Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Russian made drones zilikuwepo na zilikua combat tested 2019 Syria, huyo aliyesema Russia hakuwahi kuwa na Drones ndio maana anachukua za Iran, basi hakufanya utafiti wake vizuri.

Na kwenye SMO hii, Lancet kamikaze drones za Russia zimetumika sana.
 
Kakaa uingereza Wana ndege gani za kugawa? Typhoon? Hazifiki hata 200!
LabdA NATO wote waamue kuwapa F 4,f5 lakini Sidhani Kama kuna nchi yoyote itatoa f16C kuipa Ukraine .

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
Duu bado unaangalia quantity badala ya quality![emoji15]
Ref!; kitu mbaya Alicho fanyiwa Argentina kwenye vita ya Fakland
 
[emoji1255][emoji123]Wanajeshi wa urusi wamekufa kwa wingi katika kipindi Cha wiki 2 kuliko wakati wowote ule tangu kuanza kwa uvamizi February 24-bbc Swahili [emoji1255][emoji123]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Mwamba huyu apa
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
[emoji1255][emoji123]Wanajeshi wa urusi wamekufa kwa wingi katika kipindi Cha wiki 2 kuliko wakati wowote ule tangu kuanza kwa uvamizi February 24-bbc Swahili [emoji1255][emoji123]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Ni nani aliwahesabu wakati wakifa...?...,hv kwenye vita kama hii ambayo imetawaliwa na deadly combat war machines....unaweza ukapata muda wa kuhesabu adui wanaouawa..!!!,unapata wapi huo muda..!!!

Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
 
[emoji1255][emoji298][emoji1255][emoji298] near bakhumut's Donetsk region the ukranian border guards on a positional counterattack, killing 11 invader's and neutralizing a Russian unmanned aerial vehicle [emoji298][emoji1255][emoji298][emoji1255]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Ni nani aliwahesabu wakati wakifa...?...,hv kwenye vita kama hii ambayo imetawaliwa na deadly combat war machines....unaweza ukapata muda wa kuhesabu adui wanaouawa..!!!,unapata wapi huo muda..!!!

Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Tumemuajiri ki [emoji232]

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Ni nani aliwahesabu wakati wakifa...?...,hv kwenye vita kama hii ambayo imetawaliwa na deadly combat war machines....unaweza ukapata muda wa kuhesabu adui wanaouawa..!!!,unapata wapi huo muda..!!!

Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
Mbona islaer na uturuki walipoleta takwimu za vifo na hasara iliyopatikana kwa pande zote katika hii vita mlituletea hapa jukwaani kwa mbwembe zote?? [emoji23][emoji28][emoji16]

Ninachowapendea ni kujitekenya na kucheka mwenyewe [emoji28]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…