kp kipanya44
JF-Expert Member
- Jun 23, 2022
- 13,151
- 15,384
Nakubaliana na wewe mwamba mia kwa mia.Its too late NATO wamechelewa na Zelensky anashindwa vita hii na nchi karibu yote sasa hivi haina umeme wa uhakika ni giza totoro.
NATO haiwezi kuweka NFZ kwani hiyo yamaanisha kwamba US na NATO watamwambia Russia kwamba haruhusiwi kurusha ndege zake za kivita na makombora ndani ya Ukraine? Jibu ni kwamba hiyo hiwezekani.
Ikiwekwa NFZ Ukraine maana yake ni kwamba bara zima la Ulaya litaingia kwneye vita kamili ya tatu ya dunia.
Na Putin amekwishtoa onyo hilo.
Wewe umesha changanyikiwa bila shaka yoyote tuliwaambia urussi siyo burundi hamkusikia[emoji1787][emoji1787][emoji1787] kwa silaha zinazo undwa na mrussi kwa sasa ni hatare ni hatare sana
Huu mwaka hakuna mtu kafurahi kama kim kiduku baada ya kuona kichapo cha mrusi kwa NATO NA USA hadi kiduku kazidi kupata moyo kuwa USA si lolote si chochote hadi mchina naye kaanza kurusha maputo kulichunguza kubwa jinga lenu la USA [emoji631]
Afu Kuna mbuzi inasema Russia anapigana na Ukraine pekee[emoji38]Huyu anaelalamika ni MKUU wa alliance fulani tunayoambiwa kubwa
SMO iendelee kama miaka.mitatu tena kuna jambo kubwa litatokea
[emoji617]NATO Secretary General: Ukraine puts pressure on our defense industry
[emoji617]The Secretary General of the North Atlantic Treaty (NATO) warned: the current rate at which Ukraine uses NATO ammunition is more than the production rate of the countries that are members of this pact, and the prevailing conditions of our defense industry are under pressure.
Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee, Russians Ni watu smart sn[emoji848]There are hundreds of thousands of regular troops in western Russia with thousands of military equipment, these troops are stationed there to keep NATO from messing around. In the center, Far east and south of Russia there are also hundreds of thousands of troops and equipment stationed there. This troop is not directly involved in SMO although units from this troop are regularly sent to Ukraine to gain combat experience. NATO knows this, this is why it is said that Russia is fighting in Ukraine with one hand tied behind its back even though the western media tries to make Russia look weak but NATO leaders know what they are dealing with.
Huyo ndio kiboko ya fashisti Putin..,atake asitake lazima amwingizie tu![emoji28]Leo zele amepew maua na gaun la valentine huku Wakiendelea kumkaza [emoji1218][emoji635]View attachment 2516900
Russia anachakazwa na Ukraine tu..,hata kama kusoma hujui basi jitaihid kutazama picha tu[emoji91][emoji1255][emoji123]Afu Kuna mbuzi inasema Russia anapigana na Ukraine pekee[emoji38]
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]...Ni zuzu pekee anayedhani Russia anapigana na nchi nyingine tofauti na Ukraine!
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Usisahau pia Hawa wanaoliwa kiboga hadharani [emoji16][emoji1787][emoji28]Asilimia 40% ya jeshi la US/NATO ni LGBTQ
Ha ha haa",mambo ya kigaidi."Nato hawana uwezo wa kupigana na Russia na hiyo "False Flag" hawawezi kuifanya.
Hata wakiifanya itakuwa na maana gani kwa sababu hawawezi pigana na hiyo nchi.
Nato wanachoweza kufanya ni Proxy wars (Kama hii ya Ukraine au kule Syria)
Au na mambo ya kigaidi wanayofadhili (kama kulipua Nord Stream 2 pipeline, kufadhili ISIS, Al Qaeda etc).
🤝🤝🇷🇺💪Hapo sawa.Bila shaka mkuu nimekubali uhahihisho.
Safi ,Serikali ya Austria imekataa ku train wanamgambo wa Ukraine.
Yasema kwamba ni kinyume na constitution ya nchi yao na pia yadai kila nchi ina utaratibu wake wa kufanya mambo.
Kwa hiyo Ukraine wakaombe msaada sehemu nyingine lakini sio Austria.
View attachment 2516350
Balidhani dubu atachoka mapema lkn Sasa bamechoka benyewe.Wizara ya Ulinzi ya UK imetoa mlio mkali wa kuelemewa na utoaji msaada kwa Ukraine
Waziri wa ulinzi wa UK anasema kwa sasa wamekuwa exhausted kwa misaada waliyotoa na hawawezi tena kuendelea kutoa misaada mpaka serikali itakapowaongezea budget.
Lakini hapo hapo serikali ya UK inasema kwa sasa priority ni kupambana na inflation na sio kuongeza budget ya ulinzi.
View attachment 2516351
[emoji1320]Hii vita bado sana, jamaa anatumia mgambo na mercenaries, jeshi la urusi halijaanza kaz mkuu lipo standby huko Belarus [emoji1044] linasubiri otan waingue cha kike!!
Impact Yao ni kwamba ni takriban mwaka mzima Sasa urusi Bado anapigishwa danadana kwenye kile alichokiita operation maalum ya Saa 72 kuwaondoa wanazimamboleo [emoji2][emoji1787]Safi ,
Ingawa wakipewa hiyo nafasi wanayoomba haitawasaidia kitu.
Kuna wale elfu kumi wanatrainiwa na UK sijaona impact Yao.