kp kipanya44
JF-Expert Member
- Jun 23, 2022
- 13,151
- 15,384
[emoji1255][emoji298]Wanawake wajawazito wa Urusi wanakimbilia nchini Argentina na kwenda kujifungulia Huko Ili watoto wao waweze kupata uraia wa Argentina.., wanawake wa urusi hawataki watoto wao wawe na uraia wa urusi..,hii habari wameripot BBC Swahili [emoji1255][emoji298]Estonia inajiandaa kuwafukuza wakimbizi wa Ukraine.
Wanasema wamekuwa mzigo na wanatakiwa warudi huko kwao.
View attachment 2514940
Hakuna anayeweza kujitoa sadaka Ili kuwa lishe ya mizinga ya Ukraine!!Wakajiunge na PMC Wenger
Utake itaingi usitake itaingia tu[emoji1255][emoji298]Wanawake wajawazito wa Urusi wanakimbilia nchini Argentina na kwenda kujifungulia Huko Ili watoto wao waweze kupata uraia wa Argentina.., wanawake wa urusi hawataki watoto wao wawe na uraia wa urusi..,hii habari wameripot BBC Swahili [emoji1255][emoji298]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Kama ninavyokushindilia,sio?[emoji28][emoji16]??
Kazi yangu ni kuwaumbua tu na huo upupu mnaoleta hapa[emoji16]kp kipanya44
Mbon umepanik kam wew ndio zele
Kazi yangu ni kuwaumbua tu na huo upupu mnaoleta hapa[emoji16]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Kwani zenyewe Zina habari gani[emoji16][emoji3][emoji16][emoji847][emoji23]vp kuhus naval droni ni za iran nazo , [emoji16][emoji23]
Kidogo saana
Labda nihoji utimamu wa akili yako shekhe.., maana hakuna habari yoyote ya maana uliwahi kuleta hapa[emoji16]Hivi wewe kichwa chako kina kitu kweli,naona makamasi matupu!
Ona majibu unayotoa Sasa[emoji28][emoji1787]Kuwa na choo na jiko ndani ndio kuwa bora kwenye battlefront,acha ujinga wewe.Taarifa za uhakika ni kwamba slope kidogo tu yenye barafu haipandi,sasa biscuit Kama hiyo ya nini?
I know you know right from the bottom of your heart that the opposite is true,so sina haja ya kuhangaika na wewe.Labda nihoji utimamu wa akili yako shekhe.., maana hakuna habari yoyote ya maana uliwahi kuleta hapa[emoji16]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Kipanya inabidi ajikite zaidi kufuatilia kutoka vyanzo sahihi vya chanzo Cha Vita na matokeo harisi ktk Uwanja wa Vita.In additional even the solders of Ukrain army are being paid by Western,
Huyo alikuwa anakejeli hivyo vifaru..,uliwahi kusikia wapi dunia hii kifaru kina bafu na choo ndani??Kwani hajaisifia Abrams kwa kuwu ina choo na jiko ndani?
Sijaona ubaya wowote hapo kujiudhuru kwa Viongozi wasio na udhubutu wa kuendesha Taifa lao.Updates:
Waziri mkuu wa Moldova Bi Natalia Gavrilita amejiuzulu mchana huu na kuifanya serikali yote ianguke.
Serikali ya Moldova iliingia madarakani mwaka 2021 na imekuwa ikikabiliwa na mashinikizo kutoka ndani na nje. Ndani ya nchi hiyo kumekuwa na upungufu wa nishati ambayo huingia kutokea Russia pamoja na mfumuko wa bei.
Pia kutokea nje ni nchi hiyo ambayo ilikuwa ni moja nchi zilounda umoja wa kisovieti USSR imekuwa ikishuhudia makombora yakipita juu ya anga lake kutokea Russia kuelekea Ukraine jambo liloilazimisha serikali ya Moldova kumuita balozi wa Russia nchi humo kujieleza.
Nchi hiyo ambayo haina bandari yaani "landlocked" yaongozwa na raisi bi Maia Sandu na yapakana na Romania upande wa magharibi na Ukraine upande wa kusini, mashariki na upande wa kaskazini.
Mji mkuu wa Moldova waitwa Chisinau.
Kujiuzulu kwa bi Gavrilita ambae ana umri wa miaka 41 kunakuija siku moja baada ya raisi wa Ukraine Vlodomiyy Zelenzky kudai kuwa idara ya ujausi ya Ukraine imebaini mpango wa Russia kuivamia Moldova kwa mtondo ulotumika kuivamia Ukraine mwei Febuari mwaka jana.
Akihutubia mkutano wa umoja wa Ulaya mjini Brussels, Zelensky amedai kuwa majasusi wa Ukraine wameingilia mpango mzima wa Russia kuivamia Moldova kisha kuivunja demokrasia yake (yaani serikali na Bunge) na kisha kuiendesha nchi hiyo kutokea Kremlin.
Ni pro Russia huyu unaemjibu,na alikua anatania tuKuwa na choo na jiko ndani ndio kuwa bora kwenye battlefront,acha ujinga wewe.Taarifa za uhakika ni kwamba slope kidogo tu yenye barafu Abrams haipandi,sasa biscuit kama hiyo ya nini?huyo uliemjibu hivyo alikua anatania TU.
USA nasikia ana akiba kubwa ya mafuta na mzalishaji No.01 Duniani.Hii fimbo west wajiandae