lee Vladimir cleef
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 9,571
- 35,485
Kwani alikatazwa asikanyage?Kuelekea maadhimisho ya mwaka mmoja wa Uvamizi wa Urusi nchini Ukraine - Mwamba kakanyanga Kyiv BILA WASIWASI WOWOTE...
Kwa nini utoe taarifa? Unampa taarifa urusi yeye kama nani!? Kwa nini usitoe taarifa kwa Belarus!?We ndio mtoto tena kichanga, sasa Urusi imzuie Marekani nini? Marekani imetoa taarifa kwa Urusi ili isiseme haijaambiwa, ingetaka ingefanya mashambulizi alafu ione nani superpower duniani.
The same way Israel inaiambia Russia ikitaka kufanya mashambulizi Syria, kama unataka kutuzuia jiandae na consequences. Kama hutaki ufyate.
Note: Marekani haijaomba ruhusa kwa Urusi, imeitaarifu tu ili ikikiuka wakiishukia isiseme haikuambiwa
Kwani alikatazwa asikanyage?
Mbona marsis kadhaa wameshakanyaga ikiwa ni pamoja na PM wa UK BOJo?
Bila vitu kama hivi Dunia inakua imelalia upande mmoja.
Mjomba amesafiri masaa tisa kwa Treni hivi kwa nini Asingetumia ndege, ndo utajua kuwa anamuogopa mrussi.Superpower uchwara na wachuuzi wa gesi baada ya Biden kufanya ziara UkraineView attachment 2524070
Wakina nani hawana intelligence angani na ambao hawakujua ujio wa biden??.Watu hawana intelligence angani, wamepigwa kata funua
Sasa Amtaarifu Wann Siangeenda tuWe ndio mtoto tena kichanga, sasa Urusi imzuie Marekani nini? Marekani imetoa taarifa kwa Urusi ili isiseme haijaambiwa, ingetaka ingefanya mashambulizi alafu ione nani superpower duniani.
The same way Israel inaiambia Russia ikitaka kufanya mashambulizi Syria, kama unataka kutuzuia jiandae na consequences. Kama hutaki ufyate.
Note: Marekani haijaomba ruhusa kwa Urusi, imeitaarifu tu ili ikikiuka wakiishukia isiseme haikuambiwa
Ukishakuwa Upande Ule Na Akili InasimamaWakina nani hawana intelligence angani na ambao hawakujua ujio wa biden??.
Hapa jamii forum tulijua biden atakua na ziara Poland au Ukraine toka week mbili zilizopita.
Afu anataka kutuaminisha russia hakujua ujio wa biden?? Kwa mfano ulitaka ujio wa biden umfanye russia anze kulia au afanyaje? Kila kitu kuhusu ziara ya biden kipo wazi hasa kwa taifa kama rusia. Ziara ni jambo la kawaida sema tu media za magharibi zinalikuza kisiasa ionekane ni big issue as if kaenda by surprise.
Nakwadesturi ya mataifa makubwa kama russia na marekani sio ajabu hata leo asububi wamewasiliana na kuhakikishiana usalama.Uhasama au ugomvi wamataifa makubwa sio kama ugomvi wa uswahilini ambao mkigombana KILA kitu kinasimama.
Na Kuna watu walipotea humu Jukwaani,wamerudi Leo kuja kusherehekea ujio wa Biden Ukraine.Pro NATO wamehama kutoka kwenye Vita mpka kwenye ziara za kizee Biden Kuna Marais wangap wameenda toka Vita ianze? Hizo silaha Ni leo ameanza kuziahidi?
👏👏👏👏👏Kumbe aliomba kabla kwa Russia [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
"Medvedev says Biden received security guarantees before going to Kiev - Military & Defense - TASS" Medvedev says Biden received security guarantees before going to Kiev
Jibu kitu ambacho hakikupotezei muda halafu ungeuliza swali lako ukajibiwa.Wewe pia unaonaje kwa swali lako hilo?
Kwanza Angalia na Kinanani Anazungumza naoNa kukaa kwenye meza ndefu kama uwanja nayo ni protocol? Sasa hapa alikuwa anafanya kikao gani si angewapigia simuView attachment 2524120
Kaka askari waliopo hapo ukraine wote ni askari wa US wamevaa gwanda tu za ukraine pamoja na askali watiifu wa ukraine wachache. Hapo kila kitu kipo secured tofauti na tuonavyo.sasa siraha kubwa za nn?.Kibongo bongo ulinzi wa kitecknolojia BADO haujawa hundred percent kama marekani so siraha kubwa kubwa za mikono BADO zinahitajika ila kuwatisha vibaka.TISS wajifunze, PSU wanamganda sana Rais hata kupumua anashindwa.
Biden kaenda nchi ya vita ila hatujaona walinzi wakikaa nyuma yake na mabunduki makubwa
Ha ha haa.Kwa nini utoe taarifa? Unampa taarifa urusi yeye kama nani!? Kwa nini usitoe taarifa kwa Belarus!?
Wewe umeamua kushuka kiev shuka tu huna haja ya kutoa taarifa unless kuna kitu unakiogopa. Shuka fanya mambo yako sepa, atayekuzingua mzingue na wewe.
Ni lugha za kidiplomasia tu lkn sio taarifa bali ni ombi. Ameomba na amekubaliwa kwenda kiev. Ruhusa imetoka kremlin tena kwa Medvedev wala sio hata mzee mzima. Hana muda na petty issues kama hizo