President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,781
- 94,550
Umesoma comment yangu kuhusu Tanzania ukaielewa lakini?Kwamba Ukraine inahusika na Vita ya Uganda.
Marhun
Taja namba ya hiyo comment ambayo sijaisoma?Umesoma comment yangu kuhusu Tanzania ukaielewa lakini?
102,210Taja namba ya hiyo comment ambayo sijaisoma?
Kabisa yani.Halafu Wala hata hajajibu chochote!Wamebaki wanamtupia lawama tu😃
Hujui kabisa kinachoendelea Ukraine na duniani, ndio maana umeleta comment hii.Ni hivii,Kwa hiyo Ukraine wanapopigana na Urusi kuwatoa katika maeneo ambayo Urusi inayakalia, sio interest ya Ukraine bali ya Western? Na tulipomtoa Iddi Amin Uganda, haikuwa interest ya watanzania? Maajabu!
Leta links au proof ya haya unayosema. Otherwise ni conspiracy theories ambazo hazina mashiko.Hujui kabisa kinachoendelea Ukraine na duniani ndio maana umeleta comment hii.Ni hivii,
1.The Khazarian Mafia wanataka kukufanya Ukraine kuwa their other Homeland,the other being Israel,na wamemuweka Zelensky kuwa caretaker wa mradi huo.
2.Wamarekani wanataka kui-destroy Russia kabisa,ili isiwe threat kwa the new Khazarian homeland,na kwa hili pia wamemuweka Zelensky kuwa caretaker.Bioweapon labs za US ulizozisikia Ukraine ni katika harakati za the Khazarian Mafia kuisambaratisha Urusi kabisa,na Zelensky ndiye msimamizi mkuu.
3.Wamarekani ndio wasimamizi wakuuu wa mradi wa NWO wa kuleta serikali moja ya dunia.Lakini kwao Urusi ndio kikwazo Kikuu Cha utekelezwaji wa mradi huo.What have they decided,wameamua kwamba Ukraine iwe in the forefront katika utekelezwaji wa mradi huo,na ndio maana Zelensky anaweshwa kwa nguvu zote.
Kama ungekuwa makini mkuu ungeona kwamba harakati zilizopo Ukraine kwa mkono wa nchi za Magharibi,si wakawaida kabisa,kuna jambo lisilo la kawaida nyuma ya pazia.
Kichaa Pekee anaweza kusema Russia anapigana na Ukraine..Kichaa pekee....Lakini kama mtu una utimamu wa Akili huwezi kusema hiloDunia nzima inajua Russia anapigana na Ukraine tu..,acha kujizima data!
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Ukewenza anamalizwa huku[emoji23][emoji23]Hii ni kauli hambayo afsa wa urusi aliitoa siku 4 tu baada urusi kuanzisha kile alichokiita operation maalum ya kijeshi kuwaondoa wanazimamboleo [emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 2517116
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Wewe huna uwezo wa kutafsiri information. Nenda kasome information Security ndio utaelewa watu wanachoongea. Sasa hivi utaona mapicha picha tu. Haya mambo yanakuzidi uwezo wako wa kufikiri.Leta links au proof ya haya unayosema. Otherwise ni conspiracy theories ambazo hazina mashiko.
Umeona utuletee video game kabisa [emoji16]Ukewenza anamalizwa huku[emoji23][emoji23]
Hapa ndio tulipoanzia [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]102,210