Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

View attachment 2516263
Stoltenberg: If NATO sends NATO planes to organize a no-fly zone over Ukraine, this will be direct intervention in the conflict, we will not do this.
Ataa!,Mimi nawaomba wapeleke bana,huu utakua ni ubaguzi wa Hali ya juu sana,
Mbona Libya waliweka no fly zone,?
Mbona Iraq waliweka the same,?
Mbona Kosovo,serbia,Bosnia na hezegovina waliweka ?
Kwa Nini wanaibagua Ukraine?
Wakati mazingira yote ya Ukraine yanafanana na Libya,Yugoslavia n Iraq?
Huu ni ubaguzi wa wazi kabisa.
NATO acheni ubaguzi.
 
West walishajua walifanya mistake, hizo delay za kupeleka Tanks na silaha kali walishazipanga kutafuta sababu namna gani watajitetea. Kuna watu wanafikiri wanaelwa propaganda vizuri, lakini baada ya muda sio mrefu watajua walikuwa hawajui.
 
Urusi inatuma watu wengi sana, wanauawa ila hawakomi kuja, wamaendelea sogea tu.
Nahisi Utoto pia Unakusumbua Hivyo Hufahamu Hata Historia ya Urusi
Urusi Sio Taifa Lakitoto Na Mwanajeshi Wa Kirusi Kufa kwao sio Nshu na Wapo Kumi Piga Wambele Nyuma Anakuja Pigahuyo Nyuma Anakuja
Wanapo Amua Jambo Hakuna Kurudi nyuma
 
Tutawachinja mpaka wafikie warusi millions 27 . ,Si ndio mnataka?[emoji28][emoji16]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
NATO hawawezi kufanya False flag attack.
Kwa sababu Kuna nchi nyingi za NATO hazitakubali kuingia vitani na Urusi kwa sababu za ujinga wa USA na Zelensky TU.
Naweza kukutajia nchi chache zitakazogomea .

Uturuki,
Italy,
France,
Hungary,
Na ujerumani.
Na vijinchi vingine.

Vihelehele
Watakao karibu kuingia ni
UK,
Poland na USA mwenyewe.
 
Alafu uache kunishobokea , maana naona una Tabia za kikahaba!!

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Its too late NATO wamechelewa na Zelensky anashindwa vita hii na nchi karibu yote sasa hivi haina umeme wa uhakika ni giza totoro.

NATO haiwezi kuweka NFZ kwani hiyo yamaanisha kwamba US na NATO watamwambia Russia kwamba haruhusiwi kurusha ndege zake za kivita na makombora ndani ya Ukraine? Jibu ni kwamba hiyo hiwezekani.

Ikiwekwa NFZ Ukraine maana yake ni kwamba bara zima la Ulaya litaingia kwneye vita kamili ya tatu ya dunia.

Na Putin amekwishtoa onyo hilo.
 
Poland wana kisasi na Russia kwa sababu ya ile mass deportation aliifanya Lenin baada ya wanazi na warusi kuingia Poland kwenye vita kuu ya pili ya dunia, na kisha kugawana pande mbili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…