kp kipanya44
JF-Expert Member
- Jun 23, 2022
- 13,151
- 15,384
ndio hivyo mkuu.., kiburi na majivuno vimemponza sana Putin.., tatizo amekuwa mtaka yote Sasa anakwenda kukosa yote!!jamani warusi wenzangu,tutatoboa kweli?? Huyu comedian zelensiky inaonekana amedhamilia kweli kukomboa ardhi yake yote ikiwemo Crimea, tuzid kumuombea Putin Kwa kweli, maana huyu mwamba japo hii vita inaonekana kumuelemea, lakini naamini hakika hatotuangusha.., angalau tubaki na Crimea yetu [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
kwenye hii operation maalum ya kijeshi kuwaondoa wanazimamboleo inaonekana Putin akupewa intell za kutosha kuhusu uwezo wa kijeshi wa nchi ya ukraine..,japo Kuna uwezekano wa kutimiza malengo yaliyokusudiwa kwenye hii SMO, lakini nchi kama urusi haikustahili kuchoshwa na Ukraine namna hii.. tuendelee kuvuta subra maana hii vita Ina mambo mengi sana, lakini huenda Kuna mahali urusi alifanya miscommunication kwenye hii SMO
binafsi naona Urusi alifanya makosa sana pale alipoanza SMO huku akiwahurumia waukrain, hii ndio inamkost hivi Sasa, urusi alipaswa kutumia uwezo wake wote zile siku za kwanza za special military operation..,angefanya hivyo asingepoteza Hawa askari wake wote hambao idadi Yao inakaribia laki Moja na nusu. ,Hizi huruma anazoendeleza urusi Kwa Ukraine zitamponza sana na huenda malengo ya SMO yasifanikiwe!
Hakuna namna wapigwe tu awa mbwa maana wanakaribisha panya road nyumbani.[emoji23][emoji23][emoji23]Vitu Tayari Huko
[emoji635][emoji1255][emoji298]️Explosions reported in Kyiv region
Hiyo mbona imeshakuwa zilipendwa [emoji16][emoji28][emoji1787]Hakuna namna wapigwe tu awa mbwa maana wanakaribisha panya road nyumbani.[emoji23][emoji23][emoji23]
Kipanya44 nasikia mmeanza kuondoka Kupyansk, vipi kuna shida gani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].Hiyo mbona imeshakuwa zilipendwa [emoji16][emoji28][emoji1787]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Habari kama izi uwa zinanifanya nisisikie njaa kabisa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Haya Vitu Vinalipuka Kote Ukrein
Atakuja Yule Juha Zimerushwa Rocjet 70 Katungua 60
[emoji635][emoji573][emoji1255]Summary of Rocket arrivals this morning
[emoji95]Confirmed damage to critical infrastructure in:
[emoji829]️Khmelnitsky
[emoji829]️Khmelnitsky region
[emoji829]️Krivoy Rog
[emoji724][emoji298]️Emergency energy shutdowns in:
[emoji829]️ Dnepropetrovsk
[emoji829]️Odessa
[emoji829]️Odessa region
[emoji829]️Nikolaev region
[emoji829]️Ivano-Frankivsk
[emoji829]️Kiev
[emoji829]️ Kiev region
[emoji829]️Kirovograd region
[emoji829]️Krivoy Rog
[emoji829]️Cherkasy region
[emoji829]️ Kharkov
[emoji829]️ Kharkov region
[emoji829]️ Poltava region
[emoji829]️Currently air alerts are active in Kharkov and Sumy regions,and explosions in Sumy region
Kipanya kabla hajaivamia Ukraine,alionekana kama picha ya kwanza,,,Kwa Sasa alivyo ,anafanana na picha ya pili.Ili umpate kp kipanya 44 katika hilo mqoute mjanja sana yule habari hiyo haioni kabisa
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Vip mzunguko wa bakhumut umefikia wapi? Askari wa Ukraine waliozungukwa bado tu hawajajisalisha??[emoji28][emoji1787][emoji16]Kipanya44 nasikia mmeanza kuondoka Kupyansk, vipi kuna shida gani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Meya wa Kramatorsk mpaka muda huu hajulikani alipo.ofisi yake imefungwa.inasemekana kakimbia na mzigo wa kutosha[emoji23][emoji23]
Ahaaa ahaaa kumbe Kipanya44 ni bonge la sojaKipanya kabla hajaivamia Ukraine,alionekana kama picha ya kwanza,,,Kwa Sasa alivyo ,anafanana na picha ya pili.View attachment 2521404