Mtoto wa nzi
JF-Expert Member
- Jun 6, 2012
- 10,781
- 20,059
Mnaleta ushabiki wa Simba na Yanga kumlinganisha Kibu na Mayele.....Uzuri wa hii vita hakuna pa kujificha, ukipigwa ushahidi unaletwa. Hakuna janja janja tena.
Kuna mtu anapigwa sana na ushahidi waonekana hadharani.
Kuna mtu anadai anapiga ila haoneshi ushahidi, zaidi ni maneno meeengi na matusi.
Sisi tunapiga na kuonesha,
Mara oooh Bakhmut hadi leo kimya
Vuhledar imeonesha uhalisia wa moto
Duh!...yaani mpaka mwaka 2025 ?... mazungumzo ndio njia rahisi ya kumaliza Vita.Twu yiazi? [emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji706][emoji706]
View attachment 2514537
Russia anakwambia sensa utajifanyia mwenyewe!Uzuri wa hii vita hakuna pa kujificha, ukipigwa ushahidi unaletwa. Hakuna janja janja tena.
Kuna mtu anapigwa sana na ushahidi waonekana hadharani.
Kuna mtu anadai anapiga ila haoneshi ushahidi, zaidi ni maneno meeengi na matusi.
Sisi tunapiga na kuonesha,
Mara oooh Bakhmut hadi leo kimya
Vuhledar imeonesha uhalisia wa moto
Wataalamu wanasema hivi[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]Uzuri wa hii vita hakuna pa kujificha, ukipigwa ushahidi unaletwa. Hakuna janja janja tena.
Kuna mtu anapigwa sana na ushahidi waonekana hadharani.
Kuna mtu anadai anapiga ila haoneshi ushahidi, zaidi ni maneno meeengi na matusi.
Sisi tunapiga na kuonesha,
Mara oooh Bakhmut hadi leo kimya
Vuhledar imeonesha uhalisia wa moto
Miezi kadhaa Sasa bakhumut inazidi kuzingirwa![emoji134][emoji134]Bakhamut inazidi kuzingirwa urusi inaweza kupata mtaji wa mateka wa kutosha. huko kwingine majesh ya urusi yanalisogelea jiji la liman zimebaki kilometa chache mno
Tunacho shangaa sisi ni mwaka mzima bila Ukraine kukomboa hata Kijiji ki1[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Uzuri wa hii vita hakuna pa kujificha, ukipigwa ushahidi unaletwa. Hakuna janja janja tena.
Kuna mtu anapigwa sana na ushahidi waonekana hadharani.
Kuna mtu anadai anapiga ila haoneshi ushahidi, zaidi ni maneno meeengi na matusi.
Sisi tunapiga na kuonesha,
Mara oooh Bakhmut hadi leo kimya
Vuhledar imeonesha uhalisia wa moto
Ukraine ameshakomboaTunacho shangaa sisi ni mwaka mzima bila Ukraine kukomboa hata Kijiji ki1[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Dah!Watapewa mig's na Su's generation zilizopo huko Poland na Baltic
Yaani maeneo yako yana twaliwa kila kukicha una jidai kwa kutaja vitongoji vya kijiji ambavyo anytime Russia ikivihitaji ina beba? Russia ina Strategic & Priority Areas. Siyo uchukue hata Katavi wakati hakuna issue.Ukraine ameshakomboa
Kyiv [emoji56][emoji56]
Khakivu [emoji56][emoji56][emoji56]
Kupyansk [emoji56][emoji56][emoji56]
Snake island [emoji56][emoji56][emoji56]
Izium [emoji56][emoji56][emoji56]
Kheson [emoji56][emoji56][emoji56]
Lyman [emoji56][emoji56][emoji56]
Mycolaiv [emoji56][emoji56][emoji56]
Bahadhi ya maeneo ya luhansik [emoji56][emoji56][emoji56]
Mwaka mzima Sasa huyo super pawer anapigana hapo bakhumut [emoji23]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Hivyo unavyoita vitongoji huyo super pawer wa kwenye makaratasi alijaribu kuviparamia akatembezewa kichapo kikali na kukimbizwa kama mbwa mwizi [emoji28][emoji23]Yaani maeneo yako yana twaliwa kila kukicha una jidai kwa kutaja vitongoji vya kijiji ambavyo anytime Russia ikivihitaji ina beba? Russia ina Strategic & Priority Areas. Siyo uchukue hata Katavi wakati hakuna issue.
Hawana hata chakula kwa Askari wao wataweza kweli naval Base?RUSSIA taifa maskini sanaaaa T14 Armata
[emoji1232][emoji635] Sudan finalizes the revision of the agreement on the deployment of the Russian naval base
This is reported by AP, citing Sudanese officials. The local authorities agreed to the deployment of the Russian military, and now the agreement is waiting for ratification.
Sent using Jamii Forums mobile app