Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Hicho kitu nilikihisi juu ya safari ya biden kwamba ile treni aliyokwenda nayo ilikuwa loaded na silaha. Isingeguswa sababu mikataba ya kiusalama inazuia raisi na viongozi waandamizi kuvamiwa.
 
Kazi nzuri, naona modification ya silaha inaleta impact nzuri zaidi vitani.
 
Kipigo kinazidi kutembezewa [emoji91][emoji91][emoji1255][emoji1255]


[emoji298][emoji1255]During the day, #Ukraine’s missile and artillery units struck two Russian personnel clusters and an electronic warfare (EW) system.[emoji298][emoji298]
Kipigo kinatembezwa kwa mashosti wa Ukraine na bado 🀣
 
Stage ya sasa hivi katika hii SMO haitumii sana vifaru.

Wagner Group wanachofanya ni sweeping. Mguu kwa mguu, mtaa kwa mtaa.
 
Ivyo 60 kwa wiki wanavipotezea Ukraine sehemu gani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].maana hatuvioni zaidi ya kuona vya Ukraine tu.

Kila siku mnaongea kuhusu Urusi kusaidiwa na China ila ukija uwanja wa vita hakuna hata silaha moja kutoka china inayonekana.
 
Angalau sisi warusi huwa tunatoa takwimu sahihi wangekuwa wazee wa upinde hiyo jana ungesikia

"Ukraine forces destroyed over 500 Russian troops and 3000 tanks in the southern Donetsk and Zaporozhye areas" πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Tuseme Leo anawauzia hiyo gesi 15000 , kesho wakiamua kwamba hiyo gesi yako tunakupa elf kumi tu..,na bado ataendelea kuwauzia.., kwa Hali hiyo huoni urusi anawauzia ulaya gesi yake kutumwa??
Ni kwa muda mfupi tu, hataruhusu huo ujinga milele. Hata demu ukitaka kumla lazma ale ale za vocha na outing.
 
#Ukraine is holding talks with the International Monetary Fund (#IMF) regarding the work on tax reform, which is expected to improve the investment climate.,[emoji298]
Ukraine anaweza kuishawishi IMF juu ya tax reforms lakini watu wako kutoka bara lako hawawezi kupewa iyo opportunity na IMF kuzungumzia tax reforms. Hahaha upo unashangilia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…