Biden anafatilia proposal yake ya peace plan. Russia wachukue 20% ya Ukraine.
Lakini Russia hawataki.
Wenye akili?
Ina maana na wewe upo?
Issue ya kuziondoa Bank za kirusi kwenye mfumo wa Swift ambao ni interbanking network ulifanyika toka mwaka 2022 mwanzoni wakati wa special op inaanza.
Sasa inakuwaje leo 2023 iwe Tena habari ambayo kirat anaona inastahili kuwa headline?
By the way Warusi wazee wa kuadapt walishakuja na alternative system itakayo link bank zao na nchi rafiki ili waendelee kufanya transaction mbalimbali.
Sasa wewe Myukrein wa Mchambawima njia panda ya kichangaunju unaona ni habari hii?
Russia is conducting a radical review of all obligations to international organizations - Lavrov
We are now conducting a radical review of all our obligations to international organizations. And those organizations that have shown an openly discriminatory attitude, that have flagrantly violated their statutory principles of equality of participation, that violate the rules of procedure every day just to break the consensus rules that exist there, are adopting anti-Russian resolutions... The Council of Europe is one of these organizations in which Russia has ceased to participate. We also withdrew from the European Court of Human Rights, and the President confirmed yesterday at a meeting with judges that we are taking all the necessary measures to ensure that our citizens do not lose their human rights function in any way.
[emoji635][emoji635]
Hivi kwanini wameamua kwenda Poland siku 3 kabla ya Tarehe ya uvamizi wa kwanza?[emoji1255][emoji298][emoji1255][emoji298] volodymyl zelensiky will meet with Joe Biden in Poland.dziennik gazeta prawna reported [emoji1255][emoji298][emoji1255][emoji298]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Hii khabari imesuza moyo wangu😁Russia Closes on Kupiansk Liman; UK MSM Admits NATO Can't Match Russia Ammo; US Depletes Oil Reserve
Zin Note: I find this very pleasant to start my day off with, and it helps one get up to speed on the events of the present time!
Ama kweli Tanzania ni nchi ya 3 kwa upelelezi dunianiHii vita imejaa unafiki wa kupindukia.
Najua kwa uhakika anayetafutwa hapa ni UK na USA. Hawa Slavic wamechoka utumwa wa Anglo Saxon.
Nimejaribu kufuatilia kwa ukaribu sana huku nikiunganisha na taarifa za kihistoria. Nimekuja kugundua kuna mtu hapa anatafutwa kuwekwa kati. Lakini naona na yeye anaruka ruka kama maharage yakiwa yanapikwa. Ukraine anatafuta namna ya kumwingiza king. Lakini anachomoa.
Mwaka jana kuna missile ya air defence ya Ukraine iliangukia Poland hii ni kuwafanya NATO waingie kulipa lakini wakageuza maneno na kukaa kimya.
Juzi juzi makombora yamepita kwenye anga la Romania, vilevile wakajikausha. Vilevile ndege vita ya Urusi imepita poland wamejikausha.
Anayetafutwa hapa ni USA. Na Russia hataacha mpaka USA aingie.
Vile vikao vya mwanzoni kabisa vya makubaliano viliweka msimamo kwa upande wa Ukraine na Russia. Makubaliano yalishafanyika. Ndio maana ukiangalia wakimbizi wengi wa Ukraine walikimbilia Russia.
Huku tunapoangalia tunatengenezewa picha ili justification ya kuingie mzigoni ifanyike.
Katika vita ya NATO na Russia, wa salvic wote wataungana. Hutaamini macho yako kuwaona
Romania,
Hungary,
Austria
Belarus
Poland
Czech Republic
Slovakia
Slovenia
Serbia
Croatia
Bosnia & Herzegovina
Montenegro
North Macedonia
Bulgaria
Moldovia
Georgia
Hawa nakuhakikishia watakuwa upande wa Russia.
Wengine ambao siyo slavic watakuwa upande wa Russia ni Baltic
Estonia, Latvia, and Lithuania.
Mwingine ambaya atakuwa upande wa Russia ni Uturuki. Piga ua galagaza uturuki atakuwa upande wa Urusi.
Nchi ambayo itaathilika sana ni German. Maana hapa ndipo mtanange utakapofanyikia. German anajaribu ku balance mambo lakini haya hayatasaidia.
Hayo ni mawazo yangu baada ya kufuatilia mwenendo wa SMO hii na kutazama historia.
Karibuni kwa mawazo yenu pia
Kweli Mkuu.Uyo mtoto mnampa airtime tu, hana anachojua zaidi ya kujaza server.
Inasikitisha saanaHuyo Anaye Jiita Kipanya hana Lolote ni Zuzu tu Haelewi Yupo na Lipi na Anasimamia lipi
Ndugu huyo Zuzu Kiazi Atakupotezea Mudawako Achana nayeWenye akili?
Ina maana na wewe upo?
Issue ya kuziondoa Bank za kirusi kwenye mfumo wa Swift ambao ni interbanking network ulifanyika toka mwaka 2022 mwanzoni wakati wa special op inaanza.
Sasa inakuwaje leo 2023 iwe Tena habari ambayo kirat anaona inastahili kuwa headline?
By the way Warusi wazee wa kuadapt walishakuja na alternative system itakayo link bank zao na nchi rafiki ili waendelee kufanya transaction mbalimbali.
Sasa wewe Myukrein wa Mchambawima njia panda ya kichangaunju unaona ni habari hii?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji115][emoji115]weu wanaulizana wao kwa wao [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kwani ujue kuwa mkeka wa NATO ume bumaHivi kwanini wameamua kwenda Poland siku 3 kabla ya Tarehe ya uvamizi wa kwanza?
Wanaitaka wachukue Ukraine yote ?...weka na chanzo cha habari.Biden anafatilia proposal yake ya peace plan. Russia wachukue 20% ya Ukraine.
Lakini Russia hawataki.
this is the lesson ...... SOCIALIST countries do not like conflicts and respect human livesSafi Kataa Ukoloni Mambo leo
Brazil is not interested in transferring munitions for use in the war between Ukraine and Russia," said President Luiz Inacio Lula da Silva.

==========================
Argentina took a similar position. "Argentina is not going to cooperate with the war," a spokesman for the country's defense ministry said.
"We shouldn't 'cooperate' by sending weapons to the conflict in Europe."