kp kipanya44
JF-Expert Member
- Jun 23, 2022
- 13,151
- 15,384
Dunia nzima inajua Russia anapigana na Ukraine tu..,acha kujizima data!RUSSIA dude kuubwa sana wanalichangia ila hawaliwezi na wanaliogopa
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe kweli kichwa maji.., nimekwambia Russia size yake ni ukraine..,ndio maana USA kaona hakuna haja ya kuingilia.. USA kubattle na Russia ni sawa na kumuua nzi kwa lisasi
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Sio mpaka Kila kitu nikutafunie, jiongeze.. usipende vya mseleleko kama kahaba!
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Inaonekana mteja wako aliyekuplelekea moto Leo hajakulipa Hela ya kutosha maana naona una frastration sana[emoji1787][emoji28]Risasi [emoji736]
Lisasi [emoji777]
Wewe ni wa wapi?? Hata kuandika tatizo unaandika kama unapelekewa moto bwana. Russia na US wamekutana Syria & Venezuela huko kote alikula kichapo akakimbia.
Msikilize old man ( Biden)
-"We're dealing with one of the largest armies in the world. It's a very different situation and things could go crazy quickly."
-I want to be clear: We will defend every inch of NATO territory with the full might of a united and galvanized NATO. But we will not fight a war against Russia in Ukraine.
A direct confrontation between NATO and Russia is World War III. And something we must strive to prevent.
Pulizo limewasumbua mtaweza Vita na Urussi??
Wewe ni hamnazo kabisa,kama ni ujinga basi wa kwako umepitiliza.., unafikiri ukraine angekuwa member wa NATO Russia angethubutu kumvamia??
Kwa Hali hiyo kipi muhimu Sasa, NATO au EU??
Bogus kabisa!!
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Inaonekana mteja wako aliyekuplelekea moto Leo hajakulipa Hela ya kutosha maana naona una frastration sana[emoji1787][emoji28]
Kama hajakulidhisha njoo kwangu nikushindilie tu bibie,malipo yangu ni mazuri lakini uwe na pumzi haswa...,napiga mpaka unakojoa maji yote[emoji56][emoji56][emoji56]
Hizo hoja zako za utopolo Wala Sina time ya kujibu
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Mkuu usiombe China iungane na Urusi hata kidogo.Natamani china Naye ajaribu Ili nayeye anaswe kama urusi..,hapo kazi kubwa itakuwa imeisha na mambo yatakuwa mseleleko[emoji28][emoji16][emoji1787]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Na ghost of Kyiv haipo tena?@T14 Armata hv zile tb za TURKEY ziliishia wapi sizisikii kwakweli
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuku wako manati ya nini?Umeulizwa urusi anashindwa nini kuretaliate vikwazo anavyowekewa kwa kuwawekea vyake yeye hao wanaomuwekea vikwazo.., badala yake naona umeishia kubwabwaja tu [emoji28]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Russia anazidi kuchakazwa na kupewa kilema Cha maisha Kwa hii vita inayoendelea..,huo muungano unaozungumzia kwa nini usifanyike Sasa Ili kuokoa jahazi [emoji28]Mkuu usiombe China iungane na Urusi hata kidogo.
Kumbuka North Korea haitokuwa mbali.
Mongolia hii vita itahusika.
Kazakhstan, Belarus, Tajikistan, Uzibekstan na Indo China yote.
Hapa Utakuwa umeifufua Mongolia Empire in Modern times na Wana mtaji wa rasilimali watu, Uchumi na Siraha.
Hakuna jeshi kutoka West litaweza himili hili, tumaini pekee itakuwa India ambayo ni pro Russia as well.
Kuwa makini na wishes zako
Hajui Historia ya dunia huyo.Mkuu usiombe China iungane na Urusi hata kidogo.
Kumbuka North Korea haitokuwa mbali.
Mongolia hii vita itahusika.
Kazakhstan, Belarus, Tajikistan, Uzibekstan na Indo China yote.
Hapa Utakuwa umeifufua Mongolia Empire in Modern times na Wana mtaji wa rasilimali watu, Uchumi na Siraha.
Hakuna jeshi kutoka West litaweza himili hili, tumaini pekee itakuwa India ambayo ni pro Russia as well.
Kuwa makini na wishes zako
Aliyechemka ni yule aliyeanza vita akitegemea kumaliza ndani ya siku 3, kumbe itachukua miezi Hadi miaka!!Hajui Historia ya dunia huyo.
West kwa sasa wamechemka. Tunarudi kwenye historia.
Hajui Historia ya dunia huyo.
West kwa sasa wamechemka. Tunarudi kwenye historia.
West kwa sasa wamewekeza sana katika uongo na maneno. Lakini hakitawasaidia in next 20 years.West ndo inapotea hivo ni suala la Muda
Naona "juha" karudi Tena[emoji28]Mnapoteza Muda Kumjibu huyo Zuzu
Sema west ndio wanazidi kuimarika sana baada ya kufanikiwa kuitenganisha Russia na umoja wa ulaya.., washirika wa Russia Kwa Sasa wanatia Hadi huruma.., Yahan nchi zinazolekea kuwa failed state kama north Korea na beralus ndio wanategemewa na urusi kama washirika wake [emoji28][emoji16]West ndo inapotea hivo ni suala la Muda
Imepotea [emoji23][emoji16][emoji23]Na ghost of Kyiv haipo tena?
Kwa lugha rahisi "wamekaa Afghanistan miaka 20 kuwaondoa Taliban ili kuwaweka Taliban"Kuna nchi imekaa afghanistan miaka 20 na bado imekimbia imekula kichapo [emoji23][emoji23][emoji23]