LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Safi sana....
 
Kuna kuwaza na kufikiri. Unaweza kufikiri kuandika kitu fulani ila mawazo yakajipenyeza yakapindua makusudio na kuandika taarifa tofauti.

Ubongo ukisoma taarifa unafahamu kuwa hapa herufi imekosewa na kimekusudiwa kitu fulani au taarifa hii ipo sahihi ila kimechanganywa kitu fulani.

Wewe ubongo wako upoje?
Hii ndiyo akili ya mbongo. Ujuaji mwingi! Koooote hajapaona kapaona hapo tu! Nimekupa tiki,100/100.
 
Leta ushahidi kama wale ni wanajeshi wa Urusi, acha propaganda
Sasa unadhani wa wapi wale?njaa zinawauma Sana wacha wakachomechome wapunguze njaa mwenzao aliyewaamrisha anakunywa sharubati ya tender na biriani Wenyewe wako busy kuiba kuku za watu
 
Kwanza ni nani aliyekudanganya Uafrika ni weusi? Kuna Waafrika ambao si weusi na kuna Waafrika ambao maji ya kunde.

Kumbuka kiuwa Afrika ni kontinenti kubwa duniani linaloishi watu kwa asilimia kubwa kila sehemu, limebeba kila rangi ya watu.

Mama'ke Yesu, Bi Mariam ni mtu mweusi, Yesu unadhani ni wa rangi ipi?

Kama huna jibu, lipate hapa kwa ushahidi kamili wa Qur'an. Kma Kingereza kinakupiga chenga usijisumbuwe...

 
Narudia Tena narudia
Afrika ni bara la watu weusi hao waarabu walivamia maeneo ya kaskazini na kuteka, kunyanyasa na kuua kuanzia Misri ya kale mpaka moroko usisahau pia Sudan.

Hata berber one time walicross bahari na kuingia afrika.

Ndio maana kulikuwa
na migration kwenda south kutokana na uvamizi wa Waarabu.

Hata DNA zetu zipo tofautina the rest hapa duniani
 
Ninayo mashaka makubwa na mbinu za vita za Urusi. Tizama msafara wa vifaru yva Urusi unavofumuliwa.

Propaganda ya Putin. Biden aliwatahadharisha wamerekani mapema kupanda bei ya mafuta kutokana na uamuzi wa kutoagiza mafuta ya Urusi.
Haihitaji degree kuona hofu aliyonayo juu ya vikwazo alivyowekewa.Anabaki kurudia yale yale ambayo tayari tunayajua,lakini kumbuka Warusi hawana walijualo kwa sasa yanayoendelea Duniani,wamebaki kumsikiliza Rais wao ndiyo anawaambia kile anachotaka wakisikie.
 
Kisu kimefika kwa mfupa,pole Putin ndiyo hasara ya kutumia mabavu zaidi kuliko akili 🙂
 
Vikwazo walivyomuwekea nchi zinazoweza kunusurika kwa haraka haraka kwa kiasi ni USA na UK. Kwenye mafuta dunia nzima tutaipata kama sijakosea Russia ni 3 kwa uzalishaji. Hivyo kuna gepu hapo!

Ila nchi zilizobaki za Ulaya wamekalia kuti kavu. Wakiwafuata hao mtu na mbwa wake watapotea.
 
Mzee wewe ni soldier kabisa, ukimaliza utaje na kikosi chako , ili wakibisha tuwe tunakuita utujibie
 
Hapa tunaelewana wale wa vikwazo havimtishi Putin, ".......now it has a complex character it creates a certain questions,problems ,difficulties for us.........."
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…