Bakhmut bado haijatekwa ila imezungukwa. Miji yote Russia aliyoichukua kwa nguvu alianza kwanza kuizunguka. Tegemea bakhmut kuchukuliwa muda sio mrefu, hivi karibuni tu Wagner kuna upande washavunja line of defense ya Ukraine.Kumbe Bakhmut bado haijatekwa ?....hii Vita haitakuwa na mshindi.
The Guardian:
- Russia will claim that Bakhmut has been captured to align with the anniversary, regardless of the reality on the ground, the UK Ministry of Defence has claimed. Russian forces are likely under increasing political pressure as the anniversary of the invasion draws near, the latest British intelligence report says.
- The head of the Russian mercenary Wagner group, Yevgeny Prigozhin, has acknowledged a “major problem” with ammunition supplies for his fighters, accusing Russian officials of deliberately denying his fighters sufficient ammunition. In anemotional seven-minute-long audio messagepublished on his official Telegram channel, he said he was required to “apologise and obey” to someone “high up” who he has a “difficult relationship with” in order to secure ammunition.
Ingawaje imechafuka lkn bado unaivutia kasiZiara ya Biden huko Kyiv imeshachafua hiyo hotuba ya fashisti.
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Biden kaingilia uchochoroniSi wangempitisha TU angani kibabe, kama walivyompitisha Pelosi kuelekea Taiwan?
wao si masupa pawa bana?
Garimoshi la Nini Tena jamani ,kuvunjiana heshima TU Huku🤣🤣🤣🤣🤣👏👏👏👏👍😂
👏👏👏👏👏🇨🇳💪Kama amezoea kwa EU sio na China.
"Weapons on the battlefield are continuously supplied by the United States, not China. US has no right to give orders and orders to China, and we will also never accept instructions and even threats and pressure from the US regarding Russian-Chinese relations -Chinese FM"
Ziara ya Biden huko Kyiv imeshachafua hiyo hotuba ya fashisti.
Si wangempitisha TU angani kibabe, kama walivyompitisha Pelosi kuelekea Taiwan?
wao si masupa pawa bana?
Garimoshi la Nini Tena jamani ,kuvunjiana heshima TU Huku[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji106][emoji23]
Umeanza kuwa mjingaNiletee mqundu niupapase
Aisee!Hicho ndicho kitu watu hawajui.Russia sio moja ya nchi tajiti sana duniani kwani bado kuna vitu hawajaweza kuvitimiza kwenye medani ya uchumi wa dunia.Hata currency yake sio ya kiivyo ,
Lengo la hii vita ni lipi ?Kuna watu bado wamenuna vita inafikisha Mwaka Mzima, lengo halijatimia
Ulikuwepo?We ndio mtoto tena kichanga, sasa Urusi imzuie Marekani nini? Marekani imetoa taarifa kwa Urusi ili isiseme haijaambiwa, ingetaka ingefanya mashambulizi alafu ione nani superpower duniani.
The same way Israel inaiambia Russia ikitaka kufanya mashambulizi Syria, kama unataka kutuzuia jiandae na consequences. Kama hutaki ufyate.
Note: Marekani haijaomba ruhusa kwa Urusi, imeitaarifu tu ili ikikiuka wakiishukia isiseme haikuambiwa
Kujizima data ndio aje?Watu waliojizima data usihangsike nao!Wamekosa taarifa nzuri Kwa muda mrefu imebidi kila issue inayotokea hata kama ni minor basi huvalia njuga!
Waache na Ujinga wao!
Mbona sijaiona miguu ya Ukraine ikivunjika ?Hii siyo vita. Hapa ni kumvunja vunja miguu Ukraine tu.
Labda hana vochaNa kukaa kwenye meza ndefu kama uwanja nayo ni protocol? Sasa hapa alikuwa anafanya kikao gani si angewapigia simuView attachment 2524120
Marais walioenda Kiev ni wengi tuPro NATO wamehama kutoka kwenye Vita mpka kwenye ziara za kizee Biden Kuna Marais wangap wameenda toka Vita ianze? Hizo silaha Ni leo ameanza kuziahidi?
Sioni kituWewe pia unaonaje kwa swali lako hilo?
Hili eneo nalifahamu nilikuwa napita hapo na bus nikitaka kwenda FinlandView attachment 2524122View attachment 2524122
[emoji635]Our soldiers captured several Ukrainian militants near Kremennaya
Russian amphibious units operate in this area.
Haswa tena upande wa kushotoBila vitu kama hivi Dunia inakua imelalia upande mmoja.
Mimi mpaka leo bado namtafuta jambazi aliyetuibia TV yetu ya kichogo mwaka 1979Wakina nani hawana intelligence angani na ambao hawakujua ujio wa biden??.
Hapa jamii forum tulijua biden atakua na ziara Poland au Ukraine toka week mbili zilizopita.
Afu anataka kutuaminisha russia hakujua ujio wa biden?? Kwa mfano ulitaka ujio wa biden umfanye russia anze kulia au afanyaje? Kila kitu kuhusu ziara ya biden kipo wazi hasa kwa taifa kama rusia. Ziara ni jambo la kawaida sema tu media za magharibi zinalikuza kisiasa ionekane ni big issue as if kaenda by surprise.
Nakwadesturi ya mataifa makubwa kama russia na marekani sio ajabu hata leo asububi wamewasiliana na kuhakikishiana usalama.Uhasama au ugomvi wamataifa makubwa sio kama ugomvi wa uswahilini ambao mkigombana KILA kitu kinasimama.
Akili ikisimama wanawezaje kuishi sasa ?Ukishakuwa Upande Ule Na Akili Inasimama
Ha ha haa kaja na ndege,Poland,kashuka,kapandaTAZARA Hadi Kiev.Mtu kapanda treni ya Zambia katumia masaa 10 na hapo bado katoa taarifa Kremlin. Humu ndani watu wanapiga kelele.