Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 20,546
- 38,093
Nyie ndio wakujiandaaa.Pesa anayo ila ajiandae kwa vita endelevu.
Akidhoofu muje mutukumbusheUkicombine US na washirika wake, combine mataifa ya magharibi individually, combine NATO yenye mataifa zaidi ya 30; sioni Mrusi akipigana vita hii kwa miaka 5, atasambaratika - Juzi marekani kaahidi Tshs 1.16 Trillion
South Africa, Iran, Berlus, Mchina si nchi za kutegemea kwenye vita kubwa kama hii, at the end utadhoofu tu.
Hayo ni mawazo yako wewe.wazungu wa Magharibi achana nao kabisa, wale ni kitu kimoja ndugu usidanganyike.
[emoji28][emoji28] kwamba medved anaweza akambadilisha maamuzi putinHa ha haa kaja na ndege,Poland,kashuka,kapandaTAZARA Hadi Kiev.
Lkn bado kaomba ruhusa kwa Putin ila akaruhusiwa na Medvedev.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji635][emoji123]
Unaonea wivu sabuni? Aya njoo basi mtoto mzuri wala haikupi ushindaniView attachment 2524859
Punyeto inakutoa Akili sio nzuri kwa afya, kuna akina Kipanya hapa wanatafuta mwanaume wa kumpelekea moto. Unakwama wapi??
Mnaongea utafikiri hiyo Russia ni Burundi...Russia akitumia kila akiba aliyonayo labda kama anapigana na NATO directly, yaani mabomu yanarindima London pale...Mataifa ya Magharibi na US watampeleka wee kwenye hii vita hadi atajikuta anatumia kila akiba aliyonayo - yaani kifupi ni killing softly.
Watu wa magharibi ni mafia.
Taarifa mnapewa ili kuondoa mkanganyiko mkija pigwa msiseme hamkuambiwa. Israel hii hapa ilikuja bila kusema Warusi 15 wakafa na ndege yao tena wakidondoshwa na S-200 waliyotengeneza wenyeweJinsi siku zinavyozidi kwenda ndio...T14 Armata...anakosa ubora kabisa...ww sio wa kuandika comment ya Sampuli hii..., kama Wamarekani wenyewe wanakiri..ili kuepusha maafa kwa Rais wao ..iliwabidi kuijulisha Moscow..hours kabla Biden hajaondoka Washington...,,, na sababu kuu ya kutoa taarifa wameandika...!!!.. ww hutaki kukubaliana nao....,,,
Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
Achana na Hawa majamaa. Yanajua namna ya kumbana mtu pumbu Hadi unakubali...Wachuuzi wa gesi walivyokuwa wanatutisha humu kwamba Ulaya itaganda ikifika winter, gesi itapanda hakuna mahali Ulaya wataipata, Ulaya watakata kuni, viwanda vitafungwa warudi zama za mawe. Tena walikuwa wanaitisha zaidi Ujerumani.
Sasa gesi imerudi bei ya chini kuliko kabla vita haijaanza na Russia iliwekewa price cap haiwezi uza bei juu ya hapo kama hutaki kaa na gesi yako. Na lazima Russia iiuzie EU kwa punguzo la 5% kwenye market. Mikwara tu ndio mmezoeaView attachment 2524889
Saa 6 ndo hii ila naona hotuba badoNajua Wapo wapenzi wa Mwamba Putin watahitaji Kuwa Live kumcheki
Link hii hapa Muda ni Saa 12;00
Первый канал онлайн
Новости, познавательные передачи и развлекательные шоу, фильмы и сериалы – все это вы можете смотреть на сайте Первого канала.www.1tv.ru
Ishaanza BOSSSaa 6 ndo hii ila naona hotuba bado
Subiri niingie tenaIshaanza BOSS
SawaSubiri niingie tena