LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
The METRO chain of stores plans to continue operating in Russia, a representative of the company's press service said.

 
The Americans have already managed to evacuate most of the bioresearch documentation from laboratories in Kyiv, Kharkov and Odessa, the Russian Defense Ministry said.
 
Russian Ministry of Defense: the possibility of moving part of the collection of materials from American bio-research from Ukraine to Poland is not ruled out.
 
Kumbe mkuu na ww umeliona hili, inavyo onekana Ukraine iko tiyari kusikiliza matakwa ya Russia na kuyafanyia kazi lakini inaonekana kuna kizuizi kinacho wazuia.
Ila ina bidi wafanye maamzi magumu maana raia wanateseka sana mpaka nimeanza kuwaonea huruma japo kuwa vita ni sehemu ya maisha ya mwanadamu.

La sivyo Ukraine ita kuwa kafala ya mataifa ya magharibi kufikia malengo yao.

Sent from my TECNO BB4 using JamiiForums mobile app
 
The Ministry of Defense of the Russian Federation showed documents on a project to study bats in American biological laboratories in Ukraine.

All documents are translated from Ukrainian.

 
Documents from American biological laboratories in Ukraine, which confirm the transfer of biomaterials to Australia and Germany.

They are published in Russian translation by the Ministry of Defense of the Russian Federation.
 
The Ministry of Defense of the Russian Federation showed documents (translated into Russian) that confirm the destruction of evidence in American biological laboratories in Lvov and Yavoriv.
 
Lavrov akubali ukweli tu- dunia ipo tayari kulinda uhuru na demokrasia. Mamia wapo tayari kuvuka boda kupigania uhuru na demokrasia bila malipo. Udikteta(Urusi/China) haujakubalika jana, haukubaliki leo na hautakubalika kesho.
Kwamba Western countries sio madikteta na ni democratic sana? Kumbuka hii vita anaumia raia wa kawaida huko Ukraine.
 
The Russian government proposes to minimize the number of procedures for business and extend the validity of licenses - Mishustin.
 
The level of demand for goods in the current conditions is increasing, but the authorities will solve all problems - Putin.
 
Mkuu sija sema ya kwamba Iran ina izidi Uturuki ila nimesema anajitahidi na uwezo wake sio wa kubeza katika sekta hiyo na ukimuendea kichwa kichwa ana kutoa kamasi.

Kwangu mm tangu tekinolojia ya drone igunduliwe sijaona Drone bora za kufanya mashambulizi kama ile ya kituruki ile drone ni habari nyingine maana ina uwezo mkubwa wa kuamua vita ikikutana na mtumiaji mzuri.
Sema Urusi iliziwahi ikaziharibu tofauti na hapo ingepata wakati mgumu mno kuliko inao upata kwa sasa.

Vita kati ya Uturuki na Iran itakuwa sio ya kitoto hata kidogo.
Haya mataifa yana watu wenye akili na yote yana historia ya ubabe sema Iran kinacho ikwamisha ni msimamo wao wa kisiasa uliosababisha kuwekewa vikwazo na wamagharibi kwa hiyo saa nyingine wanashindwa kuboresha tekinolojia yao kwa ukosefu wa fedha.

Kwa upande ya Ukraine na fikiria Urusi ikiamua kutumia yale mapomu yanayo nyonya Oxsijeni nime yasahau jina sidhani kama Ukraine ita endelea kuhimili ila Putin awe tiyari kuitwa muuaji wa kimbali.

Sent from my TECNO BB4 using JamiiForums mobile app
 
KWANINI, USA & NATO wanalazimisha misaada ya SILAHA badala ya kutafuta DIPLOMACY WAY? Kwanini wanalazisha UKRAINE waendelee kupigana??
Ukraine imebaki battle ground, it's not fair kinachofanyika coz anaumia raia wa Ukraine na sio mwingine.

Inatengeneza namna ya kumfanya Russia's economy weak kwa kuongeza sanctions kwake hivyo kusambaratisha uchumi wa urusi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…