kp kipanya44
JF-Expert Member
- Jun 23, 2022
- 13,151
- 15,384
Tena Elimu kubwaSMO imetupa elimu iliyofichwa
Aisee hiyo Aya ya mwisho ndio iliyonipa Raha sana.Urussi ni maji energy cost ipo chini sana kucompare na mataifa mengine ndomana unaona Europe industries nyingi zimefungwa coz ya energy cost kupanda. Russia energy sio tatizo na ni cheap then wana raw material zote muhimu. Ni rahisi kupiga profit kubwa mfano Marcedes wana branch pale Russia na inazalisha gari nyingi. Mwanzoni mwa huu mgogoro moja ya managar alisema bado wako dilemma hawajui chakufanya kama watafunga kiwanda au laah maana wanapata kila raw materials Russia na kwa bei kama ya bure then umeme ni uhakika na ni cheap.
Ule msemo wa Russia ni maskini sahivi siusikii tena washajua mtemi ni nani[emoji3]
Kila la kheri[emoji1255][emoji298][emoji1255][emoji298] Ukrainian army's break through in zapozhia and luhansik would seriously challenge the viability of Russia's 'land bridge ' with Crimea and further undermine Russia's professed war of ' liberating ' the Donbass [emoji298][emoji1255][emoji298][emoji1255]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Hata Hivyo mpaka Sasa ni kweli hiyo socialism imeprove kwamba ni mfumo uliopitwa na wakati ..., dunia ya Leo huwezi kuwaziba watu kinywa kwa manufaa ya watu wachache kama tunavyoona kwa yule dikiteta wa urusiTena Elimu kubwa
Na elimu mojawapo ni wale waliokuwa wanabeza SOCIALISM (pamoja na forms zake zote) Ambapo SOCIALISM ilipewa majina na character zote zilizo mbaya "A FAILED MODEL" n.k
Na Leo hii tuanshuhudia msoshalist mmoja bila wasiwasi kabisa , bila kutetereka, akikabiliana na Mabebebru wote kwa pamoja kwa kupitia mgongo wa Ukraine.Tena Elimu kubwa
Na elimu mojawapo ni wale waliokuwa wanabeza SOCIALISM (pamoja na forms zake zote) Ambapo SOCIALISM ilipewa majina na character zote zilizo mbaya "A FAILED MODEL" n.k
Subir counteroffensive ianze ndio utaweza kuyaelewa vizuri hayo yaliyoandikwa!!An act of desperation..
Kazi mnayo
Kila la kheri
Umerusha jiwe mchana kweupe,Wala sio gizani!Aisee hiyo Aya ya mwisho ndio iliyonipa Raha sana.
Nakunukuu,
"Ule msemo wa Russia ni masikini sa hivi siusikii Tena washajua mtemi ni nani".
Mwisho wa kunukuu.
Kuna rafiki yangu mmoja humu Jukwaani anaisoma taarifa hii kimyakimya kwa maumivu makali.
Huku akiendelea kuirudisha nyuma nchi yake miaka zaidi zaidi ya 50..,haya ni matokeo ya matumizi ya ubabe bila kushirikisha akili!!Na Leo hii tuanshuhudia msoshalist mmoja bila wasiwasi kabisa , ila kutetereka, akikabiliana na Mabebebru wote kwa pamoja kwa kupitia mgongo wa Ukraine.
Umeshaambiwa Ukraine Wana defend tu Wala hawafanyi offensive..,au mwenzetu kichwa kina minyoo [emoji56][emoji28][emoji23]Yani wanaokufa kwa wingi ndo wanazidi kuchukua maeneo, wale wasiokufa wanazidi kupoteza maeneo.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kuna haja ya kuundwa tume huru kwa ajili ya kuchunguza report za uwanja wa vita anazotuletea bwana mkubwa Kipanya 44[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]View attachment 2516064
Soledar bado ipo salama kutokana na ushujaa wa vijana wa mwamba ZelenskySubir counteroffensive ianze ndio utaweza kuyaelewa vizuri hayo yaliyoandikwa!!
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Sio soledar tu mkuu..,unganisha piaSoledar bado ipo salama kutokana na ushujaa wa vijana wa mwamba Zelensky