kp kipanya44
JF-Expert Member
- Jun 23, 2022
- 13,151
- 15,384
Unaona sifa ukiambiwa una sifa za ubishi ....mbaya Ni kua kila mtu ashajua we Ni mwehu 😁 hao pro nato wenzio wanataman usingekua upande wao maana unatia aibu na utahira wakoAfufuke asifufuke..,hiyo haitabadilisha ukweli kwamba super pawer wa kwenye makaratasi kapoteza majenelali zaidi ya 22 Pamoja na elite soldiers kibao kwenye kile alichokiita operation maalum ya kijeshi ya Saa 72 kuwaondoa wanazimamboleo [emoji2][emoji1787]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Yaana huyu jamaa vitu anavyopost vinapingana vyenyewe huwa Kuna wakati anapost kitu baada wiki anapost kingine ukilinganisha unakuta Ni tofauti yaani kuku na Bata[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] mfano huyo anakomalia kila siku zaidi ya wanajeshi 140,000 wamechinjwa leo huyo huyo anasema elfu thelathini Tena katoa mpaka link kabisa tujisomee Ila ile ya graph haijawahi kutoa link[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]yaani kipigo Ni kitu kibaya Sana.Ac
Unaona sifa ukiambiwa una sifa za ubishi ....mbaya Ni kua kila mtu ashajua we Ni mwehu [emoji16] hao pro nato wenzio wanataman usingekua upande wao maana unatia aibu na utahira wako
Hii Statement mnaielewa..?Polish President Andrzej Duda believes that Russia's special operation in Ukraine will not end this year. He called on Western countries to continue to support Kyiv. Duda believes that Russia is waiting for Ukraine's allies to get tired of military action. The President announced this on the air of the Sky News channel.
russia hana haraka
Kweli Urusi na lijidude hivi kuuuuubwa yani jamaa wanavyo liongelea kila namna mpaka wanajaa wenyeweHii Statement mnaielewa..?
"Duda believes that Russia is waiting for Ukraine's allies to get tired of military action."
Ndio maana Putin anasema kwamba, serious actions bado hazijaanza hapo Ukraine.
Kutoka kwenye hiyo statement ya Rais wa Poland, maana yake ni kwamba Russia wanasubiri hao west wachoke na Vita ndio yeye Sasa aanze serious actions.
Mlio karibu na zelensky msanueni aache kiburi atafute suruhu. Hivi kweli anaamini ataishinda Urusi kwa siraha za kupewa zawadi?Zelensky urges Israel to send "David's Sling" to use "against Goliath"
MUNICH, Germany - Ukrainian President Volodymyr Zelenskysaid in a speech on Friday that Ukraine still hasn't received the "David's Sling" from Israel to use "against Goliath," but he believes it's just a matter of time before the Israeli government sends it.
The big picture: The "David's Sling" is an Israeli-made air defense system that Ukraine has asked Israel for several times. Despite pressure, Israel has so far rejected most U.S. and Ukrainian requests to provide advanced and defensive weapons to Kyiv.
Axios news
Sina habari kabisa ndugu yanguJe wewe jamaa kwani huna habari hata Mae Putin alishakufa?
Usifikiri Mimi ni mpumbavu kama nyie watetezi wa ufashist anaoufanya Putin,Ac
Unaona sifa ukiambiwa una sifa za ubishi ....mbaya Ni kua kila mtu ashajua we Ni mwehu [emoji16] hao pro nato wenzio wanataman usingekua upande wao maana unatia aibu na utahira wako
Zelensiky alishafunga ukurasa wa majadiliano ya amani na Putin..,ni mwendo wa kumpelekea moto huyo fashisti mpaka akimbie mwenyewe [emoji28]Mlio karibu na zelensky msanueni aache kiburi atafute suruhu. Hivi kweli anaamini ataishinda Urusi kwa siraha za kupewa zawadi?
DAH [emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]Je wewe jamaa kwani huna habari hata Mae Putin alishakufa?
Hiyo kitu nimekupa ufafanuzi sana,kama haitoshi bwana vunjo kakupa maelezo ya kutosha kuhusu hili hapo juu..,unatakiwa kuwalaumu wazazi wako kwa kushindwa kukupa elimu,Wala huna haja ya kunilaum,Yaana huyu jamaa vitu anavyopost vinapingana vyenyewe huwa Kuna wakati anapost kitu baada wiki anapost kingine ukilinganisha unakuta Ni tofauti yaani kuku na Bata[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] mfano huyo anakomalia kila siku zaidi ya wanajeshi 140,000 wamechinjwa leo huyo huyo anasema elfu thelathini Tena katoa mpaka link kabisa tujisomee Ila ile ya graph haijawahi kutoa link[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]yaani kipigo Ni kitu kibaya Sana.
Kwani kule bakhumut si tumeshawawazunguka jamanii [emoji28][emoji1787][emoji2]There is a Russian attack on the village of Yagodnoye, north of Bakhmut; the dead bodies of the AFU soldiers are piled up along the attack line.
Lieutenant ColonelBaadae nitaleta list ya makamanda waliofufuliwa na Leutenant Vladmir Putin. Putin mfufuzi.
Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
Naisubiria Mkuu, la msingi zaidi...Ki-rat et al waione...Baadae nitaleta list ya makamanda waliofufuliwa na Leutenant Vladmir Putin. Putin mfufuzi.
Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
Kama nawaona vile mnavyomzoom super pawer anavyowaangusha[emoji16][emoji1787][emoji2]Vile kipanya anavyosikia habari mbaya kutoka Ukraine [emoji1255] [emoji23]View attachment 2521891