Morogoro kaskazini
JF-Expert Member
- Jul 5, 2020
- 2,560
- 9,690
Iran itaipa China drone za kamikaze ambazo west kila wakiota namna ya ku zikabili ndoto inashindwaChina akimpa Russia Silaha
USA anapeleka majeshi Taiwan
Iran itaipa China drone za kamikaze ambazo west kila wakiota namna ya ku zikabili ndoto inashindwaChina akimpa Russia Silaha
USA anapeleka majeshi Taiwan
Operation lazma ikamilike kwa 💯%Wamevunja madaraja ILI kulichelewesha jeshi LA urusi HUKO bakhamut lakini haija saidia kitu warusi wamefika hapa na kupiga na kisha kuvuka mto
View attachment 2529639wView attachment 2529641
Tumsifie Ukraine kugangamala mwaka sasa, ila lingekuwa taifa lako limepewa lisingesimama muda wote huoUkraine haijawahi kuwa imara bila misaada. Ukraine ni sawa na malaya anayejitapa kuwa she can pay her own bills wakati anadanga waume za watu ili apate hela ya kodi na ya kuishi.
Hicho kitu nilikihisi juu ya safari ya biden kwamba ile treni aliyokwenda nayo ilikuwa loaded na silaha. Isingeguswa sababu mikataba ya kiusalama inazuia raisi na viongozi waandamizi kuvamiwa.Kuna report naifuatilia hapa kumbe viongezi wa west wanapoenda kyv kuanzia biden majuzi.
Kumbe kwenye misafara yao zilikuwemo pia siraha za kuisaidia ukraine.
Kama ujuavyo misafara ya viongozi wakuu wa nchi nyingine haiwezi kushambuliwa.
Inaonekana west wapo serious sana na russia.
Rusia angekua mdebwedo haki nato ingekua ishamvamia kijeshi.
Kama inafika mahali hadi rahisi wa nchi anatumika Ili siraha zisafirishwe Aise russia ni noma,ngoja tuone nini kitafuata.
Kazi nzuri, naona modification ya silaha inaleta impact nzuri zaidi vitani.Russian forces inflicted damage on Ukrainian manpower and equipment in the Kupyansk area
Russian forces inflicted damage on Ukrainian manpower and equipment in the Kupyansk area, eliminating roughly 60 enemy troops over the past day, Konashenkov reported.
"In the Kupyansk area, army aviation and artillery of the western battlegroup inflicted damage on the enemy units in areas near the settlements of Masyutovka and Ivanovka in the Kharkov Region and Novosyolovskoye in the Lugansk People’s Republic," the spokesman said.
The strikes eliminated enemy manpower and equipment, the general said.
"The Ukrainian army’s losses amounted to 60 personnel, three pickup trucks, a US-made M777 artillery system and a Polish-manufactured Krab self-propelled artillery gun," Konashenkov reported.
Kipigo kinatembezwa kwa mashosti wa Ukraine na bado 🤣Kipigo kinazidi kutembezewa [emoji91][emoji91][emoji1255][emoji1255]
[emoji298][emoji1255]During the day, #Ukraine’s missile and artillery units struck two Russian personnel clusters and an electronic warfare (EW) system.[emoji298][emoji298]
Watajua wenyewe,mi naitwikia ukraini yote.Kumbukeni ni mikopo hiyo
Wacha wawekwe mtu kati wakaangwe. Huku silaha zinachomwa huku kipigo kinaendelea bara bara 🤣🤣🤣Tunawakumbusha UKRONAZI wa hapa kama mupo huko BAKHMUT ondokeni
Maana tunaiona MAURIOPOL nyengine pale kwanguvu yaja
SMO iendeleeee.....
Hivi usa anaweza kupigana na nchi gani zaidi ya waarabu na waafrica ? Nitajie vita yoyote ambayo usa kashinda yeye mwenyeweChina akimpa Russia Silaha
USA anapeleka majeshi Taiwan
Stage ya sasa hivi katika hii SMO haitumii sana vifaru.Russia anapendekeza Lend Lease kutoka China
Marekani imesema itamuwekea vikwazo vikali sana ikiwa atampa Urusi silaha.
China kwa upande mwingine atataka apewe ardhi yake iliyotwaliwa na Russia
Russia hupoteza vifaru 60 kwa wiki, wakati ana uwezo wa kutengeneza vifaru 60 kwa mwezi
Ivyo 60 kwa wiki wanavipotezea Ukraine sehemu gani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].maana hatuvioni zaidi ya kuona vya Ukraine tu.Russia anapendekeza Lend Lease kutoka China
Marekani imesema itamuwekea vikwazo vikali sana ikiwa atampa Urusi silaha.
China kwa upande mwingine atataka apewe ardhi yake iliyotwaliwa na Russia
Russia hupoteza vifaru 60 kwa wiki, wakati ana uwezo wa kutengeneza vifaru 60 kwa mwezi
Hizo drone zimepotelea wapi siku hizi?Iran itaipa China drone za kamikaze ambazo west kila wakiota namna ya ku zikabili ndoto inashindwa
Hakika.., glory to Ukraine [emoji1255][emoji1255][emoji123]Tumsifie Ukraine kugangamala mwaka sasa, ila lingekuwa taifa lako limepewa lisingesimama muda wote huo
Tuseme Leo anawauzia hiyo gesi 15000 , kesho wakiamua kwamba hiyo gesi yako tunakupa elf kumi tu..,na bado ataendelea kuwauzia.., kwa Hali hiyo huoni urusi anawauzia ulaya gesi yake kutumwa??Kikubwa inamlipa tu sababu yeye ndio mzalishaji mkuu.
Angalau sisi warusi huwa tunatoa takwimu sahihi wangekuwa wazee wa upinde hiyo jana ungesikiaRussian forces destroyed over 90 Ukrainian troops and three tanks in the southern Donetsk and Zaporozhye areas
"Russian forces down three Ukrainian warplanes in past day — top brass - Military & Defense - TASS" Russian forces down three Ukrainian warplanes in past day — top brass
Ni kwa muda mfupi tu, hataruhusu huo ujinga milele. Hata demu ukitaka kumla lazma ale ale za vocha na outing.Tuseme Leo anawauzia hiyo gesi 15000 , kesho wakiamua kwamba hiyo gesi yako tunakupa elf kumi tu..,na bado ataendelea kuwauzia.., kwa Hali hiyo huoni urusi anawauzia ulaya gesi yake kutumwa??
Naona PRo-NATO wengi mna matatizo ya akili by being in denial[emoji1255] The world stands with Ukraine!
More than 165 cities in 55 countries held more than 300 rallies to support Ukraine.
Photos: Ministry of Foreign Affairs of Ukraine
#StandWithUkraine #StandForFreedom[emoji298]
Ukraine anaweza kuishawishi IMF juu ya tax reforms lakini watu wako kutoka bara lako hawawezi kupewa iyo opportunity na IMF kuzungumzia tax reforms. Hahaha upo unashangilia#Ukraine is holding talks with the International Monetary Fund (#IMF) regarding the work on tax reform, which is expected to improve the investment climate.,[emoji298]