LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
zelensky ataondoshwa je kwamba RUSSIA wataweza kuitawala UKRAINE baada ya kuivamia ama ndio itakua failled state
Russia Kwa vikwazo alivyowekewa hata weza kukaa Ukraine hata mwezi mmoja.Ameshaanza kukumbwa na ukata wa hatari.
Vinginevyo,askari wake Putin asipokuwa makini wanaweza kuanza kupora raia wa Ukraine sababu ya njaa!
Boko Haram,Alshabab design!
Ni hatari sana kuwapeleka askari vitani bila mahitaji!
 

Satellite photos show breakup of Russian convoy outside Kyiv​

Satellite photos have shown that a massive Russian convoy that had been mired outside the Ukrainian capital since last week appeared to have dispersed.

Kwa sasa msafara wa KM 64 Wa Russia umetawanyika ovyo ovyo...

Kwa Hali hii Tanzania tununue zile Drones za Uturuki
 
Hii Operation malumu Ukraine imeanika udhaifu wa NATO.
Kwanza kwa kuitii kauli ya Putin, " msiingize pua Ukraine".

Pili kwa kumzilia Zelensky, wameonesha ubinafsi. Washirika wa NATO hasa eastern Europe wasiutegemee sana NATO kiulinzi.
Russia anaweza kuivamia Poland na NATO isifanye chochote. US atakachojalia ni iwapo yeye mwenyewe atavamiwa, au UK au Canada. Wengine itategemea.
 
umeongea meengi ila sidhanii kama yana maana kabla ya huu mgogo haeakuyajua haya uyasemayo
pia unawapangiaje watu chakupenda c wana demoghasia wao
VIVA ROMAN
 
kwamba RUSSIA wananjaa
 
Urusi yuko overrated, nimeamini kweli wanapokea kichapo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…