LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Piganeni huku Africa Ndio utajua kama Demokrasia inafwata au last. Hao ni watu wametumwa tu, wengine kwenda kutafuta umarufu wakizani vita imeshakuwa kama maji.
Shida ya sisi world third countries tunahadaika sana...

Apa majuzi kati miaka kadhaa ilopita Tanzania ilisikika kua na kiongoz 'dictator' tulikosa wawekezaji kiasi cha wale waliokuepo walianza kufanya biashara nje ya mipaka ya Tanzania.

China unaambiw kua ni Dictator ila an mwaka wa 10 sasa tangu atengue ufalme wa Marekan Worldwide as "The World largest Manufacturing Hub"... Imagine miaka 10 mfululizo na hajashuka na kamwacha mmarekani kwa asilimia zaidi ya 10...

Yani China 28.7%... akifuatiwa na Usa 16.8%... pitia apa utaikuta

Hapo hapo unakuja kuambiwa Mchina Dictator af hao ho wanapishana kwenda china kuweka Plant... Kuingia kwenye soko la china mfano hai angalia Tesla na Apple invenstment walofanya china...

Unaambiwa China Dictator, ila ndo Major holder ye na Japan wa National Debt ya Marekan...

Sasa kama ni kweli tunavoaminishwa kua Mchina ni Dictator kwanini yupo hapo alipo tena kwa umbali mreeefu zaidi ya hzo mchi wanazodai ni za demokrasia...

Haya kama TZ n democratic country na China ni Dictator why hawaji kwetu tulo na demokrasia wanaenda kwa hao madictator....

Yule Venezuela aliitwa Dictator sa hv wanakaa nae chini kujadili nanma wanavoeza fanya nae biashara ya mafuta na kumwondolea vikwazo baada ya kuachana na Mrusi.

Uku Afrika si kuna gas pia na kuna nchi zenye demokrasia mbona hawajaja huku.

Ifike mahali tuache mihemko tutumie neema ya akili tulopewa. Tuache kusaidiwa kufkiria na hawa damn politicians waliopp kwa maslah yao.
 
Data are taken and added daily
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kama data are taken and being added daily, why there variations kutoka source zote.

UN wanatoa data...
Ukraine wanatoa data...
Russia wanatoa data...

Na zote hazifanani with huge variations... Data zipi ni sahihi unazodai zinachukuliwa kila kukicha.
 
Raia wa kirusi wanaumia vp?
Bro hv mfumuko wa bei nchini kwako ni Raisi Samia anayeshinda Chamwino ndo hua anaumia au Raia wa chini aka mtumiaji wa mwisho... Mmm?

Zile tozo zilivopanda aliumia Raisi au mwananchi wa kawaida... Ikitokea njaa apo nchini Rais wako nae atashinda njaa?
 
Mkuu toka umeingia kwenye huu uzi kuna kitu umeongeza, heshima yako.
 
Mtu yeyote mwenye akili za kawaida tangu zile data za siku 4 za mpambano wa Ukraine na Russia takwimo za vifo zilizokuwa zinatolewa na Zelensky anakuwa tayari ameshagundua kuna data zinapikwa.

Ndani ya siku 4 data zilizotolewa wanajeshi wa Russia 3600 wamekufa. Suala si kama Russia hawafi, suala ni kuangalia kwa takwimu hiyo ya siku 4 battle gani imetokea Ukraine ya kumwaga damu kiasi hicho? Hakuna.

-Kuangalia gari za jeshi zinabeba wanajeshi wangapi?

-Vifaru vinabeba wanajeshi wangapi?
-Military Transport Plane inabeba wanajeshi wangapi?
-Helicopter zinabeba wanajeshi wangapi? n.k
-Formation ya kwenye battle ilikuwaje?

Ukishapata idadi ya wanajeshi wanaobebwa kwenye hizo zana ni kuangalia kwa hiyo idadi ya hao wanajeshi wanaobebwa zitakuwa zimelipuliwa zana ngapi za kivita?

-Rudi kwenye historia angalia battle kubwa zilizofanyika kipindi cha vita kwa siku walikufa wanajeshi wangapi?

-Kisha angalia battle kama hiyo Ukraine ilipiganwa? Na kama ilipiganwa ni wapi? Kwa sababu battle za namna hiyo miji huwa inasambaratishwa. Kisha rudi tena mji gani wa Ukraine umesambaratishwa?

-Vita zinapiganwa kwa kuviziana kwenye miji. Ukilipua utalipua vifaru au magari mangapi? Mpaka kwa siku uuwe wanajeshi wa adui wako 800? Hakuna! Ni data za uongo!

Watu hawajui tu kuua hata wanajeshi wa adui wako 200 kwa siku ni mpambano mzito.
 
Huwa naburudika napoona mtu anahoji taarifa kwa hoja fikirishi kama hivi.... Big Up Mr Hammaz
 
Russia ilitangaza imepeleka wanajeshi 120,000 Ukraine sasa kuuliwa 3,600 ndani ya siku 4 unashangaa?

Mlipuko wa kombora moja waweza kuuwa zaidi ya wanajeshi hata 500 kama wakiwa eneo moja.
 
Russia ilitangaza imepeleka wanajeshi 120,000 Ukraine sasa kuuliwa 3,600 ndani ya siku 4 unashangaa?

Mlipuko wa kombora moja waweza kuuwa zaidi ya wanajeshi hata 500 kama wakiwa eneo moja.
Hebu nipe hiyo link!? Wanajeshi 120,000 unaelewa unachokiongea??
 
Umesaidia kuondoa ushabiki, na kuweka reality.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…