Jacob kalokola
JF-Expert Member
- Mar 26, 2022
- 901
- 2,734
Hilo huwezi lisikia ktk Media za west.Ila zimeshindwa kutungia cruise zilizopelekwa kwenye plant za umeme. Ungejua hizo plant wanavozilinda ila wahuni wanapita nazo.
Nimesema hapo juu kwamba babu yake bi Natalia Gavrilita alipigana vita vya pili vya dunia upande wa USSR.Sijaona ubaya wowote hapo kujiudhuru kwa Viongozi wasio na udhubutu wa kuendesha Taifa lao.
Putin ndio habari ya Dunia.Putin ndo mwanasiasa anayependwa na watu Duniani anajua nini maana ya Siasa na siku zote anataka dunia iwe na usawa kwa west na mataifa mengine.
Long Live Putin.
Du nilivyokuwa naogopa UK kumbe Kuna baba yake.Da aisee!
,hii Dunia Ina wanaume aisee!
Urusi wanaume jamani tuache utani.
KweliNakumbuka wakati Urusi akibuni,akitengeneza na kutest silaha mpya Kali na za kisasa,Kuna watu humu wakawa wanambbeza ,eyi ooh Urusi kazi yake kuunda ma silaha TU.
Sasa ndo watajua kumbe zile silaha Urusi alikua amesoma michezo na tabia za wa west.
Sasa hebu fikiria kama Urusi isingekua na uwezo mkubwa wa silaha kama ilionao Leo hii Hawa akina UK, USA, German,France,Canada na wenzao wa west wangekua wamuamuru TU Urusi afanye wanavyotaka.
Alikuwa baba wa dunia kweli lakini hii vita imemvua nguo kabisa..,kwa nguvu hambazo tuliaminishwa siku zote kwamba urusi anazo hatukutegemea apewe kichapo kikali namna hii[emoji848][emoji848]Putin ndio habari ya Dunia.
Baba wa Dunia.
UK kwa Urusi?Du nilivyokuwa naogopa UK kumbe Kuna baba yake.
Marekani akishaamua kitu anakuwa ameshapiga mahesabu Makali tayari..,huyo urusi anajitutumua tu kama andazi!!USA nasikia ana akiba kubwa ya mafuta na mzalishaji No.01 Duniani.
Ataziba pengo. Labda kama ni mzalishaji wa kimchongo.
Upande wa pili wanaweza kuwa wanatafta kisingizio Cha kumchakaza mtu,!Naona America ameanza kuchokonolewa watu wameanza kuona mweupe. Juzi walipiga baloon wakidai ya kichina na leo wametungua kitu hawajuhi ni nini wanasema tu kina umbo kama gari ndogo na kilikuwa umbali feet 40000.
USA ana akiba lakini hazalishi mafuta kwa wingi.USA nasikia ana akiba kubwa ya mafuta na mzalishaji No.01 Duniani.
Ataziba pengo. Labda kama ni mzalishaji wa kimchongo.
'ki-rat', Fuso, vunjo na proved ni Vema walifanyie uchambuzi andiko hili..Z-DAY APPROACHES as Russia prepares massive assault wave against Ukraine and NATO
Friday, February 10, 2023
This offensive is being called “Z-Day” and will reportedly involve over 700 aircraft, 1,800 Russian tanks and 500,000 soldiers, all designed to take down the Zelensky regime that has functioned as a proxy for NATO’s attempts to eliminate Russia from the world map.
- All signs point to a Russian offensive moving against Ukraine within the next 20 days. This offensive will be much larger in size and equipment compared to the February, 2022 offensive, but it will move more slowly and methodically, avoiding Blitzkrieg tactics and instead relying on by-the-book military doctrine of a slow, steady, relentless pummeling of the enemy while gaining ground.
Importantly, with the recent revelation that the Nord Stream pipelines were blown up by the USA working with Norway, Russia is currently updating its retaliation rules to allow a first strike “preventative” attack using nuclear weapons to prevent NATO from further threatening Russia’s existence.
Former US Marine and UN weapons inspector Scott Ritter just called for the arrest and criminal prosecution of Victoria Nuland and Joe Biden for masterminding the plot to destroy the Nord Stream pipelines. (See Ritter’s YouTube interview here.)
This act of terrorism, carried out by the Pentagon, CIA, US Navy and State Dept., was also an act of war against Germany, a NATO “ally.” It makes us wonder whether Germany will declare an Article 5 violation and demand that other NATO countries attack the USA for its act of war against Germany.
In any case, Russia is on the verge of launching both a major offensive against Ukraine and also — potentially — a “preventative” nuclear strike against the USA and NATO targets across Europe.
Stolen elections have catastrophic consequences, and the USA may have only weeks remaining before we find ourselves in a global nuclear conflict from which no one emerges unscathed.
Urusi alimlalamikia UK kwamba ndiye alihusika Moja kwa moja katika kulipua mabomba yake ya gesi.., lakini hayo malalamiko hatakufuatiwa na hatua yoyote. , Urusi aliishia kubweka tu!!UK kwa Urusi?
Hamna kitu kbs.
Russia Kwa Sasa ni nyoka asiyekuwa na meno.., usitegemee maajabu yoyote kutoka kwake maana ameshalemazwa'ki-rat', Fuso, vunjo na proved ni Veena walifanyie uchambuzi andiko hili..
Z-DAY APPROACHES as Russia prepares massive assault wave against Ukraine and NATO
Friday, February 10, 2023
This offensive is being called “Z-Day” and will reportedly involve over 700 aircraft, 1,800 Russian tanks and 500,000 soldiers, all designed to take down the Zelensky regime that has functioned as a proxy for NATO’s attempts to eliminate Russia from the world map.
- All signs point to a Russian offensive moving against Ukraine within the next 20 days. This offensive will be much larger in size and equipment compared to the February, 2022 offensive, but it will move more slowly and methodically, avoiding Blitzkrieg tactics and instead relying on by-the-book military doctrine of a slow, steady, relentless pummeling of the enemy while gaining ground.
Importantly, with the recent revelation that the Nord Stream pipelines were blown up by the USA working with Norway, Russia is currently updating its retaliation rules to allow a first strike “preventative” attack using nuclear weapons to prevent NATO from further threatening Russia’s existence.
Former US Marine and UN weapons inspector Scott Ritter just called for the arrest and criminal prosecution of Victoria Nuland and Joe Biden for masterminding the plot to destroy the Nord Stream pipelines. (See Ritter’s YouTube interview here.)
This act of terrorism, carried out by the Pentagon, CIA, US Navy and State Dept., was also an act of war against Germany, a NATO “ally.” It makes us wonder whether Germany will declare an Article 5 violation and demand that other NATO countries attack the USA for its act of war against Germany.
In any case, Russia is on the verge of launching both a major offensive against Ukraine and also — potentially — a “preventative” nuclear strike against the USA and NATO targets across Europe.
Stolen elections have catastrophic consequences, and the USA may have only weeks remaining before we find ourselves in a global nuclear conflict from which no one emerges unscathed.
USA nasikia ana akiba kubwa ya mafuta na mzalishaji No.01 Duniani.
Ataziba pengo. Labda kama ni mzalishaji wa kimchongo.
Estonia inajiandaa kuwafukuza wakimbizi wa Ukraine.
Wanasema wamekuwa mzigo na wanatakiwa warudi huko kwao.
View attachment 2514940

Hii vita imemfanya urusi joka la kibisa!! Hana maajabu Tena!'ki-rat', Fuso, vunjo na proved ni Veena walifanyie uchambuzi andiko hili..
Baba wa dunia yote ukiachilia yule baba wa mbinguni ni USA tu..,hakuna takataka yoyote inayoweza kujiinua dhidi ya USA!Du nilivyokuwa naogopa UK kumbe Kuna baba yake.