LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Sasa watu humu eti wako serious wanasoma Kyiv Independent. Yani Tanzania inapigana na Uganda alafu mtu anaenda kusoma taarifa TBC akitegemea nini. Taarifa inabidi itolewe na neutral party yenye credibility. Nadhani ni wewe juzi uliniuliza kama naamini Ukraine walivyosema ndege 80 za Urusi zimepigwa nikakwambia hata wangesema 40 nisingekubali.

Kuhusu Iran kushusha drone ya Marekani ni ajabu ndio ila sio kumaanisha ndio wana uwezo mkubwa sana kuzidi Uturuki. Last comment yangu nimegusia mwaka 1999 Yugoslavia walivyodungua F-117 Nighthawk jet ya Marekani tena ikiwa stealth lakini walitumia system ya miaka ya 1960s uko ya kizee inapuuzwa. Hili ndio la ajabu zaidi na bado hawakushinda
 
Lavrov: “Those who pump weapons into Ukraine and send mercenaries there must understand the responsibility for their actions.”
 
Lavrov in response to a question about the supply of weapons to Ukraine from abroad:

“We see how dangerous our Western colleagues are acting, including the EU, which, in violation of all its principles and values, encourages the supply of deadly weapons to Ukraine, including thousands of man-portable anti-aircraft missile systems that can be moved anywhere on the shoulder and which terrorists used in order to endanger civil aviation.

Where these thousands of MANPADS will end up is the question we ask our colleagues in the EU when they show interest in putting an end to the policy that has been created in Ukraine for many years. Create a threat to the Russian Federation... There is no answer.”

 
Hawa wanapaswa waongeze supply badala ya kupunguza. Russia ni rafiki wa China wa kufa na kuzikana,iweje sasa wapunguze supply au na wao wanaweka vikwazo kimya kimya?
Design wanawatosa washkaji kimtindo....Mzee wa makamo kaleta balaa Sana kwa Wananchi wake
 
Lavrov: “We have watched how Ukraine is made anti-Russia for many, many years.”
 
Lavrov: "We will get out of this crisis ... and we will no longer have any illusions that the West can be a reliable partner."
 
haaahaaa.
Ukrine walikuharibu kabisa, tatizo ulitoka Tanzania ukaenda moja kwa moja Ukrine.....Ungebahatika kutembelea Matifa makubwa sidhani kama ungesema hivyo.

Degree ya Ukrine ni sawa na form 6 ya Tanzania.
Mmmmh !ukute we jamaa hata hapo Nairobi hujawahi fika.
 
Uturuki ilienda pigana na Kurds upande ule na walikuwa wanaungwa mkono na Syria, Russia na Marekani kwa sababu moja tu wanapigana na ISIS. Uturuki ilipiga systems kadhaa za air defence system na vifaa vingine, video clip zipo YouTube. Syria ilifanya ambush kwenye forward observation point ya Uturuki na kuua wanajeshi 20 au 21 kama sikosei. Kama Uturuki ilishindwa ilikuwaje wakaingia makubaliano na Urusi kuwa wanafanya patrol kwenye lile eneo la Idlib. Yani Syria ikapigwa na Uturuki alafu ikaruhusu majeshi ya Uturuki yafanye patrol yakiwa yamebeba bendera ya Uturuki na kuwatandika Wakurdi?
 
Haya maongezi ya mawaziri wa nje Turkey yenye nia nzuri labda ya kumaliza hili balaa lakini media za west kama hawana habari sababu hiyo sio habari nzuri kwao maana hujui nia yao ni nini. Bahati nzuri hata statement ya Ukrain President ambayo ni maneno mazito lakini wala sio breaking news kwao maana kasema yuko tayari kukubali masharti ya Russia kusimamisha vita na hawezi tena kupiga magoti kuomba NATO sababu hawaikubali Ukraine nadhani kapata ushauri mzuri west wanakuuza hawana rafiki hawa wana maslahi yao tu. Nasikitika tu watu kufa bila sababu za msingi damu ingeweza kuzuiwa maisha ni kama hayana thamani.
 
The European Union has reached the limit of its ability in terms of financial sanctions against Russia, said EU diplomat Josep Borrell.

View attachment 2145559
Apa ndo huwa naitizama dunia kwa jicho la ziada....

Sasa wanadai wamefikia ukomo wa kutoa vikwazo.... Je Issue inayoendelea ndani ya Ukraine imepata kuisha kwasabab ya hivo vikwazo?

Je aliyeathirika na hivo vikwazo ni Putin au Raia wa Kirusi wanaowekwa ndani kila wakijarib kwenda kinyume na Hyo invasion inayoendelea...

Ni mtazamo wangu lakini, laiti ka Ulay nzima ingekuwa na Viongozi ka yule Rais Kijana wa Ufaransa au Chancellor wa Ujerman mambo sizan ata ka yangefika uki yalipofika.
 
“We don’t say this - this is Lisa Truss, who is famous for her aphorisms.”

Lavrov on the West's hysteria about Russia's alleged plans to invade Europe:

“My new colleague, Lisa Truss, spoke on this topic. She stated that "if Putin does not lose in Ukraine, then there will be no limit to Putin's ambitions and the next target will be the Baltic states and Moldova."

When she prophesies an attack on the Baltic states and Poland, this is quite worthy of English culture, politics, diplomacy. Because the British wrote the fake “testament of Peter I” in exactly the same way. It's quite in the same vein."

 
Lavrov said that Russia is serious about finding a solution in negotiations with Ukraine
 
Sergeĭ Viktorovich Lavrov
Minister of Foreign Affairs of the Russian Federation
Lavrov on the possibility of nuclear war:

“I don’t want to believe it and I don’t.

The nuclear topic is raised exclusively by Western partners, primarily NATO members.”
 
Dmitry Medvedev
Former President of Russia
Medvedev said that the Cabinet of Ministers is developing response measures to the sanctions, which include the bankruptcy and nationalization of the property of foreign companies that have left the Russian Federation.

He noted that Russia would respond fundamentally and harshly to the restrictions imposed by the West.
 
West wanafiki wanataka kuitumia Ukraine kama chambo kuitangaza Urusi kama nchi isiyostaarabika. Ukraine nao kama wanaendeshwa na EU badala wacheze kama Francisco Franco aliyesaidiwa na Hitler na Mussolin kuingia madarakani ila WW2 ilivyoanza akala kona kama hawajui. Mwishowe Spain haikurusha hata risasi moja alafu washirika wake wakafia vitani. Inabidi uishi kijanja ukiwa kati ya mafahari wawili. Uturuki inazihitaji Ukraine na Russia nawaamini kwenye kutatua huu mgogoro.
 
Sergeĭ Viktorovich Lavrov
Minister of Foreign Affairs
“You said these are facts, but I think it's pretty much a different word that starts with the letter 'f'.

Allegations of Russian kidnappings in Ukraine are fake, Lavrov said:

“I proceed from the fact that trying to take one episode, which is most often fictional, and trying to start public opinion in order to build an anti-Russian policy, is again replacing a serious conversation with this kind of external effects.”
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…