MWANAHARAMU
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 5,350
- 13,622
Mkuu kinachowaumiza kichwa majenerali wa Ukraine na NATO ni kimoja tu.Bado tu kramatorsk na Slaviansk.zikianguka tu basi Dombass imekwenda na mma[emoji23][emoji23]
Yah ni kweli watu awajui kwa nini Ukraine kaweka nguvu kubwa pale Bakhmut.Bakhmut ni kama centre ya kufika kwenye miji yote.inamaana ikianguka tu basi kuna baadhi ya sehemu hakuna kitakachofika.Mkuu kinachowaumiza kichwa majenerali wa Ukraine na NATO ni kimoja tu.
Bakhmut ikianguka hakuna kizuizi kikubwa kwenda Kramatorsk- Slovyiansk.
Hivyo wanajitahidi kuishikilia Bakhmut lakini itaanguka tu.
Hivi hawajajitetea?USA imesha changanyikiwa.
Hicho ilichokifanya kwa nord stream 2 ni kitendo Cha kigaidi kabisa.
Kingefanywa na wengine ni wangesema ni kitendo Cha kigaidi.
Vp tena miss rat [emoji1787][emoji1787] umeamia team russia nini?[emoji1255][emoji298][emoji1255][emoji298] Australian defense minister Claudia tanner denied the possibility of Ukrainian military being trained in Australia to operate leopard 2 main battle tanks [emoji298][emoji1255][emoji298][emoji1255]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Marekani ni taifa la kigaidi.❗️US Training Terrorists To Target Russia — Moscow
The US has turned to Islamist extremists to plan terrorist attacks in Russia and other ex-Soviet republics, Moscow’s Foreign Intelligence Service (SVR) said on Monday. The agency claimed that a group is being trained at a base in Syria for the purpose.
“The US military is actively recruiting militants from jihadist groups affiliated with Islamic State [IS, formerly ISIS] and Al-Qaeda to commit terrorist attacks in Russia and members of the Commonwealth of Independent States [CIS],” the SVR stated, citing “credible reports.”
Established after the collapse of the Soviet Union, the CIS incorporates some of its former republics.
According to the SVR, the US has enlisted 60 terrorists who have already been active in the Middle East. It added that they are undergoing training at the Al-Tanf American military base in Syria, where they are learning how to manufacture and use improvised explosive devices.
Subscribe to RT
Sasa unatuletea habari za udaku za propagandists wa bbc ili iweje[emoji1255][emoji298]Wanawake wajawazito wa Urusi wanakimbilia nchini Argentina na kwenda kujifungulia Huko Ili watoto wao waweze kupata uraia wa Argentina.., wanawake wa urusi hawataki watoto wao wawe na uraia wa urusi..,hii habari wameripot BBC Swahili [emoji1255][emoji298]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Dola inqporomoka kwa spidi ya mwanga wa radi.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kingereza tatizo hapo mwenzio kaelewa hiviVp tena miss rat [emoji1787][emoji1787] umeamia team russia nini?
It's too late mzigo umechelewa.Russia imeanza New Offense hii imeonekana kutokana na msururu wa magari na wanajeshi wengi.
Ukraine tujipange kuwaumbua mara nyingine
Leo Zaporizhzha imeshambuliwa mara 17 ndani ya Saa 1
Ukraine tujiandae kunywa damu za watu
Wanaona aibu TUHivi hawajajitetea?
Wachambuzi wengi twaona kwamba NATO wanachopanga mida hii ni "false flag attack" ndani ya moja ya nchi tuseme Poland na kisha kuisingizia Russia ,kuwa imefanya shambulizi.View attachment 2516263
Stoltenberg: If NATO sends NATO planes to organize a no-fly zone over Ukraine, this will be direct intervention in the conflict, we will not do this.
Yani wanaokufa kwa wingi ndo wanazidi kuchukua maeneo, wale wasiokufa wanazidi kupoteza maeneo.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kuna haja ya kuundwa tume huru kwa ajili ya kuchunguza report za uwanja wa vita anazotuletea bwana mkubwa Kipanya 44[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
Huijui nukeWachambuzi wengi twaona kwamba NATO wanachopanga mida hii ni "false flag attack" ndani ya moja ya nchi tuseme Poland na kisha kuisingizia Russia ,kuwa imefanya shambulizi.
Wakifanya hivyo watasema wana-trigger Article Five ya NATO charter kwamba akishambuliwa mwanachama mmoja basi wote hingia kumshambulia adui.
Zelensky aekelea kushindwa vita kwa kukosa misaada zaidi hivyo NATO na Marekani hiyo itakuwa ndo last resort.
Dunia kwa sasa ipo kwenye njia panda.
Kaa ujue jambo moja, ukraine kwa Urusi ni Kama Zanzibar kwa Tanzania nadhani this will make you concious uwa he ushabiki wa sokoniUkraine wanajua kila Chocho za mitaa Yao, hivyo inakuwa rais kuwatrack warusi na kuwachinja..,hiki ndicho kinasababisha vifo vya wanajeshi wa urusi kuwa utitili,
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app