kp kipanya44
JF-Expert Member
- Jun 23, 2022
- 13,151
- 15,384
Endeleeni kujitekenya na kucheka mwenyewe huku vijana wakakamavu wa rais zelensiky wakizidi kumpelekea moto huyo super pawer wa kwenye makaratasi!!
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
U.S. intelligence officials have concluded, however, that retaking the heavily fortified [Crimean] peninsula is beyond the capability of Ukraine’s army right now, according to officials familiar with the matter, speaking on the condition of anonymity to discuss sensitive issues. That sobering assessment has been reiterated to multiple committees on Capitol Hill over the last several weeks.
Hapo yamaanisha kwamba sasa hivi Russia ina wanajeshi 300000 kutoka 150000.Western and Ukrainian intelligence officials estimate that Russia currently has over 300,000 forces in Ukraine, up from 150,000 initially, with plans to add hundreds of thousands more. The Russian campaign in the spring could see forces pouring over the Belarusian border and cutting off supply lines in western Ukraine that Kyiv has used to bolster its military.
Hiyo Washington Post si chombo Cha propaganda za west [emoji28][emoji28][emoji16]Washington post likiandika Jumatatu wiki hii:
Yaani hapo wasema ni vigumu sana kuchukua Crimea.
Hapa laendelea.
Hapo yamaanisha kwamba sasa hivi Russia ina wanajeshi 300000 kutoka 150000.
Na sasa Russia imeamua kuongeza idadi ya wanajeshi wake na wengi watatokea Belarus na watakata supply line ya silaha kutoka Kyiv kwenda mashariki yake yaani Donbas.
Chanzo: Washington Post
Alafu inabidi mjue kwamba west wanampa kifinyo urusi huku wakimpuliza[emoji23]Washington post likiandika Jumatatu wiki hii:
Yaani hapo wasema ni vigumu sana kuchukua Crimea.
Hapa laendelea.
Hapo yamaanisha kwamba sasa hivi Russia ina wanajeshi 300000 kutoka 150000.
Na sasa Russia imeamua kuongeza idadi ya wanajeshi wake na wengi watatokea Belarus na watakata supply line ya silaha kutoka Kyiv kwenda mashariki yake yaani Donbas.
Chanzo: Washington Post
Hii sio habari mpya kabisaEuropean commission's sanctions to Russia [emoji116][emoji116]
[emoji1255][emoji298] sanctions against 4 Russian banks and cutting them off from SWIFT [emoji298][emoji1255]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
OKAlafu inabidi mjue kwamba west wanampa kifinyo urusi huku wakimpuliza[emoji23]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Wenye akili wamekaa na kuona kabisa kwamba hii inafaa kuwa habari mpya lakini wewe mrusi wa buza unapinga[emoji23][emoji16]Hii sio habari mpya kabisa
Waambie waje na jambo lingine
Waziri wa Ulinzi wa UK - Ben Wallace analalamika kwamba hii SMO ya Russia imewa take by surprise. Kwa hiyo hawakuwa wamejiandaa.
Halafu akaongeza kwamba, kwa namna ya upiganaji wa Russia wa kutumia many ammunitions ni tofauti kabisa na upiganaji wa NATO. Na inawawia vigumu ku match hizo ammunitions.
Swali:
Je, haya ndio wanayajua leo? Au ndio wanatafuta sababu ya kumtema mla maunga..?View attachment 2518564
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji631][emoji1255][emoji635]"After the release of the "Wagner" PMC advertisement aimed at the American audience, we received more than 10 million applications from US citizens wishing to join the ranks of the "Wagner" PMC to fight against NATO." - Yevgeny Viktorovich Prigozhin to a question from CNN
Wenye akili?Wenye akili wamekaa na kuona kabisa kwamba hii inafaa kuwa habari mpya lakini wewe mrusi wa buza unapinga[emoji23][emoji16]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Na Zimbabwe sio Russia wala MacedoniaRussia siyo Zimbabwe
[emoji28]Na Zimbabwe sio Russia wala Macedonia