Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 20,546
- 38,093
Ukiangalia mambo yanavyoenda niwazi KHARKIV nayo itaenda kupigiwa kura ya maoni huko mbele iwe RUSSIAWARUSI wanasonga mbele maeneo ya Kharkiv karibu na mji wa Kupyansk.
mji mdogo wa Dvurechnoye hatimae umeangukia tena kwa mara nyingine kwenye mikono ya WARUSI.
Sasa WARUSI wameanza kutengeneza duara ili kuzunguka mji wa Kupyansk
[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]View attachment 2512607View attachment 2512608
Mkuu umenena vema sana "KHARKIV nayo itaenda kupigiwa kura".!!!Ukiangalia mambo yanavyoenda niwazi KHARKIV nayo itaenda kupigiwa kura ya maoni huko mbele iwe RUSSIA
Kwahakika naona kama KIEV yote itakua nisehemu ya RUSSIA
Sent using Jamii Forums mobile app
Point yangu ni kwamba; kitendo Cha Rais zelensiky kuwalilia west kumpa misaada ya kijeshi kila kukicha, inamaanisha Yuko peke yake katika kupambana na ufashist wa dikiteta Putin,Jitambue kidogo zelensky anaona kila anachopewa hakimtoshi na ndio maana anafosi kila mara, leo hii analalamika urusi katuma makombora yameharibu miundombinu hivyo dunia imzuie urusi, anasahau kua air defence alizopewa zilikua na lengo la kumzuia huyo urusi lakini imeshindikana.
Jamaa kila anacho pewa anaona kama ni toy tu ndio maana analia kila mara.
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Ila RUSSIA anawapelekesha sana hawa wapuuzi wa WESTSafi sana.
Na hapa wazee wa Price Cap lazima watoe kilio...
Yaani hapa ni kwamba:
Kama hamtaki bei ya wese lipande, basi toeni hizo Sanctions zenu kwenye mafuta ya Russia.
Otherwise, wacha tuendelee kupiga hela kwa mafuta kuwa ghali.
Na pia hiyo Price Cap inakuwa meaningless.
Mwaka mzima Sasa Ukraine peke yake anamtoa kamasi huyo anayejiita super pawer, huoni kwamba NATO kuingia battle na urusi ni sawa na kumuua nzi kwa lisasi??[emoji16][emoji23][emoji16]
Wachache tu tutamuelewa kama bwana mchekeshaji anaivuta NATO huko kwenye SMO ila hao wanaovutwa wanaogopa
Ila ajue tu NATO wakivutika basi rasmi KREMLIN wana update SMO yao kwenda kwenye totally WAR hapa ndio patakua patamu
Ingawaje pataumiza wengi zaidi
Sent using Jamii Forums mobile app
MSM zote zitasema tu ukweliPole pole Watasema Ukweli
The NYT, for the first time, has admitted that "Ukraine is losing."
Ukraine isn't winning even in western propaganda media anymore.
Afadhali umerudi mkuu pole na majukumuUlaya yalalamika kuwa Urusi imezidisha zaidi kichapo nchini Ukraini huko kusini na mashariki.
View attachment 2512499
Endelea kuota!!Ukiangalia mambo yanavyoenda niwazi KHARKIV nayo itaenda kupigiwa kura ya maoni huko mbele iwe RUSSIA
Kwahakika naona kama KIEV yote itakua nisehemu ya RUSSIA
Sent using Jamii Forums mobile app
Anapambana pekeyake vikwazo aliweka yeye zelenskyPoint yangu ni kwamba; kitendo Cha Rais zelensiky kuwalilia west kumpa misaada ya kijeshi kila kukicha, inamaanisha Yuko peke yake katika kupambana na ufashist wa dikiteta Putin,
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Zikisema jinsi warusi wanavyochakazwa msikose pia kutuletea updates!!MSM zote zitasema tu ukweli
Kwanamna hii acha SMO iendelee maana imeleta tujue mengi kwel kwel
Sent using Jamii Forums mobile app
Si mnasema vikwazo havina madhara yoyote?[emoji16]Anapambana pekeyake vikwazo aliweka yeye zelensky
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Sikubali kila kitu ulichosema maana sikuweza kuyathebitisha. Ila kimsingi ni sahihi kwamba kwenye nchi ya hali ya vita kuna sheria zinazounda sharti ya raia fulani kuhudumia jeshini. Na kila nchi usipofuata sheria, polisi itakuja kuchukua ili ufuate. Ona mfano wa Urusi:Nashukuru unakiri Ukraine anafanya yote hayo kwasababu amevamiwa!Hujapinga hilo,Niletee hiyo taarifa ambayo Putin amezuia wanaume kutoka nje ya nchi!
Ni kawaida Kwa nchi za kidemokrasia viongozi kuwajibika.., uingereza imebadili viongozi wa juu wasiopungua watatu kwa kipindi kisichozid miezi 6!Yaani Ndani Mwao Hakupo Sawa
All 6 deputy Interior ministers in Ukraine have resigned. This is reported by RBC-Ukraine with reference to its sources.
Hivyo vikwazo havina maajabu kama mwanamke alie olewa wakati alishakua malayaSi mnasema vikwazo havina madhara yoyote?[emoji16]
Alafu nakukumbusha tu ya kwamba vikwazo vinawekwa kwa nchi yoyote korofi,hata north Korea na nchi nyingine kibao zimewekewa vikwazo, urusi sio taifa la kwanza kuwekewa vikwazo!!
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Vikwazo vinawekwa kwa nchi yoyote korofi Mzee,nielewe,hata hii nchi yenu ya tozonia ikileta ukorofi na kuwaudhi wakubwa vikwazo vinaiuhusu.., urusi kawekewa vikwazo kama zinavyowekewa nchi zote korofi,Hivyo vikwazo havina maajabu kama mwanamke alie olewa wakati alishakua malaya
Nakuuliza URUSI vikwazo aliwekewa na zelensky maana unasema zelensky anapigana pekeyake au! Na kama hajaweka yeye basi jua zelensky hayuko pekeyake ila ndio hivyo wanaosaidia wote nao hawajiwezi.
Inaonesha unakichwa kisicho elewa hata maswali ya kawaida
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Mkuu mbona unaleta habari za mwezi uliopita? Ilikuwa mnamo 24 Januari kwamba mamlaka za Ukraine zilifukuza mawaziri na manaibu 15.Yaani Ndani Mwao Hakupo Sawa
All 6 deputy Interior ministers in Ukraine have resigned. This is reported by RBC-Ukraine with reference to its sources.
Wale hawajafa maana wanapigania HAKI salama lakini nyinyi mnakufa sababu mnapigania haki ya UCHOKO.Kama warusi zaidi ya laki Moja na elfu thelathini wameshachinjwa,wewe, unaona mchezo? Shauri yako!
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app