwa ya muda mfupi!
Uzuri ni kuwa wafungwa wenyewe husaini mikataba na hawalazimishwi kama ambavyo anafanya Ukraine ya kuwinda wanaume Kwa nguvu majumbani na kuwapeleka kupambana!
Kumbuka,mwanzoni kabisa mwa SMO Zelensky alisign decree kuzuia wanaume kutoka nje ya nchi na kuwata washike bunduki na kupambana!Na kweli vyanzo vingi villireport raia wakiwa wameweka vizuizi vya mchanga huku wakiwa na silaha bila hata safety gears!
Na Sasa tunasikia Hadi walemavu wanalazimishwa kwenda kupambana!
Hayo huwezi kuyasema,wewe unayaona ya Russia tu!
Aiseee, kweli Russians ni Superpower... Yaani ratiba za drills za kijeshi zinaendelea kama kawaida."Russian latest missile frigate holds artillery firings in Atlantic drills - Military & Defense - TASS" Russian latest missile frigate holds artillery firings in Atlantic drills
Wanachukua Vijana Miaka 14 kwa nguvu.Kwanza Wagner ni kampuni,hiyo ya kuchukua wafungwa na kuwapeleka vitani Naamini wanapitia mafunzo Kisha wanapelekwa vitani,japo mafunzo hayo yanaweza kuwa ya muda mfupi!
Uzuri ni kuwa wafungwa wenyewe husaini mikataba na hawalazimishwi kama ambavyo anafanya Ukraine ya kuwinda wanaume Kwa nguvu majumbani na kuwapeleka kupambana!
Kumbuka,mwanzoni kabisa mwa SMO Zelensky alisign decree kuzuia wanaume kutoka nje ya nchi na kuwata washike bunduki na kupambana!Na kweli vyanzo vingi villireport raia wakiwa wameweka vizuizi vya mchanga huku wakiwa na silaha bila hata safety gears!
Na Sasa tunasikia Hadi walemavu wanalazimishwa kwenda kupambana!
Hayo huwezi kuyasema,wewe unayaona ya Russia tu!
Alafu kesho hiyo miundombinu inakuwa instored.., ukisikia kutwanga maji kwenye kinu ndio hivi Sasa!!Dnipro Hdroelectric station inawaka moto.asanteni sana west kwa msaada wenu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2512676
Safi sana.OPEC+ will not increase oil supplies after Russia cuts production - OPEC+ delegates.
Lete ushaidi wa unachokisema,sio unabwabwaja tu!!Wanachukua Vijana Miaka 14 kwa nguvu.
Sawa mrusi kutoka bonyokwa.., maana umewazidi wataalamu wote wa west walioweka prince cap!Safi sana.
Na hapa wazee wa Price Cap lazima watoe kilio...
Yaani hapa ni kwamba:
Kama hamtaki bei ya wese lipande, basi toeni hizo Sanctions zenu kwenye mafuta ya Russia.
Otherwise, wacha tuendelee kupiga hela kwa mafuta kuwa ghali.
Na pia hiyo Price Cap inakuwa meaningless.
Mkuu kuhusu Wagner "unaamini"?? Imani kwenye msingi gani? Huajfuatilia habari za kijana wa tanzania Tarimo ? Alisaini na Wagner, alitoka gerezani na siku chche baadaye alikufa tayari. Mazoezi ya askari si chini ya miezi 2-3. Taja mfano mmoja ambako wafungwa wa Wagner wamepata mwezi 1 wa mafunzo tu!!! Wanapelekwa huko ili wafe wakichosha Waukraine.Kwanza Wagner ni kampuni,hiyo ya kuchukua wafungwa na kuwapeleka vitani Naamini wanapitia mafunzo Kisha wanapelekwa vitani,japo mafunzo hayo yanaweza kuwa ya muda mfupi!
Uzuri ni kuwa wafungwa wenyewe husaini mikataba na hawalazimishwi kama ambavyo anafanya Ukraine ya kuwinda wanaume Kwa nguvu majumbani na kuwapeleka kupambana!
Kumbuka,mwanzoni kabisa mwa SMO Zelensky alisign decree kuzuia wanaume kutoka nje ya nchi na kuwata washike bunduki na kupambana!Na kweli vyanzo vingi villireport raia wakiwa wameweka vizuizi vya mchanga huku wakiwa na silaha bila hata safety gears!
Na Sasa tunasikia Hadi walemavu wanalazimishwa kwenda kupambana!
Hayo huwezi kuyasema,wewe unayaona ya Russia tu!
Akili mzigo,hao hizo silaha wanapewa bure?Wanapewa mafunzo?Wanapewa taarifa za kiintelejensia?Wanapewa misaada ya fedha kuendelea kumudu vita na misaada mingine ya kibinadamu?Hao waasi wamewekewa vikwazo vya kiuchumi wasiweze Ili wasiweze kuendelea na vita?Hivi kongo anavyopigana na waasi anapotumia silaha za Russia na China inamaana nchi hizo pia zinapigana tumia akili bro
Hata mimi nashangaa.Air defence zilikuwa wap? Jaman Russia mnatumia makombora gani Tena ambayo yanapenya hata wakibana? Haya tunasubiri leopard bwana huu mtori tu nyama tutakula wiki ijayo.[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
Si Huwa mnasema kwamba ukraine hapewi silaha Bure Bali ni madeni??Akili mzigo,hao hizo silaha wanapewa bure?Wanapewa mafunzo?Wanapewa taarifa za kiintelejensia?Wanapewa misaada ya fedha kuendelea kumudu vita na misaada mingine ya kibinadamu?Hao waasi wamewekewa vikwazo vya kiuchumi wasiweze Ili wasiweze kuendelea na vita?
Tumia akili Yako vizuri kabla ya kuandika!
Ndio maana hata yule waziri wa Ulinzi wa Israel alishawahi kusema... hizi Iron Dome air defense systems ni kwa ajili ya kuzuia makombora ya Hamas.Jeshi la anga la Zelensky linalalamika kuwa Urusi imeitandika Ukraine na makombora 35 yasiyoweza kutunguliwa na mifumo ya ulinzi ya anga iliyopelekwa na Marekani/NATO nchini humo ikiwemo NASAMS
View attachment 2512487
Juzijuzi tu askari wa urusi wanne walichinjwa kwa shambulizi la drone Tena ndani ya ardhi ya urusi kwenyewe..,si tunaambiwa Russia ana air defense Bora kabisa dunian?? Wakati huo zilikuwa zimelala,sio??Hata mimi nashangaa.
Nashangaa wanaposema Russia anashambulia Civil infrastructures. Sasa najiuliza hizo Air Defense systems walizopewa zinafanya kazi gani..?
Ndio unapokuja kuelewa kwamba, hizo Air Defense systems zimeshachomwa moto... kama zingekuwepo tungeona zinafanya kazi...
Nakukumbusha tu makombora 61 kati ya 71 yametunguliwa na air defense,huku drone 5 za shaheed kamikaze zikishushwaNdio maana hata yule waziri wa Ulinzi wa Israel alishawahi kusema... hizi Iron Dome air defense systems ni kwa ajili ya kuzuia makombora ya Hamas.
Lakini kwa makombora ya Russia, hii defense systems haifanyi kazi. Nadhani sasa hivi anaweza kueleweka vizuri sa a.