Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Hizi ndio habari ninazo penda kusikia
Sio yule jamaa yeye na habari zake zisizo na mbele kila siku warusi wamekufa bila kusema sehemu gani na mji gani kila siku mara 800 -900
Sasa si wange kuwa wameisha hadi sasa hivi
Kwahiyo huamini kama wanakufa??
 
Nimependa hapo mwisho, eti US hostage
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mkenya na k-rat
WatapingaπŸ˜„πŸ˜„
 
Baba ogopa Sana kiongozi wa
taifa Kama Russia kuuawa na yeyote anayeonekana kuwa na uhusiano wa namna yoyote na Wamagharibi. Dunia itaangamia. Mutual Assured Destruction itatokea hapa.
Warusi pia wanajua hawawezi kumuua Sunak, Blinken Wala Macron wakiwa mjini Kiev.
Nb.
Tahadhari Ni muhimu kufanywa ili kuepusha majanga

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
Ni mpuuzi tuu ndio atawaza kudondosha ndege iliyombeba raisi wa Russia. Nchi za NATO zitageuka majivu
Hiyo ndege bila shaka hulindwa Hadi na maadui isiguswe.
Putin akifa kwa Assassination ajue kabisa west wataangamia, na Russia itaangamia.
Nani Yuko tayari kuangamia?

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
 
CNN waonyesha kiwanda cha kutengeneza risasi na mabomu kwa ajili ya Ukraine,huko Pennsylvania,Marekani!
...........
CNN gets a rare look inside a Pennsylvania factory making ammunition for Ukraine

https://www.facebook.com/
 
Hayo wanasema tu utekelezaji F
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…