President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,781
- 94,550
Sasa hilo ni rhetorical question pambana tusi choshaneKwa hiyo operation maalum ya kijeshi kuwaondoa wanazimamboleo imeingiliwa??
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile
Kesho sio mbali,utakumbushwa,!![emoji16]Mpaka kesho patakuwa pameleweka.wakimbie wenyewe au tuwarudishe kwa ndugu zao wakiwa kwenye masanduku kama Soledat[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]View attachment 2515442
Weka idada panyabuku. Kama ni wengi then ukronazi watakuwa maradufu mfano kwanzia tar 6 Feb,2023 mpaka 12 Feb,2023. ndani ya siku 6 wamekufa wanajeshi 6500 wa ukraine takribani kwa siku ni wanajeshi 1,100. Je izo siku 12 wamekufa wa ngapi? The number of casualties and destroyed in Ukraine side is enormously scary[emoji1255][emoji123]Wanajeshi wa urusi wamekufa kwa wingi katika kipindi Cha wiki 2 kuliko wakati wowote ule tangu kuanza kwa uvamizi February 24-bbc Swahili [emoji1255][emoji123]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Haya sasa ndio maneno[emoji298]️“God willing, we will take Odessa, Kharkov, and Kiev” — Kadyrov
@HIMARS Morogoro kaskazini Proved[emoji95][emoji273][emoji95]Israel confirmed the death of two of its drone operating officers, Michelle Persht and Odliat Taitz, in two separate fatal car accidents
They did not rule out the possibility of assassination.
Have they paid the price for the attack 2 weeks ago, when 3 drones targeted the Isfahan military complex in Iran?[emoji95][emoji273][emoji95]
Ukraine wanajua kila Chocho za mitaa Yao, hivyo inakuwa rais kuwatrack warusi na kuwachinja..,hiki ndicho kinasababisha vifo vya wanajeshi wa urusi kuwa utitili,Weka idada panyabuku. Kama ni wengi then ukronazi watakuwa maradufu mfano kwanzia tar 6 Feb,2023 mpaka 12 Feb,2023. ndani ya siku 6 wamekufa wanajeshi 6500 wa ukraine takribani kwa siku ni wanajeshi 1,100. Je izo siku 12 wamekufa wa ngapi? The number of casualties and destroyed in Ukraine side is enormously scary
Best wishes [emoji28][emoji298]️“God willing, we will take Odessa, Kharkov, and Kiev” — Kadyrov
Mikwara as usual [emoji23][emoji23][emoji635][emoji627]Moscow will immediately respond to Japan in accordance with the defense doctrine if it deploys hypersonic missiles on the islands bordering Russia, Andrei Rudenko, Deputy Foreign Minister of the Russian Federation, told RIA Novosti
Daha ,kama nimeelewa vizuri,na kama ninaweza kutafasiri vizuri sentensi mojawapo inasema hivi,Z-DAY APPROACHES as Russia prepares massive assault wave against Ukraine and NATO
Friday, February 10, 2023
This offensive is being called “Z-Day” and will reportedly involve over 700 aircraft, 1,800 Russian tanks and 500,000 soldiers, all designed to take down the Zelensky regime that has functioned as a proxy for NATO’s attempts to eliminate Russia from the world map.
- All signs point to a Russian offensive moving against Ukraine within the next 20 days. This offensive will be much larger in size and equipment compared to the February, 2022 offensive, but it will move more slowly and methodically, avoiding Blitzkrieg tactics and instead relying on by-the-book military doctrine of a slow, steady, relentless pummeling of the enemy while gaining ground.
Importantly, with the recent revelation that the Nord Stream pipelines were blown up by the USA working with Norway.
Russia is currently updating its retaliation rules to allow a first strike “preventative” attack using nuclear weapons to prevent NATO from further threatening Russia’s existence.
Former US Marine and UN weapons inspector Scott Ritter just called for the arrest and criminal prosecution of Victoria Nuland and Joe Biden for masterminding the plot to destroy the Nord Stream pipelines. (See Ritter’s YouTube interview here.)
This act of terrorism, carried out by the Pentagon, CIA, US Navy and State Dept., was also an act of war against Germany, a NATO “ally.” It makes us wonder whether Germany will declare an Article 5 violation and demand that other NATO countries attack the USA for its act of war against Germany.
In any case, Russia is on the verge of launching both a major offensive against Ukraine and also potentially a “preventative” nuclear strike against the USA and NATO targets across Europe.
Stolen elections have catastrophic consequences, and the USA may have only weeks remaining before we find ourselves in a global nuclear conflict from which no one emerges unscathed.
Marekani hana jeuri ya kuingia Vitani na Mataifa yafuatayo:Upande wa pili wanaweza kuwa wanatafta kisingizio Cha kumchakaza mtu,!
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Ha ha haa,PUT IN sisi wapenda amani tunataka hio 21st katika kuongea kwako tunakuomba sana utangaze kura za maoni pale KHARKIV na ODESSA
Bila kupita na ODESSA hii SMO kwaupande wangu itakua haijatimia kwa 100%
Najua wajumbe wa KREMLIN mupo na munakusanya maoni basi maoni haya yamfikie MKULU kwamba twaitaka KHARKIV na ODESSA huko kwengne watachukua hata mdogo mdogo hamna shida
Mwisho:-kama unapenda amani msapoti PUT IN bado hujachelewa
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawa wameshasoma mchezo kua vita inakaribia kuisha,Rais wa Poland Dulda amesema nchi yake Ina fighter jets chache Sana kwa hiyo mpango wa ku donate fighter jets kwa Ukraine hauwezekani kwa sababu hawatabakiawa na ndege Vita.
View attachment 2515491
Ni sahihi. Watu wanaojua kuomba, waombe Mungu sana, maana muda simrefu kunashambulio baya sana linaandaliwa. Na visit ya Ebrahim raisi huko china sio hivihivi.Hawa wameshasoma mchezo kua vita inakaribia kuisha,
Na wameshajua vita itaishaje,
Vita itaisha kwa Ukraine kuangukia mikononi mwa Putin.