kp kipanya44
JF-Expert Member
- Jun 23, 2022
- 13,151
- 15,384
Ninachokiona hapa ni warusi kuendelea kuchinjwa tu..,ninachokisema namaanisha, maana kurundika wanajeshi wengi sio njia ya kushinda vita..,vita ya kisasa ni teknolojia na akili tu[emoji95][emoji95][emoji95]Late January to early February satellite imagery: Russia has established military camps with a large troop concentration near Voronezh and Kursk, similar to the camps deployed on the eve of SMO[emoji95][emoji95][emoji95]
Mi niliwambia watu humu kuwa kumshinda Mrusi basi ni lazima ufanye kazi uwache kazi.Warusi ni watu wagumu sana kukubali kushindwa tena wajue wanapambana na west
Wanatumika kama lishe ya mizinga!Chambo hao
Hizo ni nchi zilizostaharabika na zinatuata kikamilifu utaratibu uliowekwa.., hawawezi kuvunja katiba kwa sababu ya Ukraine!Serikali ya Austria imekataa ku train wanamgambo wa Ukraine.
Yasema kwamba ni kinyume na constitution ya nchi yao na pia yadai kila nchi ina utaratibu wake wa kufanya mambo.
Kwa hiyo Ukraine wakaombe msaada sehemu nyingine lakini sio Austria.
View attachment 2516350
Poland yupi huyo??Poland atakuwa wa kwanza kutoa ndege zake
Bila shaka ni yule akili zake zilimwagika na mabao ya punyetoAisee hiyo Aya ya mwisho ndio iliyonipa Raha sana.
Nakunukuu,
"Ule msemo wa Russia ni masikini sa hivi siusikii Tena washajua mtemi ni nani".
Mwisho wa kunukuu.
Kuna rafiki yangu mmoja humu Jukwaani anaisoma taarifa hii kimyakimya kwa maumivu makali.
Wenzako waliokuwa uwanja wa vita wanasema Warusi hawazuiliki kwa sasa.wewe upo huku unaongea ulevi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ninachokiona hapa ni warusi kuendelea kuchinjwa tu..,ninachokisema namaanisha, maana kurundika wanajeshi wengi sio njia ya kushinda vita..,vita ya kisasa ni teknolojia na akili tu
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Hahahahaha mnawapangia warushe kwa namna ganiUsiku wa kuamkia kesho hadi tarehe 24 tutapokea vipigo vya mabomu sana ila naamini tutasimama tu, kama walishindwa mwaka jana, hawataweza mwaka huu. Tumejipanga hata warushe mabomu na drone 1000
Imradi tu wasirushe kwa wakati 1
Mkuu elewa hawa Poland hata wakiwa na kisasi na Urusi hawana cha kufanya... Nguvu walizo nazo ni za kuendea chooni tu.Poland wana kisasi na Russia kwa sababu ya ile mass deportation aliifanya Lenin baada ya wanazi na warusi kuingia Poland kwenye vita kuu ya pili ya dunia, na kisha kugawana pande mbili.
Stalin...Poland wana kisasi na Russia kwa sababu ya ile mass deportation aliifanya Lenin baada ya wanazi na warusi kuingia Poland kwenye vita kuu ya pili ya dunia, na kisha kugawana pande mbili.
Tukumbushane mwaka 2020 ulitimia mwaka wa 20 tokea NATO wapigane na wavaa sendoz pale AFGHANISTANTukumbushane ni mwaka umetimia tangu Putin aseme hii ni operation ndogo ya mwezi mmoja tu[emoji3]
Walistahili kufa acha wafe kama wanavyokufa hao UKRO NAZIStalin...
Huyu dikteta aliwatoa kafara wapolish na kuwaacha wafe mikononi mwa wanazi.
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Hawa ndio raia wa kupambana na urusi kweli, waingereza wanatutania
View attachment 2516455
Russia siyo ZimbabweUtakalia kuimba Russia sio Zimbabwe huku huyo anayejiita super pawer akizidi kuchakazwa na kurudiswha nyuma miaka mia[emoji16]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app