Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Pole pole Watasema Ukweli
The NYT, for the first time, has admitted that "Ukraine is losing."
Ukraine isn't winning even in western propaganda media anymore.

Sijui tutasema mpaka lini small minds kama za akina Kipanya(jina lina akisi tabia) zituelewe.

Ni kwamba by any standards,the West is loosing the proxy war in Ukraine.Its' cannon fodder,the
Ukraine soldiers, despite the West pumping into Ukraine quantity of armour which has never been witnessed in History,are being butchered beyond imagination.

cc.:Kipanya
 

Putin ndo mwanasiasa anayependwa na watu Duniani anajua nini maana ya Siasa na siku zote anataka dunia iwe na usawa kwa west na mataifa mengine.

Long Live Putin.
 
Da aisee!
,hii Dunia Ina wanaume aisee!
Urusi wanaume jamani tuache utani.
 
Nakumbuka wakati Urusi akibuni,akitengeneza na kutest silaha mpya Kali na za kisasa,Kuna watu humu wakawa wanambbeza ,eyi ooh Urusi kazi yake kuunda ma silaha TU.
Sasa ndo watajua kumbe zile silaha Urusi alikua amesoma michezo na tabia za wa west.
Sasa hebu fikiria kama Urusi isingekua na uwezo mkubwa wa silaha kama ilionao Leo hii Hawa akina UK, USA, German,France,Canada na wenzao wa west wangekua wamuamuru TU Urusi afanye wanavyotaka.
 
💬#Zakharova: The process of turning Moldova into "another Ukraine" is ongoing. Local media discusses the need to preserve Soviet monuments, glorification of Nazi accomplices continues.

☝️ We urge Chisinau not to follow tune of those who plan to turn Moldova into an anti-Russia
 
Sema wanaweka vikwazo kwa Independent na Full Sovereignty States kama Russia, Iran, North Korea.

Wanamtamani Mchina, Kazakhstan, South Africa, Egypt, Turkey, India na baadhi ya nchi kule South America.

Halafu wanaendeshwa na remote control kutoka Washington kwa Mataifa kama German, France, UK, Poland kifupi ni vassal state na master ni USA.

Hivyo sio ukorofi kama unavyosema.

Kuna Neutral state
 
🇺🇦✍️📄All deputy Interior ministers in Ukraine have resigned. This is reported by RBC-Ukraine with reference to its sources.

It is alleged that the statements were written by Igor Bondarenko, Ekaterina Pavlichenko, Bogdan Drapiaty, Mary Hakobyan and Sergey Goncharov.

The press secretary of the Interior Minister Mariana Reva emphasizes that this is an established procedure.

"The dismissal of ministers is an established, legal procedure. It is prescribed in the 9th article of the Law of Ukraine "On Central executive authorities". There is no news in this. Whether someone will be reassigned, we will see," said the speaker of the Interior Minister Reva.
 
🇺🇦✍️📄The Cabinet of Ministers of Ukraine dismissed five deputy Interior Ministers and the First Deputy Minister of Economy.

In particular, dismissed:

1. First Deputy Minister of Economy Denis Kudin,
2. Deputy Minister of Internal Affairs Meri Hakobyan,
3. Deputy Minister of Internal Affairs Igor Bondarenko,
4. Deputy Minister of Internal Affairs Sergey Goncharov,
5. Deputy Minister of Internal Affairs Bogdan Drapyatov,
6. Deputy Minister of Internal Affairs Ekaterina Pavlichenko.
 
View attachment 2512809

Haina shida kama anakula kichapo as long anashikilia 27% ya eneo la Ukraine ni ushindi tosha, endelea kuishi kwa Matumaini.
Nimeshawaambia mara nyingi kwamba hizo asilimia urusi kaachiwa Ili tu aendelee kupigishwa danadana., maana akichafurushwa kabisa nje ya Ukraine it means vita inaisha kitu hambacho hakitakiwi Kwa Sasa..,ni lazima apigishwe danadana Mpaka apate kilema Cha maisha!!

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Tunakumbushana tu ndugu zangu wa urusi ya kwa lulenge
 

Attachments

  • 1763FCA1-B553-4F15-A62F-3F18EA00C014.png
    54.9 KB · Views: 20
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…