Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Wizara ya Ulinzi ya UK imetoa mlio mkali wa kuelemewa na utoaji msaada kwa Ukraine

Waziri wa ulinzi wa UK anasema kwa sasa wamekuwa exhausted kwa misaada waliyotoa na hawawezi tena kuendelea kutoa misaada mpaka serikali itakapowaongezea budget.

Lakini hapo hapo serikali ya UK inasema kwa sasa priority ni kupambana na inflation na sio kuongeza budget ya ulinzi.
 
NATO waeleza ukweli kwamba kwa hali ilivyo sasa, matumizi ya ammunitions huko Ukraine ni makubwa kupita uwezo wa production wa jumla kwa nchi zote za NATO.

Yaani hapa ni message anapewa mla maunga Zelensky kwamba, "Hatuwezi tena kukusaidia, embu fanya mazungumzo na Moscow".
Your browser is not able to display this video.
 

Attachments

  • VID_20230213_203054_439.mp4
    4.7 MB

North Korea walipewa hio tenda
 
Yani Zelensk kuzunguka kote kule awajamfungishia hata zawadi yoyote ile, karudi mikono mitupu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].

NATO Mungu anawaona
Shida ni kwamba NATO sio nchi, ni collection ya nchi.

Sasa kila nchi kwa sasa ina priority zake, kila nchi inapambana na inflation, hapo hapo Zelensky anataka kuleta habari za kuomba omba vifaa vita ambavyo kwa tafsiri yake ni kwamba hizo nchi ziongeze Military spending.

Sasa wanajiuliza tunaongeza military spending kwani tupo kwenye vita? Je, hii inflation tunapambana nayo vipi.

Ndio maana utaona kuna divisions kubwa sana kwa EU countries.
 
Yani Warusi watengeneze mradi kama huu wa maji alafu Dombass isiondoke.itakuwa utani uwo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]




Hawa jamaa ule ujamaa bado unawasaidia sana, ni kama Tz tu hapa....watu tunachangiana tunajenga vyoo vya shule etc...Pure capitalist countries miradi kama hiyo ni Billions of money

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
 
Wow sasa ngoja wajilete waone kitachowatokea.

Kwa sasa haitakuwa kama ile stall ya mwezi march. Sasa ni kupasuliwa haswa,
 
Kama alianza na elites na wakauawa pale hostomel, asitegemee atafika popote labda lengo ni Bakhmut
 
Poland atakuwa wa kwanza kutoa ndege zake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…