LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Hapa watafanya Warusi wote waungane na Putin.

Chanzo Cha nguvu ndani ya Urusi ya Sasa na ya kale ni Oligarchs.

Unapowabana Oligarchs unawalazimisha wote wafanye kumsapoti Putin.

Matokeo yake vita itakuwa ngumu ndani ya Ukraine.
Una tia huruma kwa haya mawazo empty head
 
Walikuletea dini na majahazi wakakutumbukiza humo wakakufungia humo unahangaika hujitambui umebaki dua dua, endelea kulala.
Hakuna dini iliyokuja Afrika na majahazi isipokuwa imani potofu iliokuja na Wazungu kutokea Ulaya. Dini ya Kiislaam ni dini pekee ya Mitume Ibrahim, Mussa, Issa, Yaakoub, Nuh, Sulaiman, Muhammad, salama na amani iwe juu yao wote hao.

Wengi wa hao au walikuwepo Afrika au walikuja Afrika au Walikuwa na uhusiano wa karibu na Afrika.

Fikiri, kabla hujakurupuka.
 
Match TV confirmed that Formula 1 refused to broadcast in Russia.

The TV channel received a notice to terminate the agreement to show the season.
 
Wewe Bibi udini utakuua,Uislama wenyewe umeletea na waarabu lakini unavyo utetea itadhani Mwafrika ndio ameanzisha huo Uislam.
 
French President Emmanuel Macron said that he does not consider it possible to consider the procedure for considering Ukraine's application for EU membership in the context of a conflict.
 
Russia ilitangaza imepeleka wanajeshi 120,000 Ukraine sasa kuuliwa 3,600 ndani ya siku 4 unashangaa?

Mlipuko wa kombora moja waweza kuuwa zaidi ya wanajeshi hata 500 kama wakiwa eneo moja.
Mkuu una akili za kikomedi kama jamaa wa ukraini
 
Lavrov: “Those who pump weapons into Ukraine and send mercenaries there must understand the responsibility for their actions.”View attachment 2145589
Kwahiyo Lavrov anatakaje, inaonyesha hizo silaha zinawanyimausingizi sana urusi.

Apige marufuku tuone EU watasemaje.

Vinginevyo aache uoga, tangu hii vita ianze Ukraine wanapokea mercenaries na silaha ndogondogo kutoka EU na marekani, inamaana urusi hawajui kwamba vitendo hivyo EU wanashiriki moja kwa moja kwenye kuwezesha vita ama vipi.
Siwalisema atakae jaribu kukwamisha wata mnyoosha, sasa mbona EU wanatia gunzi alafu wanajifanya kama hawaoni.
 
Wee Bibi kweli unazeeka vibaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…