Usifikiri viongozi wa USA wanabwatuka kama yule kichaa wa klemlin!Yaani Hapa Haongei kwa Vitisho
Anatambua huyu ni Habari Nyingine
Ingelikuwa ni Nchi Nyingine Vitisho Vingiii
Kanyagia Hapo hapo Putin
The US is "disappointed" that Russia is linking the START-3 (Strategic Arms Reduction Treaty - proposed bilateral arms control treaty between the US and Russia that was meant to reduce the deployed nuclear weapons arsenals of both countries) talks to the situation in Ukraine.
Waanzishe na mitaala ya shule za kirusi kabisa kama walivyokuwa wamefanya huko kheson city..,kazi ya vijana wakakamavu wa rais zelensiky ni kuwatembezea kichapo tu [emoji28][emoji95][emoji95][emoji95]The Government of the Russian Federation has instructed the Ministry of Digital Development to create a single mobile operator in the DPR, LPR, Zaporozhye and Kherson regions.
This was announced by Deputy Prime Minister of the Russian Federation Chernyshenko[emoji95][emoji95][emoji95]
Kwani upo Dunia gani Kipanya 44. Mpaka unaona vijana wanaanza kuondoka Bakhmut ujue vita ipo kwenye njia ya mwisho.Vip mpango wa kuizunguka bakhumut [emoji23][emoji28]
Au ulibuma?? Tuliambiwa imebaki kilometer 10 tu Ili bakhumut iwe completely incicled [emoji28]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Dombass ikirudi basi njoo unikate kichwa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Waanzishe na mitaala ya shule za kirusi kabisa kama walivyokuwa wamefanya huko kheson city..,kazi ya vijana wakakamavu wa rais zelensiky ni kuwatembezea kichapo tu [emoji28]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Sasa kama anaogopa kutishiwa usalama wake kwanini alienda kufanya mauaji nchini kwa watu . Asilalamike Ukraine akipata makombora ya masafa ninauhakika atapeleka.Umepanic MKUU hao UKRAINE kupewa silaha nihaki yao acc to UN na RUSSIA anaheshimu sana sheria za UN
ila RUSSIA kaweka wazi kwamba silaha hizo zikitishia usalama wa RUSSIA watoaji na wapelekewaji watawajibishwa na nakuhakikishia watawajibishwa kweli
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna wa kumfunga paka kengele.wote waoga[emoji23][emoji23][emoji23].Umekuwa Mpira sasa Kweli Mrusi Anaogopeka Kwann Mnapindisha Semeni tu Vitu vilipita kwenu na Mnaamuaje sasa The Romanian Defense Ministry has said that its radars on Friday detected a Russian missile, but it was not in Romaniaβs airspace "for a single moment.":
Sawa endelea kukazana na hizo propaganda.., ingawaje bakhumut imekudissapoint kwa kweli.., tangu mwezi mei mwaka Jana Mzee??Kwani upo Dunia gani Kipanya 44. Mpaka unaona vijana wanaanza kuondoka Bakhmut ujue vita ipo kwenye njia ya mwisho.
Vita sasa ipo kwenye kugombea mji mdogo wa Chasiv yah.kwenye njia ya mwisho kuingia Bakhmut.View attachment 2512921View attachment 2512922
Yaani Kama Tupo woteHakuna wa kumfunga paka kengele.wote waoga[emoji23][emoji23][emoji23].
Yani natamani sana Urusi akimalizana na Ukraine kituo kinachofata kiwe Poland na UK[emoji23][emoji23][emoji23]
Unajitekenya na kucheka mwenyewe kama kawaida yako.., Raman zote dunian umetuletea ukidai bakhumut imeondoka, lakini matokeo hatuyaoni[emoji16]Yani sijui nani kawakurupua wakati kiongozi wao aliwambia hakuna kuondoka Bakhmut.mi natamani waendelee kubaki ili tuchukue barabara ya mwisho.
Tumemiss kuwaona tena majenerali wa Nato wakijisalimia kutokea kwenye maandaki kama ya Mariupol[emoji23][emoji23][emoji23].
Pleasea vikosi vya Ukraine msiondoke Bakhmut[emoji120]
Akithubutu kufanya hivyo bila shaka ndio utakuwa mwisho wa historia ya taifa linaloitwa urusiHakuna wa kumfunga paka kengele.wote waoga[emoji23][emoji23][emoji23].
Yani natamani sana Urusi akimalizana na Ukraine kituo kinachofata kiwe Poland na UK[emoji23][emoji23][emoji23]
πππππ€£π€£π€£π€£π€£πππ₯π₯π₯Update: CNN: Romania denies Ukrainian claim that Russian missile crossed Romanian airspace.π₯π₯π₯
Source; RT!
Mkuu kweli utumie akili!!! Bila shaka utapata kati ya milioni za Wamarekani watu 20 au 30 watakaojiunga na kila upuuzi unaoweza kutokea duniani. Lakini huwezi kupata 100 wala 1000 wala lakhi wala milioni!US yenye watu mil 400, na zaidi ya Mili 100 hawana ajira za kueleweka, hawawezi kushindwa kutuma CV kwa huyu bilionea, angalau wapate Hizo M8 kwa mwezi.
Kama wwatu wamejitolea kwenda kufa bure kutokea US na England, Watakosaje wanaoenda huko Kupigana kwa Kulipwa
Baada ya siku kadhaa nitakukumbusha kama nilimuumbua mathanzua aliyetuletea habari zaidi ya wiki mbili zilizopita kwamba bado kilometer 10 tu Ili bakhumut iwe completely incicled [emoji28][emoji16]Yani sijui nani kawakurupua wakati kiongozi wao aliwambia hakuna kuondoka Bakhmut.mi natamani waendelee kubaki ili tuchukue barabara ya mwisho.
Tumemiss kuwaona tena majenerali wa Nato wakijisalimia kutokea kwenye maandaki kama ya Mariupol[emoji23][emoji23][emoji23].
Pleasea vikosi vya Ukraine msiondoke Bakhmut[emoji120]