Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Kwa hiyo tumekubaliana kwamba Russian anapigana na Ukraine+NATO+USA si ndio kirat!
NATO wamepuuza mikwara mbuzi iliyotolewa na fashisti Putin kwamba atakayeingilia operation maalum ya kijeshi kuwaondoa wanazimamboleo atakiona Cha moto..,halafu Putin mwenyewe kaufyata tu Kama hakuna lolote lililotokea vile[emoji16][emoji1787][emoji28]
 
Sijui hata kwanini mnamjibugi huyo mnato.. Mi nilishamtia kwenye ignore list wala upuuzi wake siuhoni!
 

Bennett: Putin assured me at Moscow meeting he wouldn’t kill Zelensky​

 
Sawa, muda ndio mwamuzi, lakini fahamu tu ya kwamba huyo fashisti wa clemlin Kwa Sasa anagombaniwa kama mpira wa Kona
Kabisa kabisa muda utasema...Putin hawezi kuwa fashisti Wala dikteta...baachi ya miaka yangu vyuoni upo wakati nilipitia na kuandika research papers za fascism....Putin Hana variable au element hata moja ya kumfanya awe fashisti...
 
mizinga ipi wakati nasikia Barkmut jamaa wamekimbilia kwenye daladala na gari za wananchi wakiwageuza kama shield.
Bado mnajiliwaza na bakhumut [emoji23][emoji28]
Si tuliambiwa hiyo bakhumut imezingirwa tangu wiki 2 zilizopita [emoji1787][emoji23][emoji28]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…