LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Mwamba Putin ameshasema atakaeshoboka atamuoa bila mahari[emoji23]
Chonde chonde!!! Chifu Hanyanga asije akachongoa mdomo akatuponza!!! Akae kimya hivo!!!

● Mwamba ana nuclear 6,100 (Nuclear) na vichwa vya nuclear 1,200 (Nuclear Warheads) vya kufunga kwenye makombora ya masafa marefu (Inter-Continental Ballistic Missiles ICBM).
 
duh basi Ukraine wana kazi kubwa ya kufanya...ni kwamba tunaweza sema Russia anatetea haki ya mkataba kati yao na hayo majimbo
 
shukrani mkuu angalau nimepata picha kamili ya huu mgogoro unaondelea
 
Kidume siku ya leo kaishachukua kyiev, mji mkuu wa Ukraine.

● Marekani yuko wapi???

● Umoja wa mataifa uko wapi???

● Umoja wa ulaya uko wapi???

● Umoja wa africa uko wapi???

Wamekalia porojo tu kenge hao.
Umoja wa Wamarekani wa Mwabepande na umoja wa wasiofungamana na upande wowote uko wapi?
 
Hahahahah wahuni hawaokoti simu chawa anachezea makombora tu show kali!
 
Mmarakani hafanyi vita isiyo na faida kwake. Hawezi rudia makosa kwenda kumwaga damu ya wamarekani katika nchi za wengine bila faida yoyote. Sana sana Ukraine atasaidiwa kwenye ujasusi na Technolojia.

Pili Mmarekani anakwepa vita ya moja kwa moja na Russia. Ni busara kubwa kwani ukumbuke kwa tabia za Putin akiona anashindwa vita ya kawaida anaweza tumia Nyuklia ambayo kwa mmarekani anajua ni mwisho wa kila kitu.

Tatu vita ni gharama. Ukumbuke mmarekani akiwa vitani Mchina yupo kazini kujenga uchumi wake. Kwa vita ya moja kwa moja na mrusi si vita ya Muda mfupi. Hivyo inaweza kusababisha anguko kubwa la kiuchimi na kupelekea Mchina ku emerge kama New world Super power.

Kwa mrusi yeye hana cha kupoteza kwa kiuchuni yupo chini sawa tu na jimbo moja la Marekani. Yeye yupo vizuri kwenye technolojia ya silaha.
 
Walijitenga rasmi lini na Russia walipeleka majeshi ya ulinzi lini?
 
Hapa uliposema YOUR NEXT una maana gani maana sijaelewa.. [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
You are next ✓ # Your next ×
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…