kp kipanya44
JF-Expert Member
- Jun 23, 2022
- 13,151
- 15,384
Habari ni kwamba, Zelensky anaenda kukutana na Biden kwa ajili ya ku present a peace plan.[emoji1255][emoji298][emoji1255][emoji298] volodymyl zelensiky will meet with Joe Biden in Poland.dziennik gazeta prawna reported [emoji1255][emoji298][emoji1255][emoji298]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Hao wanatafuta Tundu lakutokea tuWaziri wa Ulinzi wa UK - Ben Wallace analalamika kwamba hii SMO ya Russia imewa take by surprise. Kwa hiyo hawakuwa wamejiandaa.
Halafu akaongeza kwamba, kwa namna ya upiganaji wa Russia wa kutumia many ammunitions ni tofauti kabisa na upiganaji wa NATO. Na inawawia vigumu ku match hizo ammunitions.
Swali:
Je, haya ndio wanayajua leo? Au ndio wanatafuta sababu ya kumtema mla maunga..?View attachment 2518564
Mamaae walijua urusi malawi,,Waziri wa Ulinzi wa UK - Ben Wallace analalamika kwamba hii SMO ya Russia imewa take by surprise. Kwa hiyo hawakuwa wamejiandaa.
Halafu akaongeza kwamba, kwa namna ya upiganaji wa Russia wa kutumia many ammunitions ni tofauti kabisa na upiganaji wa NATO. Na inawawia vigumu ku match hizo ammunitions.
Swali:
Je, haya ndio wanayajua leo? Au ndio wanatafuta sababu ya kumtema mla maunga..?View attachment 2518564
Hizo habari mtakuwa mnahabarishana nyie wenyewe pro Russia,hakuna independent source yoyote iliyoripoti kitu kama icho!!Habari ni kwamba, Zelensky anaenda kukutana na Biden kwa ajili ya ku present a peace plan.
Kama utakumbuka wiki 2 nyuma, CIA Director alikuja hapo Ukraine na US proposal kwa ajili ya US proposed peace plan, including kuachia 20% ya Ukraine.
Kwa hiyo hivi ni vikao ambavyo agenda zinakuwa tayari pre determined (kama hiyo agenda ya Peace plan).
Lakini hata hiyo Poland imesema bado haiwezi ku confirm icho kikao.
View attachment 2518569
Huyu jamaa kawakomeshaHao wanatafuta Tundu lakutokea tu
Safari hii Wamekutana Na Kidume Hawana Hamu
Ila ni kweli kwamba Biden atakuwa Poland wiki ijayo.Hizo habari mtakuwa mnahabarishana nyie wenyewe pro Russia,hakuna independent source yoyote iliyoripoti kitu kama icho!!
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Hakuna aliyekataa Hilo!Ila ni kweli kwamba Biden atakuwa Poland wiki ijayo.
Biden anafatilia proposal yake ya peace plan. Russia wachukue 20% ya Ukraine.Ila ni kweli kwamba Biden atakuwa Poland wiki ijayo.
Huyu Naye kiazi tuHuyu jamaa kawakomesha
Mpango uliopo ni kumchakaza urusi mpaka ateme ardhi yote ya Ukraine ikiwemo Crimea..,hiyo nyingine ni kahawa yenu mnajiwekea tu[emoji23]Biden anafatilia proposal yake ya peace plan. Russia wachukue 20% ya Ukraine.
Lakini Russia hawataki.
Mrusi hawezi Kupewa na Mmarekan kama Nan?Biden anafatilia proposal yake ya peace plan. Russia wachukue 20% ya Ukraine.
Lakini Russia hawataki.
Hali ni ngumu kwani Financial Times wameripoti kwamba Russia sasa wameamua kutumia helikopta, makombora mazito na ndege za kijeshi.Biden anafatilia proposal yake ya peace plan. Russia wachukue 20% ya Ukraine.
Lakini Russia hawataki.
Mpango uliopo ni kumchakaza urusi mpaka ateme ardhi yote ya Ukraine ikiwemo Crimea..,hayo mengine yote ni kahawa yenu mnajiwekea [emoji16]Mrusi hawezi Kupewa na Mmarekan kama Nan?
Uwezo wakuipata hata zaid ya Hiyo 20% Anao
Endeleeni kujitekenya na kucheka mwenyewe huku vijana wakakamavu wa rais zelensiky wakizidi kumpelekea moto huyo super pawer wa kwenye makaratasi!!Hali ni ngumu kwani Financial Times wameripoti kwamba Russia sasa wameamua kutumia helikopta, makombora mazito na ndege za kijeshi.
Russia ilikuwa haitaki kutumia vifaa hivi iliweka akiba kubwa.
Hii ndo yawafanya NATO na US kuhangaika kwani muda wafukuzana nao na supply imekuwa ndogo.