jameshyela
JF-Expert Member
- Oct 13, 2022
- 2,043
- 15,861
Sasa unazani Kuna Vita asiyekufa mtu? Hyo itakuwa movie ya mzee majuto? Pande zote wanachinjana majibu tutayapata baadae[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Jana walichinjwa 800..hii vita ni janga kwa fashisti Putin..,ni janga haswa 🥱🥱🥱View attachment 2520664
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Hayo anasema akiwa Washington aende sehemu ya tukio Tena akiwa ameshiba vitumbua vya unga wa mo.[emoji1255][emoji298][emoji1255][emoji298]" Russia as tuned Crimea into a massive military installation..,those are legitimate targets, ukraine is hitting them,and we are supporting that "nuland told Carnegie endowment for international peace in Washington [emoji298][emoji1255][emoji298][emoji1255]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Sawa,Cha msingi super pawer wa kwenye makaratasi atakapokuwa ametembezewa kichapo na kufurushwa msipakimbie humu[emoji16][emoji28]Sasa unazani Kuna Vita asiyekufa mtu? Hyo itakuwa movie ya mzee majuto? Pande zote wanachinjana majibu tutayapata baadae[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Kwani yule dikiteta si anatoa hamri akiwa Moscow?? Amewahi kujitokeza kwenye eneo lolote huko battle field kama zelensiky anavyofanya?Hayo anasema akiwa Washington aende sehemu ya tukio Tena akiwa ameshiba vitumbua vya unga wa mo.
Ni yeye peke yake Ila PMC tuendelee kuyashikilia na kusonga mbele Kijiji kwa kijijiKuna mazombi walituambia Kuna uwezekano wa ukraine kukabidhi asilimia 20 ya ardhi yake Kwa urusi..,someni hiyoo[emoji28][emoji16][emoji23]
[emoji1255][emoji298][emoji1255][emoji298]rais wa ukraine volodymyl zelensiky amefutilia mbali uwezekano wa eneo lolote la nchi yake kukabidhiwa kwa urusi katika makubaliano ya amani na taifa Hilo[emoji1255][emoji298][emoji1255][emoji298]View attachment 2521150
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Na unavyosema Ukraine anapigana peke yake hicho nn?Kwani yule dikiteta si anatoa hamri akiwa Moscow?? Amewahi kujitokeza kwenye eneo lolote huko battle field kama zelensiky anavyofanya?
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Mwaka huu kila kiongozi atatafuta chombo Cha habari kuongelea Vita ya ukraine yaani Putin bwana amefanya watu watapetape? Mpaka kamanda aliyekufa yule uliyempost amefufuka[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Kwani yule dikiteta si anatoa hamri akiwa Moscow?? Amewahi kujitokeza kwenye eneo lolote huko battle field kama zelensiky anavyofanya?
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Putin ni coward no.Waheed.anatoa command akiwa shimoni/kwenye handaki!😂Kwani yule dikiteta si anatoa hamri akiwa Moscow?? Amewahi kujitokeza kwenye eneo lolote huko battle field kama zelensiky anavyofanya?
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Hawakuona jinsi wachina walivyojikausha kwa Pelosi.Baba ogopa Sana kiongozi wa
taifa Kama Russia kuuawa na yeyote anayeonekana kuwa na uhusiano wa namna yoyote na Wamagharibi. Dunia itaangamia. Mutual Assured Destruction itatokea hapa.
Warusi pia wanajua hawawezi kumuua Sunak, Blinken Wala Macron wakiwa mjini Kiev.
Nb.
Tahadhari Ni muhimu kufanywa ili kuepusha majanga
Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
Unaelewa maana yake lakini?! Maana yake ni kuwa Ukraine na jeshi lake wametopea kwa wizi, ufisadi na rushwa...fedha na vifaa au silaha kwa ajili ya Vita nyingi zinaibiwa hivyo ukaguzi ni muhimu Hadi mstari wa mbele..[emoji298][emoji1255][emoji298][emoji1255] senior officials responsible for overseeing the use of More than us dollar [emoji385] million 110 in US aid to Ukraine have said they will insist that auditors and investigators be sent directly to the war zone to strengthen monitoring, the wall street journal reported [emoji298][emoji1255][emoji298]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Cc. Vunjo mavideoHalafu kipanya anataka tuziamini habari za ukraine na mavideos game yake
View attachment 2520958
Mashabiki wa kuuawa kwa Putin hawajui athari ya hiliHawakuona jinsi wachina walivyojikausha kwa Pelosi.
Wangeweza kuishusha ile ndege ila sasa wangekuwa wamefungua mlango wa vita hatari. Bora walivyokausha walibezwa ila leo kila mtu kasahau na dunia ni salama.
Kuidungua ndege ya Putin ni zaidi ya hatari.
Ukraine imepata msaada wa Dola 110 milioni zitakazoongeza morali Hadi mstari wa mbele.Unaelewa maana yake lakini?! Maana yake ni kuwa Ukraine na jeshi lake wametopea kwa wizi, ufisadi na rushwa...fedha na vifaa au silaha kwa ajili ya Vita nyingi zinaibiwa hivyo ukaguzi ni muhimu Hadi mstari wa mbele..